Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Kwani watanzania tumekosa mambo ya kujadiri yenye mshiko, kwani mambo ya kadi yanaweza kukwamisha jua to rise or to SET? Tuzungumzie mambo ya maendeleo sio WATU; tuishauri Serikali pale inapo bidi.
 
Ringo Edmund

Nimeipenda sana hii post yako!

Nape pitia hapa chini!

MAMBO IKO HAPA

nape aje atuambie nani ananunua nguzo za iringa na kuiuzia tanesko na katoa afrika kusini.

aje atuambie nani alipeleka pembe za ndovu china

aje atuambie rv feki zimeishia wapi.

atuambie kwa nini rais anajenga mahoteli mbugani.

atuambie kwa nini mke wa rais atembee na misafara ya magari ya serikali.

aje atuambie nani anamiliki lakeoil.

aje atuambie mabilioni ya uswis ni ya kina nani.

aje atuambie kwa nini umeme unakatika wakati waziri wa serikali anayodai kuisimamia aliutangazia umma kuwa hilo litakuwa ndoto.

aje atuambie kampuni inayofanya kazi kwa mkopo na tanapa ni ya nani.

aje atuambie mabilioni yaliyochangishwa na mama anna mkapa chini ya mwavuli wa wamma yako wapi/

aje atuambie mashine za kufulia za mount meru hospital ziko wapi.

aje atuambie siku 90 za magamba bado hazijafika/

aje atuambie wale mafisadi wa jengo la uvccm waliishia wapi?

aje aje atuambiepolisi wanaoua raia kila kukicha wapo chini ya chama kinachoongozwa na serikali ya chama gani na ni hatua gani zimechukuliwa?
 
Last edited by a moderator:
Naona kama title haibebi ujumbe uliowasilishwa. Nafikiri Dr. Slaa ametoa ufafanuzi juu hasa ya suala zima la umiliki wa kadi na kuonyesha kwamba ni kitu kidogo kisichohitaji mjadala. Lakini hajakanusha kumiliki kadi. However, naungana na Dr. Slaa kwamba ni uendawazimu kuligeuza suala la kadi kuwa ni agenda inayohitaji attention ya kitaifa.

Ujumbe ni kwamba yeye amesema hamiliki kadi ya ccm,kadi anayomiliki ni yake kwa sababu aliinunua kwa fedha zake na kisheria kadi ni mali ya mtu na si chama ingawa focus ya ujumbe wake ni kuacha kujadili kitu kidogo kama kadi wakati tuna matatizo mengi ya kujadili!
 
Mduda nenda kwenu Kalenga kachukue jimbo....Kipera wanakufahamu,kabebe hata udiwani uache chaki

Mkuu Ngaliba Dume,kwa nini unaidharau chaki namna hiyo,hivi hujui chaki ina umuhimu mkubwa kuliko huo ubunge na udiwani hasa katika kipindi hiki cha mapambano ya kudai haki?
 
Wewe chama sijui kwa siku unachukuaga posho kiasi gani pale lumumba.

Sijawahi na wala sihitaji posho kusema ukweli; riziki ninayoipata inatosha; wewe unalipwa kiasi gani pale Togo nikuongezee?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Mtu kama huyo kumjibu kwa mistari minne ni kupoteza muda. Nimeishamwambia endelee kutumika tu lakini hana thamani yeyote ndani ya Chadema, wakati mwingine mpaka wenyewe wanamshangaa Mohamed na Chadema wapi na wapi.

Mwambie ajaribu kugombea cheo chochote Bavicha ndiyo ataijua Chadema.

Huyo jamaa ndani ya Chadema ni njiwa kwenye kundi la kunguru. Akili ya kawaida tu unadhani wakiwa wagombea wawili Mohamedi Mtoi, na Masawe, nani atapigiwa kura na Pro-Chadema.

Mkuu Ritz
Umesiliba kabisa jamaa hata aende Mlalo akagombee pro Chadema watapeleka Minja au Masawe; anajua mbona hagombei chaguzi za Chadema si ajaribu aone demokrasia ya Chadema; hapo Bavicha ndio usiseme thubutu yake; mwambie ajaribu kama hela ya kuchukulia fomu mimi nipo radhi nilale njaa nitampa achukue; ngoma imewashinda kina Chris Lukosi ataiweza mohamed; Mwita Maranya wanamuona kituko itakuwa yeye!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe ni kwamba yeye amesema hamiliki kadi ya ccm,kadi anayomiliki ni yake kwa sababu aliinunua kwa fedha zake na kisheria kadi ni mali ya mtu na si chama ingawa focus ya ujumbe wake ni kuacha kujadili kitu kidogo kama kadi wakati tuna matatizo mengi ya kujadili!

Zile anazozikusanya wao walipewa bure?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kaza buti na uongeze juhudi ya kuindeleza chadema,naamini kua ukiona mtu anakuongelea na kukusakama.Jua wewe ni star kwao
 
Sidanganyiki. Huyo ni CCm tu. Muda tu haujafika, mtalia na kusaga meno. Heri yangu mie nisiye na chama
 
Mkuu chama,
Mtu kama huyo kumjibu kwa mistari minne ni kupoteza muda. Nimeishamwambia endelee kutumika tu lakini hana thamani yeyote ndani ya Chadema, wakati mwingine mpaka wenyewe wanamshangaa Mohamed na Chadema wapi na wapi.

Mwambie ajaribu kugombea cheo chochote Bavicha ndiyo ataijua Chadema.

Huyo jamaa ndani ya Chadema ni njiwa kwenye kundi la kunguru. Akili ya kawaida tu unadhani wakiwa wagombea wawili Mohamedi Mtoi, na Masawe, nani atapigiwa kura na Pro-Chadema.

huwa naheshimu michango yako lakini linapofika swala la wewe kuweka udini na ukabila hapo ndio huwa nakutoa kwenye fikra zangu kama great thinker. ipo siku mtu wa dini au kabila hilo hilo atakufanya ukumbuke kuwa maeneno yako ni laana na ningependa itokee kabla ya 31st december 2012
 
Kweli kuwa Shabiki wa Chadema lazima uvute bangi
 
Mkuu Ritz
Umesiliba kabisa jamaa hata aende Mlalo akagombee pro Chadema watapeleka Minja au Masawe; anajua mbona hagombei chaguzi za Chadema si ajaribu aone demokrasia ya Chadema; hapo Bavicha ndio usiseme thubutu yake; mwambie ajaribu kama hela ya kuchukulia fomu mimi nipo radhi nilale njaa nitampa achukue; ngoma imewashinda kina Chris Lukosi ataiweza mohamed; Mwita Maranya wanamuona kituko itakuwa yeye!

Chama
Gongo la mboto DSM

hautaishi kwa kupandikiza chuki na kugawa watu kwa mithili ya kidini au ukabila ID unayotumia sio kinga dhidi ya laana itakayokupata
 
Kweli kuwa Shabiki wa Chadema lazima uvute bangi

Hat bob marley alikuwa mvuta bangi aliyedharauliwa na Mwl. lakini baadae alimpa mkono wa heshima kwa hekima alizokuwa nazo. " emancipate yourselves from mental slavery"
 
Back
Top Bottom