Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.

wewe si ulisema una receipt za malipo ya ada ya kadi ya dr slaa,sasa uharo gani unauliza si umwage hapa hizo receipt hapa kamanda wa Lumumba.Nape bwana kwa mbwembwe hujambo,,Nape Moses Mnauye A.K.A 'RITZ'Hongera mkuu kwa fiksi..
 
Ritz huwezi kuona maana unatumia masaburi kuona na sio macho kama bunadamu wa kawaida. Pole sana hamna hoja magamba mnakomaa na vitu vya kijinga vya kadi ya kijani with jembe na nyundo.
 
Ndio amekanusha tena vikali,

Hilo tangu siku nyingi lilikuwa wazi kuwa Dr Slaa hamiliki kadi ya ccm,

Amewafahamisha kisheria kuwa kadi ni mali ya mwanachama.

Tatizo la CCM hawakujaliwa sana uelewa wa mambo hata ukiwatukana kwa mafumbo huwa hawaelewi hadi wasikie hilo suala limechekelewa na watu wengi ndio nao wana damdia band wagon.

Alishosema Dr. Ni kama tusi kwa mataahira.Yaani kawakusanya na kuwaelekeza nini walipaswa fikiri zaidi ya kujikwamisha ktk tope la issue ndogo kama kadi.
 
Hoja za magafu ni moto sana,kila anaejaribu kujitokeza anaishia kulalamika badala ya kujibu hoja za msingi

Hoja gani moto ambayo haijajibiwa wewe?jaribio lako la kutafutia watu ban limeshindwa vibaya!
 
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.

Mm haya ya kadi niliyaacha kujadili siku nyingi sana!

Sina umeme,wajukuu zangu wanamaliza darasa la 7 bila kujua kusoma wala kuandika,sina matibabu wala maji saafi ya kunywa!!Sina uhakika kama nitakuwa salama nikiona polisi wanakuja mbele yangu ndiyo nianze kujadili kadi?

Prof Mhongo naomba unipe umeme bana maana kazi yangu ya kinyozi imeathirika sana!
 
Ni umbumbu wa hali ya juu kuanza kuzungumzia card na kuacha mambo ya msingi kama elimu, wanafunzi hawana madawati mashuleni.

Haya ni matokea ya digrii za kucheza kuch-kuch!
Hahaa Mkuu umenichekesha, nasikia India zinapatikana! Ukitaka wanakuletea hapa hapa kwa DHL!
 
Ritz
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.

Lazma usione kwa sababu unatumia kichwa cha chini kuendesha mambo yako.
 
nape aje atuambie nani ananunua nguzo za iringa na kuiuzia tanesko na katoa afrika kusini.

aje atuambie nani alipeleka pembe za ndovu china

aje atuambie rv feki zimeishia wapi.

atuambie kwa nini rais anajenga mahoteli mbugani.

atuambie kwa nini mke wa rais atembee na misafara ya magari ya serikali.

aje atuambie nani anamiliki lakeoil.

aje atuambie mabilioni ya uswis ni ya kina nani.

aje atuambie kwa nini umeme unakatika wakati waziri wa serikali anayodai kuisimamia aliutangazia umma kuwa hilo litakuwa ndoto.

aje atuambie kampuni inayofanya kazi kwa mkopo na tanapa ni ya nani.

aje atuambie mabilioni yaliyochangishwa na mama anna mkapa chini ya mwavuli wa wamma yako wapi/

aje atuambie mashine za kufulia za mount meru hospital ziko wapi.

aje atuambie siku 90 za magamba bado hazijafika/

aje atuambie wale mafisadi wa jengo la uvccm waliishia wapi?

aje aje atuambiepolisi wanaoua raia kila kukicha wapo chini ya chama kinachoongozwa na serikali ya chama gani na ni hatua gani zimechukuliwa?
 
Nimewahi kuandika hapa kwamba kumchafua Dr. Slaa ni vigumu mno yaani sijui utaanzia wapi.

Sasa hao vijana wanaotumiwa kama Dume wamefikia wapi, aibu kweli kweli.

Usiseme dume bali sema dume kondom
 
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.


Wewe hata ukiambiwa siku zako na Chama chako za kufa zinahesabika utataka ushahidi wa saa dakika na sekunde ilhali unakufa. Rest in peace RITZ rest to he'll CCM
 
Back
Top Bottom