Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Tumeanza kuchanganyikiwa. Yaani badala ya kupambana na akina Kinana tupo busy kupambana na Zitto. Ni nani huyo aliyeturoga? Yaani Zitto amekuwa taasisi?
Dr Slaa ni dokta wa kanoni, "dr " Kikwete ni dokta wa nini?
hawa watu hut umia hata mawe....
kikwete ni dokta misifa
slaa
ni kiongozi mbinafsi.
Ni kiongozi mzinzi.
Ni kiongozi mwizi.
Ni kiongozi mwenye chuki.
Ni kiongozi mpenda madaraka.
Ni kiongozi anayrechumia tumbo.
Ni kiongozi mwenye sura mbili.
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
ya kwanza iwe ya babu akiwa anacheza denga
gaidi slaa.
hivi mzurulaji yeyote anapewa tu.Shahada ya kwanza na ya pili za Slaa amezipatia chuo kipi na masomo yepi?
Soma vitu vya Kikwete hapa:
[h=3]Honours[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[/TD]
[TD]Uganda[/TD]![]()
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[/TD]
[TD]Comoros[/TD]![]()
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[/TD]
[TD]Saudi Arabia[/TD]![]()
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Excellence[/TD]
[TD]Jamaica[/TD]![]()
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[/TD]
[TD]Oman[/TD]![]()
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"][SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Awards[/h]
[h=3]Honorary degrees[/h] [TABLE="class: wikitable"]
- Sullivan Honor
- 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
- 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
- 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
- 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
- 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
[TR]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Degree[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]United States[/TD]![]()
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]Kenya[/TD]![]()
[TD]Doctor of Humane Letters[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][SUP][16][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]Turkey[/TD]![]()
[TD]Doctorate in International Relations[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][17][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]![]()
[TD]Doctor of Public Health (Honoris Causa)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][18][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]![]()
[TD]Honoris Causa[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]![]()
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]Canada[/TD]![]()
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"][SUP][21][/SUP][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hivi shahada za huyo jamaa yako alikuwa anajifunza kwa Kiswahili au Kikwere? Maana pia pamoja na kuwa Waziri miaka mingi ikiwana 10 foreign bado ni majanga katika lugha ya kujifunzia ambayo ni kingereza.
Aliniacha hoi siku moja kwenye mkutano mmoja huko nje alipoanza " Your exellency madam chairman ..........."
sijui tunaaibika mara ngapi.
​hii picha si ya kigoma ilikuwa pande za moshi huko......tumewachoka kwa ulaghai wenuMsafara wa Gwiji wa siasa Tanzania na Katibu mkuu CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa ndo unakatiza hapa Kigoma mjini, ishara ya vidole viwili inatanda kila mahali na maneno ya ''Dkt. Slaa huyo huyo...Chademaaaa....Chademaaaa''.
Msafara unaelekea Jimbo la Kigoma Kaskazini Mkutano wa Kwanza utakuwa Nyarubanga, kisha utaelekea mkutano wa pili.
Updates.....
Ndo twawasili Nyarubanga hapa. Akina mama wamejipanga barabarani pembeni kdg ya uwanja wanaimba kumpokea Katibu Mkuu Dkt. Slaa. Msafara umeshaingia uwanjani.
Red Brigade wako imara kweli kweli leo hapa. Wananchi wanasogea sogea. Naona ngoma hapa inachezwa na akina mama.
Updates No 2:
Dkt. Slaa anaingia kucheza ngoma na wenyeji hapa. Ngoma hii inachezwa na kikundi cha ngoma cha akina mama wa CHADEMA kuhamasisha wananchi kujiunga na CHADEMA hasa akina mama na vijana.
Naambiwa inaitwa Denga. Wananchi wanashangilia kumuona Dokta anaungana na akina mama kucheza Denga!
Updates No 3.....
Mkutano umeshafunguliwa na Mkiti Issa Kibaba. Waitara amemkaribisha Mratibu wa Kanda ambaye amezungumzia namna Kanda inavyojipanga kuhudumia wanachama na wananchi kwa ujumla.
Sasa anapanda Mkiti wa Kanda Shaaban Mambo, anazungumza kidogo kwa sbb ya dalili ya mvua kubwa. Sasa amepanda Dkt. Slaa.
Mvua imekuwa kubwa hapa. Wav wamevumilia kumsikiliza Dkt, ambaye ameamua kubadili kubadili mbinu ya mkutano badala ya kuendelea kuhutubia, anatoa nafasi ya maswali kwa wananchi ili wasiende mbali
Updates No 4.....
Watu 4 hadi sasa wameshauliza maswali na Dkt. Slaa anaendelea kujibu maswali yote 5, 3 yanayuhusu maamuzi ya Kamati Kuu kuwavua madaraka Zitto, Kitila na Mwigamba
Mengine 2 yanayuhusu Chadema na misingi yake. Dkt, anaendelea kufafanua, masuala yote yaliyoulizwa.
Mvua inazidi kuwa kubwa hapa. Dkt. Slaa anawauliza wananchi aendelee au afunge mkutano, wananchi wanasema aendelee. Anaendelea hapa.
Mvua kubwa iliyotanguliwa na ukungu mkubwa sana ktk eneo la mkutano imezidi kuongezeka.
Sehemu ya umati wa wananchi wametafuta miamvuli na kubaki karibu na jukwaa. Wengine wako jukwaa kuu, wengine wamekimbilia upenuni mwa nyumba kuendelea kusikiliza.
Mvua ktk eneo hili la mkutano ni kubwa sana, ingawa mbali kdg tu kutoka hapa hakuna ukungu wala mvua.
Updates No 5....
Kutokana na mvua kuzidi kuwa kubwa Wananchi wamemruhusu Dkt. Slaa ashuke jukwaani baada ya kuhutubia kama dkk 45.
Msafara unalazimika kuondoka kwenda mkutano wa pili.
Kuna utani unazungumzwa na baadhi ya wananchi kwamba ''wameshindwa njia zote sasa wameamua kujaribu hii...''.
Lakini Dkt. Slaa kabla hajaondoka jukwaani, aliwaambia wananchi kuwa mvua ni baraka, hivyo wasilaumu!
Picha chini ni kabla mvua haijaanza kunyesha:
![]()
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
si bure unakula kwake......kumwamini mwanaume mwenzio kiasi hiki mhhh una mamboDR SLAA ndiyo tegemeo la kila mwenye mapenzi mema na nchi hii .
wakikosa ya kusema wataanza matusi sasa hivi ugoni wa kizee chao hawauoni eti tegemeo lao kweli mlaanika hata mavi huyaonea fahariUmekushuka tu, huna la kusema.
una dhambi sana wewe kwakuwa si wachaga unawaita vibaraka??? jinsi babu alivyokuambukiza chuki yake mpaka ukataka kumuua mtoto wa watu....dunia hii kijana mtendwa hutendwa ukabila na udini wenu vitawaangushaKipimo kile tunachowapimia CCM ndicho tutakachowapimia Vibaraka wao popote hata kama wapo miongoni mwetu.Tukiwagundua.....!
:frusty:Kikwete ni Dokta misifa
​msimamo wa kula wake za watu??yeess.. Mwenye msimamo sio kama miss tz