Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amezidi kukiweka katika wakati mgumu chama cha CCM na chama hicho kinahofia kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.
Utafiti uliofanywa na gazeti la Tanzania Daima Jumapili unaonyesha kwamba CCM inapata kiwewe kila inaposikia jina la Dr Slaa likitajwa.Hiyo ndiyo sababu CCM kupitia katibu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye inawatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA kuitisha mikutano ya waandishi na kunchafua Dr Slaa.
Sasa ni rasmi kuwa kuna fedha za mafisadi zimetengwa ambazo ni maalum kumchafua Dr Slaa.Inadaiwa mpango huo unaratibiwa vyema na Nape Nnauye ambaye alikosa doa lolote la kumchafua Dr Slaa ikabidi aibuke na hoja ya kipumbavu ya Kadi ya CCM ya Dr Slaa.
Hata hivyo uchunguzi zaidi unaonyesha Dr Slaa amezidi kung'ara na mpango huu wa Nape Nnauye umeshindwa mapema kwani amepotea njia kuwatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA.Dr Slaa kwa sasa amezidi kupendwa na kuungwa mkono ndani na nje ya chama chake kwa kile kinachofahamika kwamba anayeandamwa sana na CCM ndiye mpinzani wa kweli.
Pia mpango huu wa Nape na Mafisadi unashirikisha magazeti kadhaa kupamba kurasa za mbele za magazeti yao kwamba CHADEMA kuna migogoro.
Source:Tanzania Daima Jumapili.