Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amezidi kukiweka katika wakati mgumu chama cha CCM na chama hicho kinahofia kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.
Utafiti uliofanywa na gazeti la Tanzania Daima Jumapili unaonyesha kwamba CCM inapata kiwewe kila inaposikia jina la Dr Slaa likitajwa.Hiyo ndiyo sababu CCM kupitia katibu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye inawatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA kuitisha mikutano ya waandishi na kunchafua Dr Slaa.
Sasa ni rasmi kuwa kuna fedha za mafisadi zimetengwa ambazo ni maalum kumchafua Dr Slaa.Inadaiwa mpango huo unaratibiwa vyema na Nape Nnauye ambaye alikosa doa lolote la kumchafua Dr Slaa ikabidi aibuke na hoja ya kipumbavu ya Kadi ya CCM ya Dr Slaa.
Hata hivyo uchunguzi zaidi unaonyesha Dr Slaa amezidi kung'ara na mpango huu wa Nape Nnauye umeshindwa mapema kwani amepotea njia kuwatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA.Dr Slaa kwa sasa amezidi kupendwa na kuungwa mkono ndani ya chama chake kwa kile kinachofahamika kwamba anayeandamwa sana na CCM ndiye mpinzani wa kweli.
Pia mpango huu wa Nape na Mafisadi unashirikisha magazeti kadhaa kupamba kurasa za mbele za magazeti yao kwamba CHADEMA kuna migogoro.
Source:Tanzania Daima Jumapili.

Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
Tuacheni utani Slaa ni kiboko yaani ni kama anaimaliza ccm. Kikosi chote cha ccm kinamgwaya unganisha nape kinana mwigulu na mafisadi wote wanamuogopa.
Nape unapanda chat sababu ya CHADEMA NA SLAA WAKIPOTEA HAO WEWE PIA UTAPOTEA NA UMAARUFU WAKO UTASHUKA.
Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
Hizi siasa wanazo Fanya CCM hazifanywi mahali popote pale Duninian, yaani zinafanywa na CCM pekee, hizi ni saisa za Ajabu za kutumia fedha za walipa Kodi zilizo ibwa na kuzitumia kuwahonga, watu, Nenda Kenya nenda Uganda hakuna Siasa za aina hiyo kabisa
Sure. Nape nilimwambia hili swala humu jf, akawa anataka kukazia,sasa katibu mwenezi anaeneza propaganda kwa siku 4. Halafu anaziacha hewani, cdm wanaikosoa kwa hoja mahususi then ccm wanaona wapo watupu kama walivyozaliwa.