Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Kumbe Slaa alivyokuwa analalamika kuhusu Kikwete kusafiri ilikuwa ni kwa sababu yeye hajapata fursa hizo tu. Kumbe alikuwa anatamani apate yeye fursa ya kusafiri...
 
Ziara ya Slaa imesababisha matanga lumumba , wanakesha kumjadili .
 
1. Unafahamu madhara ya kuweka mkono pembeni ya hapo unapodai moyo ulipo? kama ilivyo mtu akipigwa risasi?
kwa kufanya hivyo aliathili vitu vingapi? na madharagani yalitokea? kama hakuna basi wewe Fitina mwiko mjinga wa haja.
kama yapo orodhesha.

2. wakati Kikwete anabembea, walikuwa pamoja na Rais wa jamaika? kama sivo nidharau na kujidharirisha
3. Wakati Kikwete anatembelea Timu ya sundaland nakupewa jezi alikuwa na waziri mkuu wa England?
4. Je hao wenyeji wake Dr Slaa, kwa nyazifa na heshima zao unadhani pia ni wajinga?
Unaelekea akili yako ni ndogo kiuelewa kupita maelezo, endapo kikwete angebembea na mgeni wake, wala tusingelalamika
Kinachotufanya kuona kikwete alipotoka nipale rais wa Jamaica alipopuuza ubembeaji na kumwacha huyu asiyejuwa
wajibu wake aendelee kucheza.
Kuonesha hujuwi unachokitetea wala unachokijadili nakwamba upouwezekano mkubwa nimmoja wa f4-failure umeshindwa kujibu maswali rahisi tu hapo juu, badala ya kubwabwaja towa majibu stahiki.
Kwa kuwa unadadisi vitu usivyojua, nitakueleza, in AL, tide ndiyo team kubwa yenye mvuto sana. Kuna kitu kina
itwa home coming, ambacho huwa jumuisha watu almost wote na waliosoma/wanaosoma kushabikia team yao. Kitendo cha UAs executive pamoja na gavana kuwepo uwanjani ni support kwa team yao, it has nothing to do with Dr. Slaa. Hao jamaa kitendo cha kuwepo uwanjani ni moja ya kazi zao. Jaribu kuuliza watu waliosoma USA watakueleza
 
Kumbe Slaa alivyokuwa analalamika kuhusu Kikwete kusafiri ilikuwa ni kwa sababu yeye hajapata fursa hizo tu. Kumbe alikuwa anatamani apate yeye fursa ya kusafiri...

Mwenye ufaham hujadili kwa kuzingatia uwiano wa ulinganifu kwa walengwa.

Unawalinganisha kwa uwiano wa safari ngapi za kikwete dhidi ya Dr. Slaa? Na kwa wastan wa safari ngapi za kikwete kwa mwezi Vs za Dr Slaa?
 
Dr. Slaa ni mroho sana wa pesa na madaraka...
 
kama wengine wangekuwa wanafanya ziara za kujifunza na makini , wakaachana na mabembea ambayo hata kwenye viwanja vya maonyesho ya sabasaba yamejaa tele , kama anavyofanya Slaa hii nchi ingekuwa mbali mno .
 
Kwa kuwa unadadisi vitu usivyojua, nitakueleza, in AL, tide ndiyo team kubwa yenye mvuto sana. Kuna kitu kina
itwa home coming, ambacho huwa jumuisha watu almost wote na waliosoma/wanaosoma kushabikia team yao. Kitendo cha UAs executive pamoja na gavana kuwepo uwanjani ni support kwa team yao, it has nothing to do with Dr. Slaa. Hao jamaa kitendo cha kuwepo uwanjani ni moja ya kazi zao. Jaribu kuuliza watu waliosoma USA watakueleza

Kwa akili yako yote na ufahamu wako katika hayo uliyoyaandika hapo juu kunajibu la maswali haya hapa chini walau moja? Zingatia ulichoulizwa....

