Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Kitu gani kimekufanya udhani kuwa Obama ni mweusi?

Ujaluo wake umepata vipi thamani zaidi ya umarekani wake?

Tatizo lako wewe ni exposure. Mtu akiwa mbaguzi haimaanishai kuwa hawezi kualika watu tofauti, kinachomaanishwa ni kwamba in their mentality hawampi thamani sawa kama biandamu wengine.

Hapo Slaa anaonekana kama object of touristic attraction na hakuna anachoongea kinachochukuliwa seriously.

Pengine hutaweza kunielewa kama exposure yako iko limited.

Nimeweka habari hapo msome ili mjue nini kinaendelea. Sasa kama kusoma nako hamtaki mnakuja kubisha bisha to typical of bavicha, mnaonekana sifuri tupu...

Labda nikuulize swali rahisi tu. Umeshawahi kufika Alabama? What did you see?

Angalia hizo picha za Slaa, unaona mtu mweusi anywhere nearby? Have you asked yourself why? Fungua picha za Slaa kuanzia siku ya kwanza ameingia Alabama mpaka ya mwisho halafu sema kama kuna mtu yoyote mweusi hata kwa mbali kwenye picha.

Kweli kabisa, kuangalia mpira ni jambo la maana sana kwa chadema...

Tatizo lao ni exposure. Hawajawahi kukakaa katika mazingira ya ushindani na hao watu ili waweze kuona undani wao walivyo. Wao wamezoea kuona wazungu wanawaletea peremende na biskuti za misaada tu...

Mkuu Mwita,

Kweli nyinyi watu mmelaghaika kwa kupitiliza kiwango. Yaani Slaa anawadanganya kuwa Kikwete ameenda Marekani kwa ajili ya kumuharibia safari yake yeye!!! Ina maana Slaa amefanikiwa kukulaghai kuwa UN General Assembly iliitishwa ili Kikwete aende kuharibu dili za Dr. Slaa.

Slaa ni gwiji la ulaghai...

Tatizo lako unataka kunilazimisha kukubaliana na mambo ambayo bado sijakubaliana nayo. You seem to accept kwamba Obama ni mweusi, lakini usifanye assumption kwamba kila mtu anakubaliana na perception hiyo.

Ndio maana nikakuuliza kitu gani kimekufanya useme Obama ni mweusi na si mweupe? Angalia makini kwa sababu jibu lako linaweza kuwa racist au sexist in nature.

Nirudie mara ngapi kwamba ni ujaluo wake? Kuusema ukweli wa ujaluo wa Obama ni racism?

Ze Makopo inaonekana hii kitu imekuuma kweli. MaCCM yamepanic.
 
Huu ni uthibitisho tosha kwamba dr. Slaa ni mtu muhimu pande zote za dunia kwakuwa amepewa hadhi ya juu kabisa ya makaribisho huko marekani na watu wakila aina walivutiwa(watu mashuhuri) na amekwenda kutmbelea vitu muhimu ambavyo kwa imani yangu atarudi na bonge ya councelling kwa maccm na wananchi kwa ujumla. Viva viva viva viva viva dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Serikali ya Marekani wameahidi kuhakikisha Dr Wilbroad Slaa kuwa the next presdent of republican of Tanzania kama walivyohakikisha Sata kuwa rais wa Zambia,taarifa inasema ni kutokana na serikali ya ccm kuunga mkono terrorist organisation na kuendekeza udini kwa nia ya kuharibu taifa la Tanzania,mtakao lia lieni na mtakao umia umieni,Marekani wakiamua hakuna wa kubisha,is matter of time

View attachment 115397
kwa hiyo slaa atawekwa na wamarekani na sii kura za watanzania? anyway atakuwa kikaragosi kingine tu japo utwala wa hivyo umeishapitwa na wakati! sioni unachojivunia katika hili! marekani ikimweka mtu ni kwa interest za marekani halafu and nothing else! Tanzania haijawahi unga mkono any terrorist organization so kama slaa ndivyo anavyo jiuza kwa kuvikikwa kilemba cha urais na anakubali then we need to think again.
 
Wajinga ndio waliwao.

Hiyo ni football game kati ya Alabama na Georgia State. yeye kaalikwa tu kutazama. Nna uhakika hakuna mtazamaji hata mmoja humo ndani anayejua Babu Slaa ni nani.

Senator Shelby is a Republican. Hao jamaa wana-block ObamaCare mnategemea wawape support ya sera zenu za huduma ya afya bure?

