Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 745
- 633
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita, Dr. Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji ana ugonjwa wa akili na mengine mengi.
Akihutubia mkutano wa hadhara, katibu mkuu wa CHADEMA amehoji swali muhimu sana kuwa, je, umoja wa mataifa wakidai hati hiyo,itapelekwa hati gani? Maana iliyoandaliwa na Nyerere ni ya Tanganyika na siyo ya muungano.
Asante sana Mh.Lissu,you are my hero of the day!
SOURCE: ITV, taarifa ya habari ya saa mbili