Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

Hakika ccm wanaweweseka na kutapatapa wasijue la kufanya!! Leo asubuhi nilifungulia tbccm kwa bahati mbaya nikamsikia Lukuvi akisema kuanzia tar. 19 desemba hii wataanza kurusha mafanikio ya ccm kwenye vituo vyote vya runinga eti waTz wafahamu mafanikio ya ccm na serikali tokea uhuru hadi leo! Hivi kweli mafanikio kama yapo wananchi si wanayaona kwa macho yao? Kuna haja gani ya kutumia kodi zetu kulipia vipindi hivyo mfululizo katika vituo vyote vya runinga? Hizo fedha wangeenda kutengeneze madawati maana kuna wanafunzi hadi leo hii wanakaa chini? Hayo si matumizi sahihi ya kodi zetu hakika!

Haki elimu wanawsaidia sana kuwaonyesha walikopotea lakini hawaoni wabaki kuhanga
ika na Slaa hakielimu wanadeal na jamii iliyosahaulika laiti ccm wangekua na macho wangechomoka ktk hali
 
CDM ipo kimyaa lakini ikiibuka inakuja na bongeeeee la hoja na inabuia kaufisadi ka wana ccm
 
Haki elimu wanawsaidia sana kuwaonyesha walikopotea lakini hawaoni wabaki kuhanga
ika na Slaa hakielimu wanadeal na jamii iliyosahaulika laiti ccm wangekua na macho wangechomoka ktk hali

Mkuu Ufunuo wakati Nape akihangaika kumtaja Dr Slaa,Chadema wao wako busy kufuatilia matatizo ya wananchi na kuangalia namna watakavyowatumia wabunge wao kuwatetea bungeni.
Wakati Dr Slaa akipamba kurasa za magazeti kila siku jina la Kinana lilisahaulika siku ileile alivyoteuliwa.
 
Last edited by a moderator:
Fikiri chadema ipo kimya toka mauaji ya mwandishi Mwangosi na sisiem ndio wanahanya hanya hivyo. Hivi mikutano ya M4C ikianza kwa viongozi wa kitaifa kuwepo front sii Hospitali za India zitajaza waandamizi wa magamba kushusha pressure?
Sipati picha.
.
 
nape na mamluki wake kamwe hawatafanikiwa zaidi ya kupoteza muda tu,kizazi hiki cha si jana watu wanauelewa wa kutosha na wanajua nini wanachokitaka.
 
Mkuu Kiby timbwili la M4C litaanza tena January.Nape atafute pa kuficha sura yake.
 
Last edited by a moderator:
nape na mamluki wake kamwe hawatafanikiwa zaidi ya kupoteza muda tu,kizazi hiki cha si jana watu wanauelewa wa kutosha na wanajua nini wanachokitaka.

Mkuu Chriskisamo kweli umenena.Ni akili ya Panzi kutafuta mamluki waliofukuzwa siku nyingi halafu ukawahonga kishamba hivyo.Eti unahonga na magazeti uchwara yakusaidie kuandika huo uharo.
 
Last edited by a moderator:
Watabaki wanabweka kama mbwa koko ,sisi tunasonga mbele,Dr Slaa is our coming president!!
 
Vijana wa Dr Slaa naona wapo kazini wakiongozwa gazeti lao la Tanzania Daima.
 
Vijana wa Dr Slaa naona wapo kazini wakiongozwa gazeti lao la Tanzania Daima.
Mtabaki mnaweweseka tu,mara gazeti hili ni la Mbowe ,mara ni la CHADEMA na sasa limekuwa la Dr Slaa!!Hakuna kulala mbaka gamba livuliwe!!
 
Tanzania daima linajulika kuwa ni gazeti la chadema sasa tathmini unayoisema ni ya ngedere na tumbiri.slaa hamti wasiwasi yeyote si serikali ccm wala mtanzania yeyote.hizo ni ndoto za mchana. Ndani ya cdm yeymyewe wanata aachie ngazi
 
Vijana wa Dr Slaa naona wapo kazini wakiongozwa gazeti lao la Tanzania Daima.

Kaka ritz kumbe angalau wewe unabusara kidogo unajuwa kuwa anaitwa Dr slaa,siyo babu au Kibabu???!!!!!kwanini wewe usiwe ndiye mwenezi wa Magamba?ni pendekezo tu kaka.
 
Back
Top Bottom