Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Mkuu endelea kujifaragua na huku ukijipa matumaini yasiyokuwepo.
Ndani ya moyo wako mnajua kuwa mnalea yai viza.
Tatizo tu hamjui lina pasuka lini muifaidi hiyo hydrogen sulfide.
Halafu kama mwenda wazimu vile, unajikanganya sana kujieleza, while the allegations are bare.
Endekea kujifaragua wakati Fr analipia ada yake CCM.
Zile habari za wenawazimu wengine wanapobanwa wanaanza oho, shauri lako utachomwa na moto wa jehanum siku za mwisho, oh sijui unabishana na Mungu.Sasa ndio unaanza wehu kama huo.Haya ndio majibu unayoweza kuja nayo baad ay amatusi na kujifagilia kwa kiburi muda wote huu?Kweli unati ahuruma sana.
Rudi kamkumbushe Nape kuwa bado natapa aje na ushahidi kuwa malipo ya kadi yalifanywa na waliokuwa wakizishikilia hizo kadi.Umekimbia san ahii habari kwa vile una ubongo uliopikwa nusunusu kuhusu CCM.hujaona hili ni tatizo kubwa sana kuliko Nape na wewe unavyofikiri.