Mkuu endelea kujifaragua na huku ukijipa matumaini yasiyokuwepo.
Ndani ya moyo wako mnajua kuwa mnalea yai viza.
Tatizo tu hamjui lina pasuka lini muifaidi hiyo hydrogen sulfide.
Halafu kama mwenda wazimu vile, unajikanganya sana kujieleza, while the allegations are bare.
Endekea kujifaragua wakati Fr analipia ada yake CCM.
Still ni wewe unayehangaika na Slaa, kwa nini uhangaikie mtu anayekusaidia kummaliza nguvu mshindani wako? (Si unadai ni mamluki, endelea kumtumia mamluki wako)Mkuu endelea kujifaragua na huku ukijipa matumaini yasiyokuwepo.
Ndani ya moyo wako mnajua kuwa mnalea yai viza.
Tatizo tu hamjui lina pasuka lini muifaidi hiyo hydrogen sulfide.
Halafu kama mwenda wazimu vile, unajikanganya sana kujieleza, while the allegations are bare.
Endekea kujifaragua wakati Fr analipia ada yake CCM.
Badili strategy kwanza. Achana na siasa za majitaka.CHAMI , Mtu wa Shamba, Nicholasnina kadi zenu za CCM katika tawi langu hapa Mchafukoge.
Ni nyie tu kusema nitawalipia ada.
CCM njema atakaye na aje.
Mimi SI MWANASHERIA ila common sense and the law of the jungle prevails.
But tha law can also be an ass!
CHAMI , Mtu wa Shamba, Nicholasnina kadi zenu za CCM katika tawi langu hapa Mchafukoge.
Ni nyie tu kusema nitawalipia ada.
CCM njema atakaye na aje.
CHAMI, Mtu wa Shamba, Nicholas , you people know that you cant beat us, like Dr Slaa join us!Duh..hapa ndipo umemalizia kila kitu.Jinsi gani umepoteza muda mrefu nasi hapa kumbe ni kauzu kama makauzu wengi wanaitwa CCM.
Kwa hiyo umeshanitengenezea kadi, na unaweza nilipia?Mnafanya hayo mazoezi mazi mara ngapi kwa mwaka?Ndicho Nape anachofanya kwa walioitosa CCM.After row CCM unachukua kad na hela, malipo ya nini sasa?Ahsante kwa kuthibitisha nilichokuwa nataka Nape athibitishe.
it takes a miracle to kill someone twice.we cant beat you while we have already killed you.
Another CCM's bluff in progress to maintain Dodoma's declaration!
Kwanza sio kweli kama Dr Slaa alishindwa siasa za Karatu!Dr Slaa alimshinda incumbent Mzee Patrick Qorro kwa kura nyingi kwenye kura za maoni CCM lkn CC-Dodoma ikamrudisha Qorro na Dr Slaa akaenda upinzani na kushinda mara kiurahisi tu!Sasa mtu aliyeshindwa SIASA Karatu ikawaje awe anashinda Ubunge mfululizo?Kwa hapo umeonyesha ww ni mnazi tu wa CCM na upo tayari kugeuza ukweli kuwa uongo!
Hakuna hata uthibitisho mmoja unaonyesha kuwa Dr Slaa ni mamluki mbali na maneno ya HOVYO HOVYO kama haya eti Dr Slaa lishindwa siasa za karatu toka kwa Pro-CCM!
CCM leteni ushahidi kama Dr Slaa analipia kadi ya CCM na ndiyo utakuwa mwisho wa Dr Slaa kisiasa hasa ikithibitika kama ni kweli anailipia!
Kama issue ni kadi tu bila kuwa mwanachama hai mbona wengi tu wanazo!Nape HAJARUDISHA kadi ya CCJ;Waziri Wassira hajarudisha kadi ya NCCR na hata mm sijawahi rudisha kadi ya CCM nataka nije kuwaonyesha wanangu wakikua"ukatili wa mkoloni mweusi CCM kuigeuza TZ kama shamba la bibi"!
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Huelewi nini? Unaishi wapi broda?Sasa ndio nn hiki umepost?