Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr. Slaa ni noma mbaya, maccm na Pandikizi Yuda wako hoi, Kigoma viva mnajua democrasia na upinzani ni nini, maccm yanazani upinzani ni ugomvi. ZZK alidhani ni club ya simba kila siku kupinduana, akapinduka yeye na masalia wake.
 
Watu walio na mahitaji ya kweli ya mabadiliko hawapati tatizo kuhusu kinachoendelea CDM.Wapo pamoja na wanaendelea kuwabaini wasaliti moja baada ya mwingine.Wanaopinga na wanaotoa matamko ni dhahiri wanapandikizwa na CCM.
Nawasifu viongozi/wanachama watiifu wa chandema ambao hawaja tetereka na vuguvugu hili la usaliti ambao ndio ilikuwa silaha ya CCM kuiangamiza CDM,ambayo ni dhahiri imeshindwa.Sina hakika kama wamebakiwa na silaha zingine,lakini kwa muda uliobakia kuelekea uchaguzi mkuu kama wataendelea na mchezo huo hakika watashindwa vibaya maana hila zao zimegundulika pia upande wa pili hali za maisha za Watanzania ninazidi kuwa ngumu kutoka na usimamizi duni wa uchumi,wao wamekalia kuidhoofisha CDM. "TIME WILL TELL"

kuna umuhimu wa ccm kurudi ktk mstari kwa kuiacha asili ibaki asili, siyo siasa za kichina, 2014 itakuwa ngumu sana kwani huu muda ni muafaka kwao kujipanga kimkakati na si ki-propaganda
 
...Sahau kuhusu picha.

Hii hapa mkuu MSALANI...
Picha chini ni kabla mvua haijaanza kunyesha:
attachment.php



Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
jamani mwenye sifa tumpe sifa yake wakuu, mimi toka nimefatilia kwa karibu hekima, maarifa na siasa za dr.slaa, ninathubutu kusema huyu mzee ni miongoni mwa simba(wakombozi) wa africa, dr.slaa ni mwanasiasa hasa, ni jemedari na kamanda mpiganaji aliye jasiri mithili ya steve biko na mwenye muono mithili cout camilo cavour wa italy.

Mungu ampe maisha marefu sana kamanda wetu na hakika historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi.

bavicha bhana!hivi dr slaa kwa nini hakwenda kabla ya matukio ya kuvuliwa uongozi?
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......

Malizia vizuri ripoti yako...Akafa yeye Ghafla. Tena Dr. Slaa ameshamsahau huyooo. Leo anaendelea na kampeini ya kuikomboa \\tanzania
 
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
Huyo dokta Jakaya ni veterinary doctor au? Kasomea chuo gani yakhe?
 
bavicha bhana!hivi dr slaa kwa nini hakwenda kabla ya matukio ya kuvuliwa uongozi?

Ulitaka afanye safari mara kumikumi na umesikia kati ya maswali 5 yaliyoulizwa 4 yanahusu mamluki wako. Mwisho wa ubaya aibu. Viva CHADEMA
 
Kwa hiyo sasa hivi mpinzani wetu ni Zitto na sio CCM tena?

Kama ulikuwa hujui kama huyo Zitto ni CCM aliye ndani ya CDM basi una upofu wewe. Wenzio tunaondoa boriti kwenye jicho letu alafu tukatoe kibanzi huko
 
Huyo dokta Jakaya ni veterinary doctor au? Kasomea chuo gani yakhe?

"Huyo" vyuo vikuu kadhaa vya pembe mbali mbali duniani vimemtunuku Udaktari kwa mafanikio yaliotukuka katika nyanja tofauti katika utendaji wake. Ana rikodi za utendaji uliotukuka kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

Licha ya Udaktari, "Huyo" ametunukiwa nishani za juu zilizotukuka za nchi tofauti duniani hakuna Rais wa Tanzania ambae hata harufu amezisikia.

Sasa nakuuliza wewe, Slaa ana baccalaureate na Masters ya chuo kipi na ya masomo yepi?
 
Songa Mbele Dr. Slaa, fanya kazi baba, kamwe usichoke, usihisi upweke tuko nyuma yako baba....
 
Back
Top Bottom