Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Ni
mara ya kwanza kwa kiongozi wa kiafrika kupewa mapokezi makubwa ambayo
Dr. Slaa ameyapokea katika ufunguzi wa mchezo wa mpira maarufu kama
football. Dr. Slaa alialikwa na Chancellor pamoja na Rais wa chuo kikuu
cha Alabama kuwa mgeni rasmi katika mchezo huo baina ya Alabama na
Georgia State. Kiongozi huyo wa Chadema alipokewa na viongozi wa ngazi
mbali mbali wa kitaifa na wa jimbo la Alabama

Akimkaribisha Dr. Slaa katika chakula cha asubuhi iliyoandaliwa kwa
ajili yake, Chancellor wa chuo hicho, amemfananisha Dr. Slaa na Nelson
Mandela kutokana na juhudi zake za kupambana ufisadi nchini Tanzania. “
Tunajua jinsi polisi wanavyowaua raia na kuwakamata wapinzani” alisema
kiongozi huyo. Kadhalika kiongozi huyo amemsifu Dr. Slaa kutokana na
msimamo wake, sera zake za kulikomboa Tanzania kutoka katika umasikini
licha ya chama chake kutungiwa kesi za ughaidi.

Kwa upande wake, wakiwa kama moja ya vyuo vikuu nchini marekani, wako
tayari kufanya kazi kwa ukaribu na Dr. Slaa hasa katika sekta ya elimu.
Wamemuomba ajisikie nyumbani na kufurahia mchezo wa American football.
Kwa unyenyekevu Dr. Slaa aliwashukuru governor, na viongozi wengine kwa
kuwa wakarimu sana kwake na mkewe na watu wa Tanzania. Amefurahishwa
jinsi wamarekani wanavyokuwa na hamasa na kuipa kipaumbele michezo.

Nimejifunza kwamba michezo ni moja ya mbinu ya kuiunganisha taifa hasa
tunapokuwa na changamoto nyingi kama za kwetu alisema Dr. Slaa.
Kadhalika amesema kwamba, chama chake cha Chadema ina sera ya kukuza
vipaji kupitia taasisi za michezo nchini Tanzania na siyo kuwaleta
Makocha wa kigeni, mmoja baada ya mwingine na kuwapeleka Ikulu kula
pilau na kupiga picha.

Nilichojifunza ni kwamba, lazima nirudi na ujumbe kwa watanzania kuweka
mifumo endelevu ya michezo kuanzia shule za misingi hadi vyuoni.
Nilichoona hapa ni mfano wa kuigwa alimalizia Dr. Slaa
attachment.php

Dr.
Slaa na Mkewe wakilakiwa na Rais wa Chuo
attachment.php

Moja
wa mamea mashuhuri marekani akimsalimia Dr. Slaa
attachment.php

Dr.
Slaa akikaribishwa Ukumbuni kwenye Chakula cha Asubuhi iliyoandaliwa
kwa ajili yake
attachment.php

Moja
ya Viongozi wa Juu Nchini Marekani
attachment.php

Dr.
Slaa akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi ya Masenators
walioalikwa kujumuika naye
attachment.php

Watoto
nao walijitokeza kumsalimia na kupiga picha na mgeni mashuhuri Dr. Slaa
attachment.php

Watu
wengi mashuhuri walioalikwa walimiminika kusalimiana na Dr. Slaa
attachment.php

Dr.
Slaa na Senator Shelby wakibadilishana mawazo wakielekea uwanjani
attachment.php

Msafara
wa Dr. Slaa ukiwasili uwanjani
attachment.php

Watu
wa kila aina mashuhuri walifika kumsalimia Dr. Slaa
attachment.php

Dr.
Slaa na Gavana
attachment.php

Dr.
Slaa akisalimiwa na mmoja wa US congressmen waliohudhuria mchezo
attachment.php

Mshindi
wa Nobel Peace Price na Dr. Slaa ndani ya Chumba cha watu mashuhuri
wakijadili neno
attachment.php

Viongozi
Mashuhuri wakiwa uwanjani kabla ya mchezo kuanza. Dr. Slaa ndiye mgeni
Rasmi. Hapa ni chumba maalum cha rais kwa ajili ya wageni mashuhuri
attachment.php

Uwanja
ulijaa hasa. Watu zaidi ya laki moja walihudhuria
attachment.php


wakiwa
katika chumba cha watu mashuhuri. Baadhi ya watu mahuhuri kama yeye
hawakujizuia kwenda kumsalimia. Akifungua mchezo wa leo, Dr. Slaa
alirushwa moja kwa moja na moja ya luninga kubwa zaidi nchini
marekani​

Sasa hilo koti kashonesha wapi?Tandale...!halafu huyo rais wa mambulula kama ww hizo picha umemuaibisha bahasha wako.
 
Napenda chadema,Slaa asiposimamishwa urais basi wamsimamishe Tundu Lissu.
Amen

Tundu Lussu? sisi tunataka mgombea urais atoke kanda yetu, isitoshe mgombea urais 2015 ni mwenyekiti wetu na siyo katibu mkuu.

Body without head
 
Watanzania, mtu kama huyu ndio awekwe bench kwa ajili ya mtu wa kuja tu?
 
Ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa kiafrika kupewa mapokezi makubwa ambayo Dr. Slaa ameyapokea katika ufunguzi wa mchezo wa mpira maarufu kama football. Dr. Slaa alialikwa na Chancellor pamoja na Rais wa chuo kikuu cha Alabama kuwa mgeni rasmi katika mchezo huo baina ya Alabama na Georgia State. Kiongozi huyo wa Chadema alipokewa na viongozi wa ngazi mbali mbali wa kitaifa na wa jimbo la Alabama

Akimkaribisha Dr. Slaa katika chakula cha asubuhi iliyoandaliwa kwa ajili yake, Chancellor wa chuo hicho, amemfananisha Dr. Slaa na Nelson Mandela kutokana na juhudi zake za kupambana ufisadi nchini Tanzania. “
Tunajua jinsi polisi wanavyowaua raia na kuwakamata wapinzani” alisema kiongozi huyo. Kadhalika kiongozi huyo amemsifu Dr. Slaa kutokana na msimamo wake, sera zake za kulikomboa Tanzania kutoka katika umasikini licha ya chama chake kutungiwa kesi za ughaidi.

Kwa upande wake, wakiwa kama moja ya vyuo vikuu nchini marekani, wako tayari kufanya kazi kwa ukaribu na Dr. Slaa hasa katika sekta ya elimu. Wamemuomba ajisikie nyumbani na kufurahia mchezo wa American football.
Kwa unyenyekevu Dr. Slaa aliwashukuru governor, na viongozi wengine kwa kuwa wakarimu sana kwake na mkewe na watu wa Tanzania. Amefurahishwa jinsi wamarekani wanavyokuwa na hamasa na kuipa kipaumbele michezo.

Nimejifunza kwamba michezo ni moja ya mbinu ya kuiunganisha taifa hasa tunapokuwa na changamoto nyingi kama za kwetu alisema Dr. Slaa. Kadhalika amesema kwamba, chama chake cha Chadema ina sera ya kukuza vipaji kupitia taasisi za michezo nchini Tanzania na siyo kuwaleta Makocha wa kigeni, mmoja baada ya mwingine na kuwapeleka Ikulu kula pilau na kupiga picha.

Nilichojifunza ni kwamba, lazima nirudi na ujumbe kwa watanzania kuweka mifumo endelevu ya michezo kuanzia shule za misingi hadi vyuoni. Nilichoona hapa ni mfano wa kuigwa alimalizia Dr. Slaa
attachment.php

Dr. Slaa na Mkewe wakilakiwa na Rais wa Chuo
attachment.php

Moja wa mamea mashuhuri marekani akimsalimia Dr. Slaa
attachment.php

Dr. Slaa akikaribishwa Ukumbuni kwenye Chakula cha Asubuhi iliyoandaliwa kwa ajili yake
attachment.php

Moja ya Viongozi wa Juu Nchini Marekani
attachment.php

Dr. Slaa akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi ya Masenators walioalikwa kujumuika naye
attachment.php

Watoto nao walijitokeza kumsalimia na kupiga picha na mgeni mashuhuri Dr. Slaa
attachment.php

Watu wengi mashuhuri walioalikwa walimiminika kusalimiana na Dr. Slaa
attachment.php

Dr. Slaa na Senator Shelby wakibadilishana mawazo wakielekea uwanjani
attachment.php

Msafara wa Dr. Slaa ukiwasili uwanjani
attachment.php

Watu wa kila aina mashuhuri walifika kumsalimia Dr. Slaa
attachment.php

Dr. Slaa na Gavana
attachment.php

Dr. Slaa akisalimiwa na mmoja wa US congressmen waliohudhuria mchezo
attachment.php

Mshindi wa Nobel Peace Price na Dr. Slaa ndani ya Chumba cha watu mashuhuri wakijadili neno
attachment.php

Viongozi Mashuhuri wakiwa uwanjani kabla ya mchezo kuanza. Dr. Slaa ndiye mgeni Rasmi. Hapa ni chumba maalum cha rais kwa ajili ya wageni mashuhuri
attachment.php

Uwanja ulijaa hasa. Watu zaidi ya laki moja walihudhuria
attachment.php


wakiwa katika chumba cha watu mashuhuri. Baadhi ya watu mahuhuri kama yeye hawakujizuia kwenda kumsalimia. Akifungua mchezo wa leo, Dr. Slaa alirushwa moja kwa moja na moja ya luninga kubwa zaidi nchini marekani​

Salute Dr Slaa! Inaonekana kwa miaka mitano tangu 2010 slowly but surely ulikuwa unajenga portfolio yako kupata uzoefu na hadhi ya kirais. Lakini muhimu zaidi uliendelea kujipambanua kama mpambanaji wa ufisadi na haujakuwa na kashfa yoyote.
Nisichoelewa ni kuwa kwa nini leo hii eti uonekane eti huwezi kushindana na mgombea wa CCM wakati 2010 bila maandalizi ulitikisa nchi kwa kushindana na SITTING PRESIDENT yaani Incumbent? Hii huwa ni ngumu zaidi ktk chaguzi yoyote duniani lakini uling'aa!
Tathmini hii ni muhimu kwa wanataaluma na hata uongozi ndani ya chama ili kujua what went wrong.
Kila ya kheri Dr Slaa!
 
Back
Top Bottom