DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 299
viva chadema!go go go my President...
Is he your president?? How many do you have?
viva chadema!go go go my President...
​hata mapadri hana hadhi ya kukaa naoSlaa huna ubavu wa kukaa na zitto meza moja mkajadiri issues kielimu. Tofauti yenu kubwa sana kama kas na kus. Labda ukakae na mapadri wenzako mpange mipango ya kiroho zaidi.
Hii hapa mkuu MSALANI...
SLAA
ni kiongozi mbinafsi.
ni kiongozi mzinzi.
ni kiongozi mwizi.
ni kiongozi mwenye chuki.
ni kiongozi mpenda madaraka.
ni kiongozi anayrechumia tumbo.
ni kiongozi mwenye sura mbili.
Slaa huna ubavu wa kukaa na zitto meza moja mkajadiri issues kielimu. Tofauti yenu kubwa sana kama kas na kus. Labda ukakae na mapadri wenzako mpange mipango ya kiroho zaidi.
Slaa huna ubavu wa kukaa na zitto meza moja mkajadiri issues kielimu. Tofauti yenu kubwa sana kama kas na kus. Labda ukakae na mapadri wenzako mpange mipango ya kiroho zaidi.
Na ITV walioonyesha jioni hii nao waongo? Kweli mna mioyo migumu kama shetani.​hii picha si ya kigoma ilikuwa pande za moshi huko......tumewachoka kwa ulaghai wenu
hata kama ni kutumika huku sasa kumezidi yaani ni zaid ya pedi.
Is he your president?? How many do you have?
Bado ipo moja hajapewa. Honorary Doctor of Flying around the world.hivi mzurulaji yeyote anapewa tu.
SLAA
ni kiongozi mbinafsi.
ni kiongozi mzinzi.
ni kiongozi mwizi.
ni kiongozi mwenye chuki.
ni kiongozi mpenda madaraka.
ni kiongozi anayrechumia tumbo.
ni kiongozi mwenye sura mbili.
hivi msigwa nae ni wa kuongea akasikilizwa?Na ITV walioonyesha jioni hii nao waongo? Kweli mna mioyo migumu kama shetani.Ila sasa nikubaliane na Msigwa alivyosema Bungeni leo kuwa akili za Maccm zimedumaa na chama Chao ni CHAKAVU.
unaota ndoto utazika ndugu zako wote mwisho nawewe utaiacha CCM ikitawalanyamaza pimbi wewe!unajua ulichoandika kweli au umechanganyikiwa?baki kwa mashetani wenzako mwisho wa utawala wa mashetani ndiyo unafika mwisho.
Is he your president?? How many do you have?
hivi msigwa nae ni wa kuongea akasikilizwa?
Mmefanikiwa kupata picha moja tu leo!
The only reason the words lunacy and insane still exist is bcoz they define u perfectly.
Tumeanza kuchanganyikiwa. Yaani badala ya kupambana na akina Kinana tupo busy kupambana na Zitto. Ni nani huyo aliyeturoga? Yaani Zitto amekuwa taasisi?
wakuu kuna mtu ana habari alipo TUNTEMEKE?nataka aje aniambie mwaka hiyo picha ilipopigwa na wapi