Hakika ccm wanaweweseka na kutapatapa wasijue la kufanya!! Leo asubuhi nilifungulia tbccm kwa bahati mbaya nikamsikia Lukuvi akisema kuanzia tar. 19 desemba hii wataanza kurusha mafanikio ya ccm kwenye vituo vyote vya runinga eti waTz wafahamu mafanikio ya ccm na serikali tokea uhuru hadi leo! Hivi kweli mafanikio kama yapo wananchi si wanayaona kwa macho yao? Kuna haja gani ya kutumia kodi zetu kulipia vipindi hivyo mfululizo katika vituo vyote vya runinga? Hizo fedha wangeenda kutengeneze madawati maana kuna wanafunzi hadi leo hii wanakaa chini? Hayo si matumizi sahihi ya kodi zetu hakika!
Haki elimu wanawsaidia sana kuwaonyesha walikopotea lakini hawaoni wabaki kuhanga
ika na Slaa hakielimu wanadeal na jamii iliyosahaulika laiti ccm wangekua na macho wangechomoka ktk hali
CDM ipo kimyaa lakini ikiibuka inakuja na bongeeeee la hoja na inabuia kaufisadi ka wana ccm
Fikiri chadema ipo kimya toka mauaji ya mwandishi Mwangosi na sisiem ndio wanahanya hanya hivyo. Hivi mikutano ya M4C ikianza kwa viongozi wa kitaifa kuwepo front sii Hospitali za India zitajaza waandamizi wa magamba kushusha pressure?
Sipati picha.
.
nape na mamluki wake kamwe hawatafanikiwa zaidi ya kupoteza muda tu,kizazi hiki cha si jana watu wanauelewa wa kutosha na wanajua nini wanachokitaka.
Dr slaa limekua jina la kutolea mapepo ccm.
Kama jina la bwana ..... Kwa wakristo.
SOURCE:Gazeti la Chama
Mtabaki mnaweweseka tu,mara gazeti hili ni la Mbowe ,mara ni la CHADEMA na sasa limekuwa la Dr Slaa!!Hakuna kulala mbaka gamba livuliwe!!Vijana wa Dr Slaa naona wapo kazini wakiongozwa gazeti lao la Tanzania Daima.
Vijana wa Dr Slaa naona wapo kazini wakiongozwa gazeti lao la Tanzania Daima.