Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Hakika ccm wanaweweseka na kutapatapa wasijue la kufanya!! Leo asubuhi nilifungulia tbccm kwa bahati mbaya nikamsikia Lukuvi akisema kuanzia tar. 19 desemba hii wataanza kurusha mafanikio ya ccm kwenye vituo vyote vya runinga eti waTz wafahamu mafanikio ya ccm na serikali tokea uhuru hadi leo! Hivi kweli mafanikio kama yapo wananchi si wanayaona kwa macho yao? Kuna haja gani ya kutumia kodi zetu kulipia vipindi hivyo mfululizo katika vituo vyote vya runinga? Hizo fedha wangeenda kutengeneze madawati maana kuna wanafunzi hadi leo hii wanakaa chini? Hayo si matumizi sahihi ya kodi zetu hakika!

Mkuu wanajidanganya, maendeleo kama yapo wananchi wangeyaona na kupata unafuu wa maisha. Wananchi hawahitaji kuonyeshwa maendeleo kwenye tv!
 
nafurahi kuona mtanzania wa leo ni mpembuzi wa mambo na si mtu wa kudanganya....propaganda zote hizi zimepolewa na watanzania na wamefanya analysis za kisomi na ndo maana unaona nape na na genge lake lake la wahuni linazidi kuaibika kila kukicha....mi nafikiri wapuuzi kama akina nape ni kuweka mikakati ya kuwapopoa mawe kila wapitapo mikoani na wilayani kwetu.....tutakuwa wapumbavu sana kama tukiendelea kuwavumilia wakina nape wakitumia fedha zetu kununua watu maskini ili waweze rudisha nyuma mapambano ya kudai usawa,haki katika nchi yetu....ifikie pahali tuseme baasi kama taifa.....tukiendelea waacha hawa wapuuzi watazarisha kizazi cha shortcut,full majungu.
 
Maneno kuntu haya kamanda Liame
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa sisi watanzania tupo nyuma yako,Nape endelea kupiga kelele mana walikuzunguka ni wajinga wenzako hawana uwezo wa kukushauri ju ya chama chako kitaondoa umaskini vipi wa watanzania,umekalia kufuga tumbo na kujicream.
 
Maji yameshakuwa mengi nape!hayazuliki tena kwa ukuta wa udongo!yaache yatiririke yakanyeshe mimea iliyoanza kukauka kwa kuyakosa.

Mkuu Dik eti ujinga Nape anaofanya sasa hivi ndiyo maazimio ya Sekretariati mpya.Kwa ajinga huu ndiyo maana kila wanapopita wananchi wanawapopoa mawe
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa sisi watanzania tupo nyuma yako,Nape endelea kupiga kelele mana walikuzunguka ni wajinga wenzako hawana uwezo wa kukushauri ju ya chama chako kitaondoa umaskini vipi wa watanzania,umekalia kufuga tumbo na kujicream.

Mkuu PJS Katibu mwenezi Pekee wa CCM aliyekiletea chama heshima ni Ngombale Mwiru.Nape anachojua yeye ni kununua washenzi waliofukuzwa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Tuacheni utani Slaa ni kiboko yaani ni kama anaimaliza ccm. Kikosi chote cha ccm kinamgwaya unganisha nape kinana mwigulu na mafisadi wote wanamuogopa.
Nape unapanda chat sababu ya CHADEMA NA SLAA WAKIPOTEA HAO WEWE PIA UTAPOTEA NA UMAARUFU WAKO UTASHUKA.
kweli wewe ni GT hapa umeongea point tupu sema tu natumia simu ningekupa like mkuu
 
Na magamba yatazidi kuchanganyikiwa Na homa hii ya CHADEMAPHOBIA.

Homa hii inawapata wana CCM hasa mafisadi Na wapambe wao.

Mara nyingi homa hii husababisha complication ya kuingia kichwani. Kama vile ilivyo homa ya malaria kuingia kichwani, Homa hii ya chademaphobia inapoingia kichwani inasababisha Slaaphobia.

Katika hatua hii mgonjwa huanza kuweweseka Na kusema sema hovyo, kuchachanganyikiwa, kupoteza fahamu. Katika hali hii dawa na kuvua gamba na kuvaa gwanda.

Mgonjwa asipotibiwa Anaweza kukaa kwenye hali hii ya kutokuwa na fahamu kwa muda mrefu lakini hatimaye huwa ni kifo

Mkuu blueray umenibariki sana na andiko lako hili.Chadema na Slaa ni moto mkali usiozimwa na maji.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Shardcole Magamba wakisikia jina la Dr Slaa wanatetemeka kama wachawi.

Hakika Dr.Slaa ni jiwe kuu la msingi ktk upinzani Tanzania.

Long Live my Hero Dr.Slaa.
We love you a lot our chief hero.
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe ni GT hapa umeongea point tupu sema tu natumia simu ningekupa like mkuu

Marire ndugu yetu, jiulize Nape umemsikia mara ngapi akimtaja katibu wa CUF ama TLP WACHA NCCR huyu anajua akijibanza kwa SLAA NA CHADEMA CCM WATAJUA ANANIA YA KUKIPA UHAI CHAMA. NANI ASIYEJUA LEO KUWA CCM IMEPOOZA UPANDE WA KULIA HIVYO HAIJIWEZI TENA.
 
thus why wazee wenye hekima wakasema kwamba" Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"
 
thus why wazee wenye hekima wakasema kwamba" Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"

Katibu wao mkuu aliyekuwa na akili timamu nae alisema.
Nang'atuka maana CCM IMEOZA NA INANUKA. RIP KOLIMBA.
 
Back
Top Bottom