Dr. Slaa athibitisha kuwa hati ya muungano haipo umoja wa mataifa

By 2016 Tanzania hakutakuwa na upinzani tena maana viongozi wengi wa upinzani ni wapumbavu na wachovu wa kufikilia.
 
Dr. Slaa miaka inavyoenda na akili inapunguka uwezo wa kuchanganua mambo. Umezaa na wanawake wa wili huku ukijiita padri, wewe na team yako ya ma form four mlisusia bunge la katiba upumbavu huo umeamia hata kwenye bunge la bajeti. Leo unadai hati ya muhungano!!! Wakati ulikuwa CCM mbona hatukuona huo uzalendo wako.
1.Na je! Kunauzalendo zaidi ya kuruhusu Chama kikaguliwe na CAG?
2. Je! Kunauzalendo zaidi ya kutekeleza katiba ya Chama juu ya uchaguzi wa ndani ya Chama?

Nenda ukalale kalenga maana mkeo anakusubiri ni zaidi ya miezi mi tatu sasa hakuoni.

Walewale,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom