Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Mkuu picha nyingi wanasiasa wanatudanganya wanaleta picha za mwaka 2010 sijui ili iweje kwa hiyo usidanganywe na picha .
janaume zima unapokuwa mmbea kama demu ni aibu hata kwa familia yako,kutwa nzima slaa ooh mbowe mara chadema,utaolewaaaa
sijakuelewa unasema nini kijana.CCM na walionufaika na ufisafi serikalini hawatatuchagulia mgombea.Umefanya wapi utafiti?Speak for yourself!
Sasa si utuwekee hizo hizo za 2010 ambazo mkutano wa Dr Slaa ulidoda utudanganye na wewe?
Nataka niweke picha hapa za kuonyesha namna ambavyo wana Iramba wamemsusia Dr Slaa, yani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku Dr Slaa akiendelea kuhutubia miti na magari ya M4C.
Wacha ukasuku wewe nani alikwambia mimi ni CUF nikome umbea wako peleka palee KinondoniKaa mbali mzee,CUF hamjaweka hadharani utaratibu wenu wa kukusanya maoni.Sitaki majibu yangu kwako yaonekane kuwa ni matusi.Please,Sitaki kukujibu kwa ajili ya heshima kidogo niliyobakiza kwa wanachama na viongozi wenu kama Ismail Jussa na Julius Mtatiro bila kumsahau ndugu Katani(JV-CUF) na Chalamila.Wote hao hawajawahi kuthubutu kunichokoza kama unavyotaka hapa.Usiwaige hawa wengine wanaotaka kutuondoa kwenye mjadala wa ibara zao za katiba hasa katiba yao ibara ya 94(14) na Ibara ya 94(15) inayowapa mamlaka viongozi wa mkoa kuwafukuza uanachama na uongozi Madiwani wao.
Sakata la Sheikh Ponda haliwezi kuisha kwa wewe kujiingiza kichwa kichwa kwenye mhadala huu mkuu.Tafakari upya!Alivyofanyiwa Sheikh Ponda ni Sahihi?
Haya turudi kwenye mada😛icha za mkutano wa Singida zinahitajika sasa.
na jana hapa tanga palidoda ivyoivyo japo alijishauwa kutua na ka helcopta loo akafie uko
Mbona hujadili mada unajadili ID za watu au ndio unawafundisha mods kazi "shame on you"
Ni vyema ukajikita kwenye hoja ya msingi ili kulinda hadhi ya JF.Kwetu wanaume kwa wanaume hawaoani kama wewe ulivyolewa na mwigulu Nchemba...
Mkuu, huku ni kijijini, network iko very poor, ila jitihada zinaendelea za ku-upload picha.
Kiswali chenyewe hujui kuandika.Uongo wako una limit.Communication barrier.
Pia,leta picha kuthibitisha ubayosema.I recommend you,Jukwaa la Lugha litakufaa.Ni bora utumie muda mwingi kule kabla hujachangia hapa kwenye jukwaa la siasa.Kuna wenyewe,tuachie! Bitter pill to swallow.Pole!
Wacha ukasuku wewe nani alikwambia mimi ni CUF nikome umbea wako peleka palee Kinondoni
eti heshima kidogo uliyoibakiza kwa Jussa na Mtatiro unaji proud huna lolote kwanza hao uliowatajahata hawakujui "who are you" na mambo ya sheikh Ponda yameingiaje huku:focus:
WanaJF!
Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.
Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.
Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
Kweli kabisa mkuu, Dr Slaa hana madhara tena kwa sasa, yani amekuwa butu mpaka huruma, sijui ataishi vipi maana nje ya siasa he's nothing. Sijui atarudi tena kanisani?
Kweli kamanda Ben Saanane we ni jeshi la mtu mmoja naona timu nzima ya vijana wa Lumumba umeisambaratisha hoiiii!!!. Chadema kuna majembe sio mchezo,,,. Long liveKiswali chenyewe hujui kuandika.Uongo wako una limit.Communication barrier.
Pia,leta picha kuthibitisha ubayosema.I recommend you,Jukwaa la Lugha litakufaa.Ni bora utumie muda mwingi kule kabla hujachangia hapa kwenye jukwaa la siasa.Kuna wenyewe,tuachie! Bitter pill to swallow.Pole!
We zuzu kweli, nikuletee picha za wanaozomea unataka za nani?
Labda ameenda kusafisha negative, ha ha haaa!Kama uko feild kama unavyojigamba hapa si ulete picha?...
Majibu soma post #165