Alabama is well Alabama. Deep South, hebu google historia tu ya Alabama uone.

Jamani pandeni ndege mtoke japo hata Kenya kidogo. Itapanua sana uwezo wenu wa mawazo.
 
kama mawazo yenyewe ndio kama haya yako bora nibaki daslam milele,yani una pumba kuliko mwigulu..
 
Huku ni kumdhalilisha Mzee Mandela kumfananisha na Dr. Slaa.

Wewe umekuwa msemaji wa Mandela?
Umesikia mzee Mandela kalalamika au famlia yake imelalamika kufananishwa na Dr.Slaa?
 
Wajinga ndio waliwao.

Hiyo ni football game kati ya Alabama na Georgia State. yeye kaalikwa tu kutazama. Nna uhakika hakuna mtazamaji hata mmoja humo ndani anayejua Babu Slaa ni nani.

Senator Shelby is a Republican. Hao jamaa wana-block ObamaCare mnategemea wawape support ya sera zenu za huduma ya afya bure?

Alabama is well Alabama. Deep South, hebu google historia tu ya Alabama uone.

Jamani pandeni ndege mtoke japo hata Kenya kidogo. Itapanua sana uwezo wenu wa mawazo.

Wewe una kashfa US huwezi kwenda.
 
Dogo sele
Yaani wewe kwenda kula tende uarabuni ndio unajisikia umetooka na kupanua uwezo. Hongera! Nitakupa zawadi ya kiti moto, kilo nzima ufaidi.
 
Waungwana wa JF .
Naombeni kujua jambo moja .Niliona Picha hapa online na mbele polisi na pikipiki .Alikuwa anaingia kwenye uwanja wa mchezo wa football hapo USA kama sikosei .Je was it live televised ? Kama ilikuwa LIVE basi naaminii Slaa pamoja na kusakamwa kwake atakuwa alilibeba vyema jina la nchi yangu Tanzania .Najua wachache wa wamarekani wanaijua Tanania na baada ya Obama kuja Tanzania kwa ziara ya less than 24hrs , lakini kutokea mwingine kwenye ardhi yao kama Slaa (PhD) kunawafanya waijue zaidi Tanzania na hasa nikiwataka waje kwenye utalii .

Naombeni msaada kama ilikuwa LIVE televised .

Asanteni
 
yes mkuu it was live and clear,kama ulivyoona kwenye picha thus why kuna watu walinuna humu
 
Hakika siku iatafika, uchakachuaji utakuwa hauna nafasi na watanzania watampata rais wanayemtaka kidemokrasia!!! Mungu si Athuman!!! Go Go Dr. Slaa. Wameshakutambua sema hawataki kukubali, kila siku wanakutungia visa vipya kupitia shutuma za kupangwa na kwa bahati nzuri zote zinagongwa mwamba. Watanzania hawadanganyikiiiiiiiii!!!
 
Wajinga ndio waliwao.

Hiyo ni football game kati ya Alabama na Georgia State. yeye kaalikwa tu kutazama. Nna uhakika hakuna mtazamaji hata mmoja humo ndani anayejua Babu Slaa ni nani.

Senator Shelby is a Republican. Hao jamaa wana-block ObamaCare mnategemea wawape support ya sera zenu za huduma ya afya bure?

Alabama is well Alabama. Deep South, hebu google historia tu ya Alabama uone.

Jamani pandeni ndege mtoke japo hata Kenya kidogo. Itapanua sana uwezo wenu wa mawazo.
Aiiiiiiiii hongera mkuuu!!!!! Makubwa huanza na madogo!!! He is an International figure!!! Penda msipende!!!!
 
This is gud,tunazidi kukuombea Dr.wewe ni wapekee for real,sio wengine wamepewa ridhaa kazi yao ni KUBEMBEA na KUENDESHWA kwenye torori la FARASI huko ughaibuni......!
Ile tu kuendeshwa kwenye toroli la kukokotwa na farasi,jamaa akawapa bure mgodi wa Buzwagi
 
Cjaona bdo uspecial wa ajabu aliopewa sema alijumuika na wamarekani kuangalia mechi ya american football live
 
Kupanda ndege tena! Kaitwa kaitwa tu. Kama haijakaa poa kwako ipotezee THE MAN IS SMART. Big up Dr. The change is on its track.
 
Shemeji yeye ni Mponzi wa mpira wa Miguu ali kwenda kaangalia Machi.
 
Back
Top Bottom