sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Ametingisha wakati kila sikua anakoswa na mawe kwenye mikutano yake.
Anakoswa na mataahira, wenye akili ndio hao wanampokea kwa shangwe na vigelegele!
Ametingisha wakati kila sikua anakoswa na mawe kwenye mikutano yake.
Akirudi itabidi mjitahidi apate matibabu makubwa amepata shida sana na kuhangaika sana.
Msafara wa Dkt. Slaa ndo unakatiza hapa Kigoma mjini, ishara ya vidole viwili inatanda kila mahali na maneno ya ''Dkt. Slaa huyo huyo...Chademaaaa....Chademaaaa''.
Msafara unaelekea Jimbo la Kigoma Kaskazini Mkutano wa Kwanza utakuwa Nyarubanga, kisha utaelekea mkutano wa pili.
Updates.....
Ndo twawasili Nyarubanga hapa. Akina mama wamejipanga barabarani pembeni kdg ya uwanja wanaimba kumpokea Katibu Mkuu Dkt. Slaa. Msafara umeshaingia uwanjani.
Red Brigade wako imara kweli kweli leo hapa. Wananchi wanasogea sogea. Naona ngoma hapa inachezwa na akina mama.
Updates No 2:
Dkt. Slaa anaingia kucheza ngoma na wenyeji hapa. Ngoma hii inachezwa na kikundi cha ngoma cha akina mama wa CHADEMA kuhamasisha wananchi kujiunga na CHADEMA hasa akina mama na vijana.
Naambiwa inaitwa Denga. Wananchi wanashangilia kumuona Dokta anaungana na akina mama kucheza Denga!
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
Vipi mipango ya kumdhuru Alex Kitumo imefikia wapi?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni sana.
Ndoto za mchana mbaya sana unaweza kutoka chumbani bila nguo.zitto akiwa mwenyekiti wa chadema hatimaye rais wa nchi hii utahamia nchi gani?
Akili zako na mawazo yako yanafanana na kile unachopeleka washroom.Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......
Kikosi cha ulinzi kutuko BAVICHA kimeshawasili?
mkuu kwani wewe uko wapi? Unataka kusema kuwa dr. Slaa hayupo mjini kigoma?Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
Haya maneno yamejaa hekima, busara na upako.Na aliacha upadre kwa hiari yake ili aweze kulitumikia tAIFA LA MUNGU kwa mapana zaidi, kutoka kutumika RC na amakuwa akitumika kwa watanzania wote bila kujali DINI.PIGA kazi mpakwa mafuta wa TANGANYIKA, ulitabiliwa toka zamani HAKUNA SHETANI atakayesimamisha nguvu ya CDM
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......