Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Ameshakula ban safi, muangalie hapa TUNTEMEKEMi namtaka TUNTEMEKE ajitokeze humu maana alikesha siku2 na huo upuuzi wake humu ndani.
[h=1]TUNTEMEKE
Banned
Ameshakula ban safi, muangalie hapa TUNTEMEKEMi namtaka TUNTEMEKE ajitokeze humu maana alikesha siku2 na huo upuuzi wake humu ndani.
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusa sijaona.
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusa sijaona.
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusa sijaona.
Huyu Kisandu ana uwezo mdogo sana wa kujiongoza yeye mwenyewe,hajitambui,anazungumza kama vie ni monita wa arasa na sio kiongozi wa vijana katika mkoa,Sishangai kuona mkoa kama Tanga CDM haina ushawishi mkubwa kwa sababu watu wenye upeo mdogo kama Kisandu eti ndio viongozi!Hizo Degree uchwara hata Chadema zipo, kuna Kilaza anaitwa Deo Kisandu kwa kweli anaiabisha sana Chadema hasa hapa JF kwa kuweka mabandiko ambayo hayana quality za Kichadema na hata mtoto mdogo wa Primary Shool hawezi kuwa Kilaza namna hiyo.
Deogratius Kisandu![]()
11th December 2012 11:49
#1![]()
Member
Array![]()
Join Date : 2nd December 2012
Posts : 11
Rep Power : 305
Likes Received4
Likes Given8
January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!![]()
Tarehe 8/12/2012 siku ya jumamosi ilikuwa ni siku ya mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Tumaini cha Sebastian Kolowa, kilichopo Lushoto, Tanga.
Katika mahafali hayo mimi nilikuwa mhitimu mmojawapo wa mwaka huu. Mgeni rasmi alikuwa ni Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Benjamin Mkapa.
Namshukru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu japo kuwa nimekoswakoswa mara nyingi kufukuzwa chuo, Mungu aliniongoza nakila nilipo kuwa na pewa barua za tuhuma nilizijibu kwa makini sana japo wapo wenzangu ambao hawakumaliza chuo.
Nawashukru waandishi wa habari ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wakinifuatilia utaratibu wa masomo yangu na maisha yangu ya chuo kwa muda wote mpaka na maliza.
Ndugu yangu Januari Makamba Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye kwa sasa ni Waziri na Mpinzani wangu mkuu ambaye nilichuana naye uchaguzi mkuu wa ubunge 2010 ndugu yangu Henry Shekifu mbunge wa jimbo la Lushoto hawakufika kwenye tafrija yangu ndogo baada ya mahafali na hata kwenye mahafali yenyewe sikuwaona. Kama wabunge wanapunguza CREDIT kwa wananchi kwa kutokutokea maeneo mhimu kama haya.
Kwasababu mimi ni mpinzani wao huenda walishindwa kufika kwa kuniogopa maana ndio Rais wao ajaye wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli inanipa picha kuwa Mungu anampango wake juu yangu.
DEOGRATIUS KISANDU
Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema mkoa wa Tanga![]()
![]()
Sasa ndio nn hiki umepost?
Mbona hajajibu hoja za magafu?
Pilau la Lumumba limekuvimbia hata hujui hapa watu wanajadili nini!!
Ana hoja gani? au vihoja ndio hoja!?Mbona hajajibu hoja za magafu?
Sasa ndio nn hiki umepost?
Hivi ni kweli hao graduate wa sheria hawajui sheria?njaa mbaya sana,yaani kijana kama Magafu anakubali kujidhalilisha namna hii!