Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM


Mkuu wanajidanganya, maendeleo kama yapo wananchi wangeyaona na kupata unafuu wa maisha. Wananchi hawahitaji kuonyeshwa maendeleo kwenye tv!
 
nafurahi kuona mtanzania wa leo ni mpembuzi wa mambo na si mtu wa kudanganya....propaganda zote hizi zimepolewa na watanzania na wamefanya analysis za kisomi na ndo maana unaona nape na na genge lake lake la wahuni linazidi kuaibika kila kukicha....mi nafikiri wapuuzi kama akina nape ni kuweka mikakati ya kuwapopoa mawe kila wapitapo mikoani na wilayani kwetu.....tutakuwa wapumbavu sana kama tukiendelea kuwavumilia wakina nape wakitumia fedha zetu kununua watu maskini ili waweze rudisha nyuma mapambano ya kudai usawa,haki katika nchi yetu....ifikie pahali tuseme baasi kama taifa.....tukiendelea waacha hawa wapuuzi watazarisha kizazi cha shortcut,full majungu.
 

Maneno kuntu haya kamanda Liame
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa sisi watanzania tupo nyuma yako,Nape endelea kupiga kelele mana walikuzunguka ni wajinga wenzako hawana uwezo wa kukushauri ju ya chama chako kitaondoa umaskini vipi wa watanzania,umekalia kufuga tumbo na kujicream.
 
Maji yameshakuwa mengi nape!hayazuliki tena kwa ukuta wa udongo!yaache yatiririke yakanyeshe mimea iliyoanza kukauka kwa kuyakosa.

Mkuu Dik eti ujinga Nape anaofanya sasa hivi ndiyo maazimio ya Sekretariati mpya.Kwa ajinga huu ndiyo maana kila wanapopita wananchi wanawapopoa mawe
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa sisi watanzania tupo nyuma yako,Nape endelea kupiga kelele mana walikuzunguka ni wajinga wenzako hawana uwezo wa kukushauri ju ya chama chako kitaondoa umaskini vipi wa watanzania,umekalia kufuga tumbo na kujicream.

Mkuu PJS Katibu mwenezi Pekee wa CCM aliyekiletea chama heshima ni Ngombale Mwiru.Nape anachojua yeye ni kununua washenzi waliofukuzwa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe ni GT hapa umeongea point tupu sema tu natumia simu ningekupa like mkuu
 

Mkuu blueray umenibariki sana na andiko lako hili.Chadema na Slaa ni moto mkali usiozimwa na maji.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Shardcole Magamba wakisikia jina la Dr Slaa wanatetemeka kama wachawi.

Hakika Dr.Slaa ni jiwe kuu la msingi ktk upinzani Tanzania.

Long Live my Hero Dr.Slaa.
We love you a lot our chief hero.
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe ni GT hapa umeongea point tupu sema tu natumia simu ningekupa like mkuu

Marire ndugu yetu, jiulize Nape umemsikia mara ngapi akimtaja katibu wa CUF ama TLP WACHA NCCR huyu anajua akijibanza kwa SLAA NA CHADEMA CCM WATAJUA ANANIA YA KUKIPA UHAI CHAMA. NANI ASIYEJUA LEO KUWA CCM IMEPOOZA UPANDE WA KULIA HIVYO HAIJIWEZI TENA.
 

thus why wazee wenye hekima wakasema kwamba" Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"
 
thus why wazee wenye hekima wakasema kwamba" Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"

Katibu wao mkuu aliyekuwa na akili timamu nae alisema.
Nang'atuka maana CCM IMEOZA NA INANUKA. RIP KOLIMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…