Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Tanzania daima linajulika kuwa ni gazeti la chadema sasa tathmini unayoisema ni ya ngedere na tumbiri.slaa hamti wasiwasi yeyote si serikali ccm wala mtanzania yeyote.hizo ni ndoto za mchana. Ndani ya cdm yeymyewe wanata aachie ngazi

Pitia kwanza ulichoandika halafu mfuate Nape akufundishe vizuri kutumia keyboard.
 
Mkuu Ritz vipi posho imeongezeka kipindi hiki cha Christmass?
Teh teh teh,kwani wanalipwa na Nape?Mtoto wa Vasco Da Gama wa Tanzania naye anategemea posho za nape au yeye anatetea maslahi yake ya kibiashara ili hasije akakanyaga pale kisutu baada ya baba yake kuondoka madalakani!!
 
Mtabaki mnaweweseka tu,mara gazeti hili ni la Mbowe ,mara ni la CHADEMA na sasa limekuwa la Dr Slaa!!Hakuna kulala mbaka gamba livuliwe!!

Mkuu TUKUTUKU Televisheni ya dunia CNN imetumia zaidi ya dk 15 kumsifu Dr Slaa.Kwa hiyo nayo ni ya Chadema?
 
Last edited by a moderator:
Kaka ritz kumbe angalau wewe unabusara kidogo unajuwa kuwa anaitwa Dr slaa,siyo babu au Kibabu???!!!!!kwanini wewe usiwe ndiye mwenezi wa Magamba?ni pendekezo tu kaka.

Ritz ana kahekima mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ronald Regan Dr Slaa ndiye mwanasiasa aliyebeba vichwa vya habari kuliko wote katika Afrika Mashariki.

Hii ni kwa sababu ya ujinga watanzania tuliokuwa nao ndio maana other EAC countries ziko tofauti.
 
Mkuu TUKUTUKU Televisheni ya dunia CNN imetumia zaidi ya dk 15 kumsifu Dr Slaa.Kwa hiyo nayo ni ya Chadema?
Sasa tutaambiwa tunamiliki vyombo vya habari vya dunia,wamesahau ukweli na uongo havichangamanani hata siku moja, kama ilivyo kwa maji na mafuta!!mkuu Molemo sasa nimeamini kweli CHADEMA ni moto wa kuotea mbali!
 
Last edited by a moderator:
Sasa tutaambiwa tunamiliki vyombo vya habari vya dunia,wamesahau ukweli na uongo havichangamanani hata siku moja, kama ilivyo kwa maji na mafuta!!mkuu Molemo sasa nimeamini kweli CHADEMA ni moto wa kuotea mbali!

Mkuu TUKUTUKU Chadema imevuka kipimo cha kimataifa.CNN siyo mchezo!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa sababu ya ujinga watanzania tuliokuwa nao ndio maana other EAC countries ziko tofauti.

Bayana yaambie magazeti ya Magamba yaache kumwandika Dr Slaa.Jinsi wanavyomwandika na umaarufu wake unapanda maradufu.
 
Last edited by a moderator:
Magamba lazimu wafahamu siyo propaganda ndizo zinaweza kuwanusuru bali ni kuchapa kazi na kutekeleza ahadi walizoziweka,vinginevyo kichapo kipo pale pale!!

Mkuu TUKUTUKU umenena vyema.Laiti wangelifanyia kazi hili andiko lako.
 
Last edited by a moderator:
Bayana yaambie magazeti ya Magamba yaache kumwandika Dr Slaa.Jinsi wanavyomwandika na umaarufu wake unapanda maradufu.
yasipo andika habari za slaa hayata uzika
 
Last edited by a moderator:
Gazeti la mtaa wa manhattan pale manyanya ndio kazi yake hii
 
yasipo andika habari za slaa hayata uzika

Na kweli kila siku Jambo Leo/Habari Leo/Uhuru/Mtanzania/Majira ni lazima wawe na page kama 3 za kumshambulia Dr Slaa.
 
Dr slaa nichaguo la watanzania toka 2010 na ccm watambue kuwa hawana hata mtu mmoja nature ya Dr slaa so watabaki kutapata huku mapambano na kasi ya kupanga safu ya ushindi ikiendelea,hamna kulala mpaka kieleweke.
 
Hi Pefla, nimependa ufafanuzi wako. Nadhani baada ya KAULI ya BAVICHA jana na maneno haya ya kwako, sasa Watanzania wameelewa uzuri kuhusu mradi muflisi wa Nape kumdhalilisha Dr. Slaa. CCM wamekwiiiisha.
 
Slaa+na+kadi+za+CCM.jpg


Ya kwake kaiweka kabatini za wenzake anazitupa....huu si unyanyasaji makamanda.
 
"Nape na Huyu" jiandae kuizika ccm ukimaliza uje huku kwani 'halohalo mambo yapo huku'.CHADEMA unaipenda hujui uingieje!
 
Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
Unajua CCM hawajui kwamba kumpiga Chura teke ni kumuongezea kasi. Wangekuwa makin, wangetumia hizi nguvu nyingi wanazotumia kumchafua Dr. Slaa katika kuandaa potential candidate wa kuchagama na mgombea wa CDM 2015. CDM hadi leo hii wana potential candidates wengi sana wa kuwasimamisha 2015. Yapo majembe mengi ya CDM yaliyoonyesha kwa vitendo jinsi ambavyo wanaweza kuisongesha nchi yetu kuelekea kwenye Tanzania tunayoitaka. Wao hadi sasa sijui kama wanaye hata mmoja aliyeweza kuonyesha uzalendo au kutetea rasilimali za watanzania dhidi ya adui namba one RUSHWA. Hata wakimchafua Dr (jambo ambalo lishaprove failure) sidhani kama ndio watapata sifa ya kuaminika na kupewa ridhaa 2015.

Aidha, nawashauri wangetumia nguvu kidogo waliyonayo kuwaletea wananchi maendeleo. Sidhan kama tuliwapa nchi ili wajekung'ang'ana na CDM au Dr. Slaa. Mwisho wa siku wananchi watawapima kwa mliyowatendea kwa kutumia kodi zao na sio kupimwa kwa kumchafua Dr. Slaa. Zaidi ya hayo kama mkifanikiwa kumchafua Slaa haitakuwa na maana kuwa nyinyi sasa ndo mtakao kuwa wasafi badala yake. Jisafisheni kwanza ninyi, acheni ujangili, acheni ufisadi, acheni wizi, punguzeni anasa za serikali,boresheni afya, fufueni viwanda, tengenezeni ajira, boresheni elimu, acheni kuombaomba kwa ujumla tuleteeni maendeleo ya kweli sio ya takwimu halafu muone km mtatumia nguvu mnazotumia sasa hiv kuhangaika na Slaa au CDM. Tatizo mnajua kazi hamuwezi so mmebakia kuwa ni watu wa majungu tu mkidhani kuwa majungu ndo mtaji wenu wa kisiasa, kamwe Majungu si Mtaji.
 
Back
Top Bottom