By adolay:
1. Unafahamu madhara ya kuweka mkono pembeni ya hapo unapodai moyo ulipo? kama ilivyo mtu akipigwa risasi?
kwa kufanya hivyo aliathili vitu vingapi? na madharagani yalitokea? kama hakuna basi wewe Fitina mwiko mjinga wa haja.
kama yapo orodhesha.
2. wakati Kikwete anabembea, walikuwa pamoja na Rais wa jamaika? kama sivo nidharau na kujidharirisha
3. Wakati Kikwete anatembelea Timu ya sundaland nakupewa jezi alikuwa na waziri mkuu wa England?
4. Je hao wenyeji wake Dr Slaa, kwa nyazifa na heshima zao unadhani pia ni wajinga?

5. Kwa ufaham na akili yako, mwneyeji wako anapokualika mkatembele sehem flani rasmi, kama mgeni mwaalikwa utakataa? Na utabakia wapi unafanya nini, maana mwenyeji wako anatoka?

Unaelekea akili yako ni ndogo kiuelewa kupita maelezo, endapo kikwete angebembea na mwenyeji wake, wala tusingelalamika
Kinachotufanya kuona kikwete alipotoka nipale rais wa Jamaica alipopuuza ubembeaji na kumwacha huyu asiyejuwa
wajibu wake aendelee kucheza.
Kuonesha hujuwi unachokitetea wala unachokijadili nakwamba upouwezekano mkubwa nimmoja wa f4-failure umeshindwa kujibu maswali rahisi tu hapo juu, badala ya kubwabwaja towa majibu stahiki.
 
Kwa kuwa unadadisi vitu usivyojua, nitakueleza, in AL, tide ndiyo team kubwa yenye mvuto sana. Kuna kitu kina
itwa home coming, ambacho huwa jumuisha watu almost wote na waliosoma/wanaosoma kushabikia team yao. Kitendo cha UAs executive pamoja na gavana kuwepo uwanjani ni support kwa team yao, it has nothing to do with Dr. Slaa. Hao jamaa kitendo cha kuwepo uwanjani ni moja ya kazi zao. Jaribu kuuliza watu waliosoma USA watakueleza
Mimi ni mtanzania ambaye niko hapa USA kwa miaka 6 sasa. Una uhakika na haya unayoyasema?
 
Ubaguzi wake sijawahi kuushuhudi ndiyo nausikia kwako na kama ni kweli basi mtoa hukumu yu juu yetu sote,tumwachie kazi hiyo na sio mimi wala wewe kuanza kuhukumu watu
 
Viroba ngoja niwakumbusheni,mnakumbuka bosi wenu Mbowe alitaka kununua jenereta la Tanesco pale jimboni kwake Hai ili alitengeneze na baadaye auze umeme kwa wananchi. Tanesco wakamkatalia,sasa Padri Slaa kaenda huko kibiashara zaidi lakini zinazotumika ni pesa za chama anbazo ni kodi zetu. Pili huyu Padri Slaa ni wa kumuombea kwa kweli kwa huyu mama wa Kihaya,uadilifu wa Slaa hautokuwepo tena,kumbukeni ya Ben Mkapa, Mzee Nyerere alimsifia sana Mkapa kwa uadilifu,lakini mama wa kichaga alipochungulia hazina mambo yakabadilika. Muangalieni huyo Josephine miaka miwili ijao hata kabla Slaa hajashika madaraka kama viroba mnavyoota OOOH CCM MAFISADI SASA NYIE MNAANZA KUTENGENEZA MAPEMA. MATAJIRI HAWAFADHILI CHAMA BURE HUKU AFRICA
 
Asante Nagasaki kwa kumsaidia huyo mkunga daraja la 3 kuamini kinachofanywa na Dr. Slaa. Yeye keshazoea kubebeshwa sembe hana anachojua

cc: ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom