Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Slaa wenzake wameweka mkono kwenye moyo, yeye kaweka mkono kwenye tumbo. Hii inamaanisha Slaa yuko kwa maslahi ya tumbo lake, which is true...
 
hii ni heshima ya pekeee. watu kama hao mpaka wakukubali ujue wewe ni jembe. siyo hao vilaza kina nchemba wanazunguka wakiishia kupokelewa na wabeba boksi na wazamiaji haramu...
 
Wamarekani wanajiweka kwenye safe side 2015, sio china wanaoendelea kwa wizi wizi tu
 
Nchemba alienda marekani kupiga picha na mademu wenye mikorogo..na kutafuta sifa za kijinga. hakujipanga kidiplomasia. kwanza hakuna mtu wa maana ambaye angekubali kujihusisha naye. Nafikiri akiona hi atakuwa anajisikia aibu mno kwa pesa za umma alizotumia bila mpangilio.
 
Kumbe hata Slaa anakubalika Marekani! Ile kete kwamba upinzani hawatakuwa na bao kwa sera za nje ni bure kumbe! Mbele Daima Nyuma Hapana!
 
Huku ni kumdhalilisha Mzee Mandela kumfananisha na Dr. Slaa.
 
Bwna Madelu nae alikua na msafara wa pikipiki kumi ngoja HAMMY -D atuletee picha
 
Moderator please remove this thread because it cause havoc to other individuals like Nape Nnawie and Ngulu Nchemba and I am told they in the brinks of getting heart failure.
 
Dada Josephine nguo iyo iyo kila siku jamani! au mi ndio sioni vizuri?:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom