nilidhani hata wewe unaelewa hiyo lugha kwa vile ndio kitu pekee ulichokuwa uking`ang`ania ili kukimbia mambo ya msingi kumbe na wewe ni kilaza.SI lazima mtu kuwa na jurisdiction ndipo aweze command wengine, kifikra, kimitazamo na hata physically.
Una fikra nyembamba sana.Hii ndio shida ya watanzania wajinga.Wakati hawajui kiingereza hudhani kuwa hawawezi kujimbu maswali au jieleza kwa vile Kiingereza ni duni, wanapokijua bado wanakuwa hawajui jibu fitu kwa usahihi,halafu wanapat kichaa wanapoona wenzao wakijibu vitu, na kubaki wakikagua lugha ya wengine.Wapo makocha wazuri sana wa Soccer wasiojua kiingereza na bado wananunuliwa hata na waingereza wenyewe.
Dr. Slaa influences your life more than you can imagine, you will spend the rest of ur life trying to hate him, oppose him, but you cant get off-the hook.
Haya makelele unayopiga hayakusaidii sana kufanya wengine wasione jinsi ulivyo confused ,ndio maana unatafsiri hisia zako kwake kama chuki.