Dr. Slaa athibitisha kuwa hati ya muungano haipo umoja wa mataifa

INTERAHAMWE ndiyo wanazidi kudata. Nape na Chemba tumeni wa mabango tena kama mlivyofanya mafinga,naona baada ya kuumbuliwa katka hilo kama kawa na mwenyekiti wenu mmekimbilia policcm ili wazuia mikutano ya UKAWA.Kazi mnayo maana mko very busy kupambana na UKAWA badala ya shughuli zenu.
 
CCM wanaendelea kukamatwa, wasipobadili uelekeo basi merikebu yao inazama!!!
 
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita, Dr. Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji ana ugonjwa wa akili na mengine mengi.

Akihutubia mkutano wa hadhara, katibu mkuu wa CHADEMA amehoji swali muhimu sana kuwa, je, umoja wa mataifa wakidai hati hiyo,itapelekwa hati gani? Maana iliyoandaliwa na Nyerere ni ya Tanganyika na siyo ya muungano.

Asante sana Mh.Lissu,you are my hero of the day!

SOURCE: ITV, taarifa ya habari ya saa mbili

Hii tamu sana! Haya Kinana na Nape, nendeni tena Jimboni kwa Lissu mkatukane kwamba muongo, tumewasoma kumbe hamna hoja ya maana mnakurupuka kama aliyeguswa patamu. Shame on you! CCM tumewachoka sana. UKAWA in Our Blood!
 
Mkuu siku zote hizi hujazoea uzushi wa Dr.Slaa? Au wewe ni mgeni hapa Tanzania?

Kweli Dr.slaa mzushi maana hata ile list of shame -EPA aliyotimuliwa nayo bungeni; akaenda nayo kwa wananchi. Hadi leo hii, watz hawajaona ukweli. KWELI KWA CCM Dr.Slaa mzushi!!!...
 
Asante kwa kumuelimisha MSALANI yeye just buku 7 si unajua wanalipwa kwa wingi wa msg.

jina lake limekaa kishujaa sana kwa mainterahamwe wenzake,maana siasa zao ni za msalani kweli,kama naniii PhD holder tena ya Law,aliyewahi kuandika Thesis mwisho wa siku akaikataa wasomi walipoinukuu wajanja,
 
Hivi hii hati haipo UN HQ?

Mimi nashangaa sana ama US wanataka tusambaratike? Kama ni hati haipo why wakubali kuita United Republic of Tanzania katika tambuzi zao? Hapa kuna kitu msikubali hivi hivi kuendeshwa na wanasiasa njaa. Tulizana tafakari!!
 
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita, Dr. Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji ana ugonjwa wa akili na mengine mengi.

Akihutubia mkutano wa hadhara, katibu mkuu wa CHADEMA amehoji swali muhimu sana kuwa, je, umoja wa mataifa wakidai hati hiyo,itapelekwa hati gani? Maana iliyoandaliwa na Nyerere ni ya Tanganyika na siyo ya muungano.

Asante sana Mh.Lissu,you are my hero of the day!

SOURCE: ITV, taarifa ya habari ya saa mbili

Ikiwepo isiwepo, whats the big deal?
 
Hivi hii hati haipo UN HQ?

Mimi nashangaa sana ama US wanataka tusambaratike? Kama ni hati haipo why wakubali kuita United Republic of Tanzania katika tambuzi zao? Hapa kuna kitu msikubali hivi hivi kuendeshwa na wanasiasa njaa. Tulizana tafakari!!

Si mchezo,ndo maana kila leo tunakubali tu matakwa ya wamagharibi,mara ushoga,mara uwekezaji,mara...duh! May Allah do a favor to our retarded nation with which leaders being controlled with phobia,are increasinglym being syncophants! Shame on interahamwe UKAWA-CCM members
 
Dr. Slaa ni nani? Ana mamlaka gani ya kuisemea UN? ana access gani UN? Who is Slaa by the way?

Humjui mzalendo Imara asiye tetereka? Kwani Kinana ni nani hasa hadi afanye ziara na ziara tena katika sekta za serikali akizunguka nchi nzima huku akiizungumzia serikali? Mbona huyu hujahoji ukinana wake lakini umehoji Uslaa? Au na wewe ndo interahamwe?

Leave the name of Slaa symbolically representing the real patriot like Steve Biko,Oliver Tambo,Che Guevara,Wilmot Blyeden...just few to mention by their names! Mshindwe na mlegee mainterahamwe!
 
Ndugu Sir H. Hujajibu swali langu bali umetia tusi na kuuliza maswali yasiyo humu!!! Jibu Dr. Slaa ni nani UN ili athibishe kua hati haipo? Kinana hajasema hati ipo au haipo UN sasa nimuulizie ili iweje? Swala la Dr Slaa kuwa mzalendo sikatai kuwa ni mzalendo ingawa hathubutu hata kugusa kamba/gidam za viatu vya uliowataja ambao kuwataja yahitaji uwe na nguvu ya ziada. Jibu swali langu acha porojo
 
Kweli Dr.slaa mzushi maana hata ile list of shame -EPA aliyotimuliwa nayo bungeni; akaenda nayo kwa wananchi. Hadi leo hii, watz hawajaona ukweli. KWELI KWA CCM Dr.Slaa mzushi!!!...

Natafakali kifaa wanachotumia CCM kuwang'olea akili, maana dah ilichoandika sijui umekitoa wapi
 
Ndugu Sir H. Hujajibu swali langu bali umetia tusi na kuuliza maswali yasiyo humu!!! Jibu Dr. Slaa ni nani UN ili athibishe kua hati haipo? Kinana hajasema hati ipo au haipo UN sasa nimuulizie ili iweje? Swala la Dr Slaa kuwa mzalendo sikatai kuwa ni mzalendo ingawa hathubutu hata kugusa kamba/gidam za viatu vya uliowataja ambao kuwataja yahitaji uwe na nguvu ya ziada. Jibu swali langu acha porojo

Ok,by the way,ni mwanaharakati,mwanasiasa,sijui nimekujibu mkuu?
 
Sir H, samahani nilipotea kidogo, swali langu ni je Dr. Slaa ni nani huko UN mpaka atoe uthibitisho kuwa hati ya muungano haipo UN? Swala la uzalendo halikua kwenye mjadala. Pia nikupongeze kwa kutambua swala la siasa uchwara hapa nchini.
 
Hana cheo UN,ni mwanaharakati tu,
 
nilikuwepo live ni kweli haipo kwa ushahidi aliousema Dr Slaa na zaidi sana alivujisha mpaka siri za mpango mkakati wa CCM kabla ya kuendelea na Bunge la Katiba kwa kutumia Ipad yake.
 
Dr. Slaa miaka inavyoenda na akili inapunguka uwezo wa kuchanganua mambo. Umezaa na wanawake wa wili huku ukijiita padri, wewe na team yako ya ma form four mlisusia bunge la katiba upumbavu huo umeamia hata kwenye bunge la bajeti. Leo unadai hati ya muhungano!!! Wakati ulikuwa CCM mbona hatukuona huo uzalendo wako.
1.Na je! Kunauzalendo zaidi ya kuruhusu Chama kikaguliwe na CAG?
2. Je! Kunauzalendo zaidi ya kutekeleza katiba ya Chama juu ya uchaguzi wa ndani ya Chama?

Nenda ukalale kalenga maana mkeo anakusubiri ni zaidi ya miezi mi tatu sasa hakuoni.
 
Back
Top Bottom