Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Slaa ana akil I sana, anajua nyumba anayoishi sasa no ya barafu, jua likiwaka itapotea.
Hata Mimi nilipokuwa chadema sikurudisha kadi ya CCM, niliitunza kwani nilijua no muhimu kuliko gwanda

Katibu Mkuu wa CHADEMA Slaa amehojiwa na gazeti la Mwananchi (Ukurasa wa Sita gazeti la Leo Tar31.12.2013) amekili kuwa anakadi yq CCM hadi leo na haoni sababu ya kuitupa kwani ni mali yake na ameilipia.
"Katoba inaniruhusu,hakuna sehemu iliposema nikihama chama nirudishe kadi,niacheni".
MODS naomba Attachment hiyo muiweke vizuri isomeke yote.

Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Je kumiliki kadi ya ccm cyo usaliti ?
Kama zitto kabwe angebambwa ha hii kadi ya ccm ingejuwaje?
Cc: Dk slaa