Dr. Slaa ni mroho sana wa pesa na madaraka...
Mimi ni mtanzania ambaye niko hapa USA kwa miaka 6 sasa. Una uhakika na haya unayoyasema?
Dr. slaa ni Wajibikaji waloo wa pesa kina Kikwete na cabinet yake, kikwete amewai kushobokewa kiivo akienda state, anakuwaga mdogo na venyee hajui kuongea kingereza ndo kabsaaaaa anashindwa hata kujadili fursa za maendeleo na wakubwa, teh.
Let me tell you some. I don't dance your song, do I look like your student. Kama nimekuambia ukitaka kuiga wamarekani wanasema "if you wanna copy, make sure you get it right". It seems like we speak two different languages, Just do you and I will do me. Dr Slaa ni Janga kubwa, angalia watu wenye upeo mkubwa ndani ya CDM, hawasemi lolote.Kwa akili yako yote na ufahamu wako katika hayo uliyoyaandika hapo juu kunajibu la maswali haya hapa chini walau moja? Zingatia ulichoulizwa....
By adolay:
1. Unafahamu madhara ya kuweka mkono pembeni ya hapo unapodai moyo ulipo? kama ilivyo mtu akipigwa risasi?
kwa kufanya hivyo aliathili vitu vingapi? na madharagani yalitokea? kama hakuna basi wewe Fitina mwiko mjinga wa haja.
kama yapo orodhesha.
2. wakati Kikwete anabembea, walikuwa pamoja na Rais wa jamaika? kama sivo nidharau na kujidharirisha
3. Wakati Kikwete anatembelea Timu ya sundaland nakupewa jezi alikuwa na waziri mkuu wa England?
4. Je hao wenyeji wake Dr Slaa, kwa nyazifa na heshima zao unadhani pia ni wajinga?
5. Kwa ufaham na akili yako, mwneyeji wako anapokualika mkatembele sehem flani rasmi, kama mgeni mwaalikwa utakataa? Na utabakia wapi unafanya nini, maana mwenyeji wako anatoka?
Unaelekea akili yako ni ndogo kiuelewa kupita maelezo, endapo kikwete angebembea na mwenyeji wake, wala tusingelalamika
Kinachotufanya kuona kikwete alipotoka nipale rais wa Jamaica alipopuuza ubembeaji na kumwacha huyu asiyejuwa
wajibu wake aendelee kucheza.
Kuonesha hujuwi unachokitetea wala unachokijadili nakwamba upouwezekano mkubwa nimmoja wa f4-failure umeshindwa kujibu maswali rahisi tu hapo juu, badala ya kubwabwaja towa majibu stahiki.
Miaka sita, good! tuanze na hili, unajua maana ya home coming? have you ever attend any home coming event?Mimi ni mtanzania ambaye niko hapa USA kwa miaka 6 sasa. Una uhakika na haya unayoyasema?
Kama ni maandalizi ya 2015 hapa mmenoa ,, wapiga kura wako mtera, kishapu , tarime, pemba , handeni na n.k huko.marekani ni kwenda kupanga namna ya kutuuza tuu.
Ndugu kazi rasmi inaanza 2014 na 2015 ni kumaliza kazi Dr. Slaa anawatia presha magamba yanatamani dunia ipasuke.tuko pamoja Dr. Slaa. naisubiri kwa hamu 2015!!!
Let me tell you some. I don't dance your song, do I look like your student. Kama nimekuambia ukitaka kuiga wamarekani wanasema "if you wanna copy, make sure you get it right". It seems like we speak two different languages, Just do you and I will do me. Dr Slaa ni Janga kubwa, angalia watu wenye upeo mkubwa ndani ya CDM, hawasemi lolote.
Slaa kwenda kuona mechi imekuwa nongwa!!!
You sound very stupid n I have zero tolerance with your stupidity. Hakuna mtu anayekupangia ratiba bila ya kukushirikisha. Tuliona Obama alipokuja, kila kitu kilikuwa organize na ndani ya siku moja viliwezekana. Dr. Slaa hakupangiwa ratiba ya kwenda mpirani, but he was offered. Think out of the box, acha kupenda FOOL
Fitinamwiko
mnajifanya wanjanja kuchafua watu, kichwani akili huna, nimbumbumbu wakupwa kama huwezi kujitetea na kujibu hoja ipasavyo kwanini unamchafua mtu ukiwa huna facts wala reference sahihi?
Is it possible to argue, discuss or hold a debate without bases or points of reference? nimjinga tu kama wewe ndo anaweza......
Nimekuwekea hayo maswali kukuweka sawa baada ya kusoma michango yako mingi ya kijingajinga isiyo na reference, base wala facts. base yako nikuripuka, kuropoka na kupayuka ukiulizwa huna majibu kama si ujuha nini?
Sasa kama unaelewa maana ya mjadala nakuwekea hapa tena maswali yangu kama kianzio na base ya madahalo wetu.
By adolay![]()
![]()
Kwa akili yako yote na ufahamu wako katika hayo uliyoyaandika hapo juu kunajibu la maswali haya hapa chini walau moja? Zingatia ulichoulizwa....
By adolay:
1. Unafahamu madhara ya kuweka mkono pembeni ya hapo unapodai moyo ulipo? kama ilivyo mtu akipigwa risasi?
kwa kufanya hivyo aliathili vitu vingapi? na madharagani yalitokea? kama hakuna basi wewe Fitina mwiko mjinga wa haja.
kama yapo orodhesha.
2. wakati Kikwete anabembea, walikuwa pamoja na Rais wa jamaika? kama sivo nidharau na kujidharirisha
3. Wakati Kikwete anatembelea Timu ya sundaland nakupewa jezi alikuwa na waziri mkuu wa England?
4. Je hao wenyeji wake Dr Slaa, kwa nyazifa na heshima zao unadhani pia ni wajinga?
5. Kwa ufaham na akili yako, mwneyeji wako anapokualika mkatembele sehem flani rasmi, kama mgeni mwaalikwa utakataa? Na utabakia wapi unafanya nini, maana mwenyeji wako anatoka?
Inaelekea akili yako ni ndogo kiuelewa kupita maelezo, endapo kikwete angebembea na mwenyeji wake, wala tusingelalamika kwasababu nimaandalizi ambayo wanashiriki pamoja na huku wanajifunza na kubadilishana mawazo
Kinachotufanya kuona kikwete alipotoka nipale rais wa Jamaica alipopuuza ubembeaji na kumwacha huyu asiyejuwa wajibu wake aendelee kucheza.
Kuonesha hujuwi unachokitetea wala unachokijadili nakwamba upouwezekano mkubwa nimmoja wa f4-failure umeshindwa kujibu maswali rahisi tu hapo juu, badala ya kubwabwaja towa majibu stahiki.