Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Huyu Dr. Slaa ni ndumilakuwili; CCM anataka na CDM anatamani
 
Naona kama title haibebi ujumbe uliowasilishwa. Nafikiri Dr. Slaa ametoa ufafanuzi juu hasa ya suala zima la umiliki wa kadi na kuonyesha kwamba ni kitu kidogo kisichohitaji mjadala. Lakini hajakanusha kumiliki kadi. However, naungana na Dr. Slaa kwamba ni uendawazimu kuligeuza suala la kadi kuwa ni agenda inayohitaji attention ya kitaifa.
 
Reactions: kix
Masinikini CCM.Ndio inakufa vibaya hivi?Lini kinana anaondoka ?anaonekana kaja mshikia JK nafasi wakati akijiandaa tafuta mtu mwingine.Inaelekea line haziendi through ili awapigie wengine simu kama Mangula. Uongozi wa CCM kuanzia taifa siku hizi hauna tena mvuto kwa watu wakachukue kadi wenyewe.
 
Waambieni CCM chini ya mzee wa fitna- Nape waanzishe lingine.

Hawana jipya kwa sasa PakaJimmy, labda tusubiri kile chungu cha majungu kiive wakilete mezani na kuanza mambo yao ya kuwalisha wadanganyika majungu.
 
Last edited by a moderator:
Mduda nenda kwenu Kalenga kachukue jimbo....Kipera wanakufahamu,kabebe hata udiwani uache chaki
 

Mkuu Mtoi
pumba nyingi sana hizi kiza kimeingia fupisha maneno ni unataka kusema tukujibu kwa ufasaha; sisi tunatumia mistari 4 kwasababu tunakupa kweli tupu>

Chama
Gongo la mboto DSM
cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Kweli sumu ya neno ni neno,tatizo ccm hawajatambua adui yao,wao wanafikiri adui yao ni chadema,adui wa ccm ni wenyenchi kupoteza imani nao.
Hii itawatafuna hadi mtakapo tambua adui yenu na kuchukua hatua.chadema ni distant cause,secondary cause ni nyie wenyewe na primary cause ni wananchi kupoteza imani na nyie kadiri siku zinavyokwenda.
Dawa ni nyie wenyewe,mkishindwa wananchi watawapumzisheni wandugu.
 

Maswali haya ya Dr Slaa hayawezi kujibiwa na CCM wala serikali yake, maana ushahidi wa alichosema Dr Slaa uko dhahiri
 
Mkuu, hakuna anayejua kila kitu, ni kumwelekeza atakuja kuwa jembe huko mbeleni. Na uhakika kuna wengine wengi tu wanapata maujanja kupitia hapa jamvini. Na pengine mazingira au sehemu aliyopo pamoja na kuwa kamaliza shule bado hakubahatika kupata kujifunza yaliyo nyuma ya pazia. Hivyo ushauri wangu ni kwake kuwa tayari kuchukua hizi kama changamoto za kujifunza zaidi. Otherwise, tumsaidie kijana ajifunze.
 
Huwezi kushindana na ukweli na haki.Tsunami ya kuibomoa CCM inakuja na hii ndio wataparanganyika kwelikweli!
 
Wapi kakanusha???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…