Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Amesema kwamba waTz wajiulize kuwa hao wanaosambaza maneno hayo wana vyeo gani, halafu wajiulize kama vyeo hivyo vipo, na kisha wajiulize kuwa watu hao wanalipwa na nani kwa maslahi ya nani.

Ameendelea kusema kuwa watu wanakwepeshwa kwenye mjadala wa kitaifa wa msingi kuhusu Elimu, ufisadi, maji na mambo mengine, na kuhamishiwa kwenye vitu visivyo na maslahi.
 
Hivi ni kweli hao graduate wa sheria hawajui sheria?njaa mbaya sana,yaani kijana kama Magafu anakubali kujidhalilisha namna hii!
 
Ni umbumbu wa hali ya juu kuanza kuzungumzia card na kuacha mambo ya msingi kama elimu, wanafunzi hawana madawati mashuleni.

Haya ni matokea ya digrii za kucheza kuch-kuch!
 
Hao magraduates walikurupuka.siku zote kadi ni mali ya mwanachama.shame on them.nape kawa use kama toilet paper
 
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.
 
Source Star Tv

Kwa mujibu wa star tv kuwa Dr. Slaa amewambia badala ya kujadili mambo ya kitaifa kama wizi wa nyara za serikali kama wizi wa tembo watanzania wanajaditi kadi, badala ya kujadili kwa nini watu wanalala njaa watu wanajadili kadi, watu wanauwawa na polisi watu wanajadili kadi.

Dr. Slaa kawauliza hivi hao wanao toa matamko mmewachunguza na kuwajua ni kina nani??

Ukiwatazama watu hao ni mbumbumbu wa sheria na hawajui wanachokifanya na tunapoteza taifa kwa mambo ya kipuuzi tunaacha kujadili mambo ya kitaifa na mafisadi wanatumia mwanya huo kuiba zaidi raslimali za taifa

The statement is full of defensive mechanos
 
Ni kweli kabisa Watanzania ni watu wa ajabu sana. Yanapo kuja mambo ya msingi kama polisi kujichukulia sheria mkononi, watu kuiba raslimali za taifa, viongozi kushindwa kutimiza ahadi walizotoa wakati wa kampeni hakuna anayejadili maswala hayo kiundani. Yanapokuja mambo ya kipuuzi kama mtu kutangaza kutokewa na mwujiza, mtu kuwa na kadi ya CCM wakati yeye si CCM watu wengi sana wanaingia kwenye mjadala. Hili linatufanya tuibiwe mchana kweupe. Yaani ni shida maana vijana wote maskini wako kijiweni wanajadili mpira. Kweli aliyetuloga roho yake ilishaacha mwili muda mrefu sana.
 
Wameumbuka sana.Sasa yule kijana aliyejinadi kuwa ana digrii ya sheria sijui atakuwa katika hali gani.Tusikubali kutoka kwenye mstari.Hoja ni mabadiliko tu

Amesema kwamba waTz wajiulize kuwa hao wanaosambaza maneno hayo wana vyeo gani, halafu wajiulize kama vyeo hivyo vipo, na kisha wajiulize kuwa watu hao wanalipwa na nani kwa maslahi ya nani.

Ameendelea kusema kuwa watu wanakwepeshwa kwenye mjadala wa kitaifa wa msingi kuhusu Elimu, ufisadi, maji na mambo mengine, na kuhamishiwa kwenye vitu visivyo na maslahi.

hoja ni ufisadi tu na si vinginevyo!
Sina hata la kuongeza hapa ajenda ni moja tu vita dhidi ya Mafisadi na kuhakikisha CCM Inang'olewa madarakani.
 
ila hili nadhani hakuitajika Dkt kuliongelea ila lilikuwa wazi hata kwetu tusojua sheria. Mbona ukimuuliza mtu yeyote anayejua atakueleza bila kinyongo? Nape alitutega tukategeka tena kijinga, kwake ni mafanikio makubwa maana kwa siku kadhaaa bora kapumua na hilo kundi lake la kazi
 
Wameumbuka sana.Sasa yule kijana aliyejinadi kuwa ana digrii ya sheria sijui atakuwa katika hali gani.Tusikubali kutoka kwenye mstari.Hoja ni mabadiliko tu

Mi namtaka TUNTEMEKE ajitokeze humu maana alikesha siku2 na huo upuuzi wake humu ndani.
 
Hivi ni kweli hao graduate wa sheria hawajui sheria?njaa mbaya sana,yaani kijana kama Magafu anakubali kujidhalilisha namna hii!

Ni umbumbu wa hali ya juu kuanza kuzungumzia card na kuacha mambo ya msingi kama elimu, wanafunzi hawana madawati mashuleni.

Haya ni matokea ya digrii za kucheza kuch-kuch!

Hao magraduates walikurupuka.siku zote kadi ni mali ya mwanachama.shame on them.nape kawa use kama toilet paper
Hizo Degree uchwara hata Chadema zipo, kuna Kilaza anaitwa Deo Kisandu kwa kweli anaiabisha sana Chadema hasa hapa JF kwa kuweka mabandiko ambayo hayana quality za Kichadema na hata mtoto mdogo wa Primary Shool hawezi kuwa Kilaza namna hiyo.

user-offline.png
Deogratius Kisandu

11th December 2012 11:49
#1
Member
verified.png
Array

Join Date : 2nd December 2012
Posts : 11
Rep Power : 305
Likes Received4
Likes Given8

icon1.png
January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

Tarehe 8/12/2012 siku ya jumamosi ilikuwa ni siku ya mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Tumaini cha Sebastian Kolowa, kilichopo Lushoto, Tanga.

Katika mahafali hayo mimi nilikuwa mhitimu mmojawapo wa mwaka huu. Mgeni rasmi alikuwa ni Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Benjamin Mkapa.

Namshukru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu japo kuwa nimekoswakoswa mara nyingi kufukuzwa chuo, Mungu aliniongoza nakila nilipo kuwa na pewa barua za tuhuma nilizijibu kwa makini sana japo wapo wenzangu ambao hawakumaliza chuo.

Nawashukru waandishi wa habari ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wakinifuatilia utaratibu wa masomo yangu na maisha yangu ya chuo kwa muda wote mpaka na maliza.

Ndugu yangu Januari Makamba Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye kwa sasa ni Waziri na Mpinzani wangu mkuu ambaye nilichuana naye uchaguzi mkuu wa ubunge 2010 ndugu yangu Henry Shekifu mbunge wa jimbo la Lushoto hawakufika kwenye tafrija yangu ndogo baada ya mahafali na hata kwenye mahafali yenyewe sikuwaona. Kama wabunge wanapunguza CREDIT kwa wananchi kwa kutokutokea maeneo mhimu kama haya.

Kwasababu mimi ni mpinzani wao huenda walishindwa kufika kwa kuniogopa maana ndio Rais wao ajaye wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli inanipa picha kuwa Mungu anampango wake juu yangu.

DEOGRATIUS KISANDU
Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema mkoa wa Tanga
attachment.php
attachment.php
 
Nimewahi kuandika hapa kwamba kumchafua Dr. Slaa ni vigumu mno yaani sijui utaanzia wapi.

Sasa hao vijana wanaotumiwa kama Dume wamefikia wapi, aibu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom