ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Dada Josephine nguo iyo iyo kila siku jamani! au mi ndio sioni vizuri?:A S-confused1:
Josephine ni mshamba wa kutoka ndanindani huko. Ameimprove baada ya kukutana na Slaa. Lengo lake maishani lilikuwa kuolewa na mwanasiasa anayeonekana kwenye TV. Sasa lengo lake limetimia na roho yake imefurahi.
Anajiona babkubwa kiasi kwamba anasema watanzania wanaoishi Marekani ni wakimbizi...