Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Nimesikia Mbowe ndoa yake inapumulia Mashine,mke wake anataka talaka na File limeshafika kwa DDP,Maana yake chama kitakuwa kinaongozwa na maseja watupu waliokataa kanisa na msikiti na kuamua kuishi na Vimada.Kuna Viongozi hapo?

Ndio maana hakiishiwi na maajabu hiki chama. Mtu mzima kama Slaa kuishi na hawara ni aibu kubwa sana na nilaana.
 
hiyo ni sehemu moja kati ya maelfu na pia kulikuwa na vitisho tayaria haina haja kushabikia
 
Huu ni umbeya na unafiki,,,inabidi upingwe kwa nguvu zote,,,aldu cjui kwann mods wanaacha habari za umbeya kama hz.

Hizo picha zinaonesha mvua kubwa inanyesha,,,sasa utatarajia watuuuu??? Kweli watu wengine wanafikiria kama mbulumundu.
 
Hivi ndivyo KAMNDA SLAA alivyopachimba kigoma kaskazini leo. kila la heri kamanda

View attachment 125948
kamanda slaa akisalimiana na polisi waliojitokeza kumsikiliza

View attachment 125960
kamanda slaa akibadilishana mawazo na POLICCM

View attachment 125966
HAPA KAMANDA SLAA AKIMPA MAELEKEZO MMOJA KATI YA MAOFISA WA POLICCM

View attachment 125974

HAPA MAELFU YA WAKAZI WA KIGOMA WAKIMLAKI KAMANDA SLAA

View attachment 125967

PEOPLEEES- HAPA AKIHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA KIGOMA
View attachment 125973

AKITETA JAMBO NA MKUU WA POLICCMView attachment 125954

HAPA MSAFARA WA MAGARI ZAIDI YA 26 NA PIKI PIKI ZAIDI YA 150 KAMA VINAVYOONEKANA PICHANI WAKIMPOKEA KAMANDA SLAA TAYARI KWA MAKAMUZI.
 
Du!!
Hii aibu ya Mwaka, nadhani sasa mumeelewa kuwa Mwarobaini unatibu Magonjwa mengi, Msimchezee Zitto sio size yenu kabisa, bado Mwanza na Singida lazima muionje joto ya jiwe.

Ahsante Mungu kwa kuwaadhibu watu wanaolitumia jina lako vibaya.
:frusty:
 
Lol Maccm ni janga kweli kweli hivi hayaoni hata aibu ati huyu mgonjwa wa akili anayejiita Taswira yuko Dr Slaa alikuwa peke yake mkutanoni wakati kaonyesha au kapiga picha kidizaini.Nafahamu kapiga picha kifisadi ili kuficha ukweli wa Mkutano, kwa nini nasema mleta uzi ni mgonjwa wa akili kaweka picha japokuwa kachakachua lakini kasahau kwenye maandishi yake na kuandika Dr Slaa alikuwa peke yake lol.Kushabikia CCM kazi kweli kweli.
 
Slaa analindwa na askari saba ili afanye siasa kwa usalama, lakini analalamika na kusema kuwa mfumo wa siasa Tanzania ni sawa na ule wa ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini. Halafu anajifananisha na Mandela!

Mkuu ZeMarcopolo
Huyu babu amepagawa hana ule mvuto wa kisiasa anachofanya ni kujaribu kutetea nafasi yake kumbuka huyu mzinifu alikopeshwa zaidi ya milioni 140 na kama wakiingia madarakani Chadema viongozi wenye nia ya kweli atakuwa hatarini na mzigo wa hilo deni; amejaribu kupima akili za wana Kigoma hali unayoiona ndio hiyo hawamtaki analazimisha; hivi kama hoja ni uhai wa Chama; Kigoma ipo vizuri sana kiupinzani ndio maana wana wabunge kadhaa kutoka vyama vya upinzani; sisi tulitegemea aende mkoa kama Tanga ambako hakuna wabunge wa vyama vya upinzani; hivi haoni hata haya kujifananisha na Mendela? Kalimbia kanisa kwa kulawiti watoto wa watu; kapora mke wa mtu; kijichotea mkopo na kulazimisha kujipangia mshahara na marupurupu hivi ni lipi katika haya anayotaka kujifananisha na mtu muadilifu ambaye amekufa akipigania haki za wanyonge kama Mandela??
 
Last edited by a moderator:
Huu ni umbeya na unafiki,,,inabidi upingwe kwa nguvu zote,,,aldu cjui kwann mods wanaacha habari za umbeya kama hz.

Hizo picha zinaonesha mvua kubwa inanyesha,,,sasa utatarajia watuuuu??? Kweli watu wengine wanafikiria kama mbulumundu.

Kamanda watu wakiwa na mapenzi na wewe hata mvua ya mawe watakuja tu si uliona leo FNB?
 
You sound like someone I know from Facebook. An ardent supporter of Zitto Kabwe.
 
Tuacheni unafiki chama kimetetereka sn huyo zito anaoneka msaliti ndo kakifikisha kua kikuu cha upinzani nchini maamuzi yajazba ndo yamekifikisha hpa sasa tungoje kua kam vyama vilivoanguka navilikua maarufu zaidi chsdema
 
kushashiwi watu waliolishwa 'sumu' ni kazi sana aisee.
 
mbona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.

Usiiseme nafsi....wengne jk ndo kipenz chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…