Mkuu wa kikosi cha buku saba fc project
ZeMarcopolo yuko kila uzi unaomhusu raisi wetu mtarajiwa
Dr.W.Slaa!
Mmemtuma gaidi mwigulu akishirikiana na msaidizi wa Kikwete-Luhwavi kwenda Marekani kuhujumu ziara ya Dkt. Slaa lakini wameshindwa kufua dafu baada ya kubaini kuwa ziara yake imelenga taasisi za kimarekani ambazo mwigulu hawezi kutia pua.
Nyie endeleeni kuwagawia $3,000 hao wabeba box waliojichokea ili mfungue matawi hewa na kuwahadaa wanaccm wenzenu kuwa kazi mliyoiendea mmeikamilisha kumbe mwigulu na luhwavi wameambulia aibu ya mwaka huko Marekani.