Anayemtisha ni kivuli chake mwenyewe cha usalitiHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Kwa mahitaji yako ya maparachichi, tuwasiliane
0784572272
Nipo Morogoro
Anajibugi Miss Mshumbuzi @D W Slaa Hana access na acc yake ya JF...Dr Slaa ni member humu JFs.. Hulka yake ni kupenda kujibu kila hoja inayomhusu.
Plse Dr jitoleze ujibu hizo tuhuma za magazeti yetu....
Dr tunakusubiri kw shauku kusikia kauli yako...
Dhambi ya usaliti inamtesaHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Hivi maparachichi hayaozi eeh?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
[emoji23] [emoji23] fursaKwa mahitaji yako ya maparachichi, tuwasiliane
0784572272
Nipo Morogoro
Huyu mtoto yuko stranded na hii biashara pengine yameshaivaa sasa asipopata mteja fasta yatamuozea tumsaidieni tu sasa hakuna namna[emoji23] [emoji23] fursa
Mimi ni mtu na familia yangu. Hujui maisha piga kimyaHuyu mtoto yuko stranded na hii biashara pengine yameshaivaa sasa asipopata mteja fasta yatamuozea tumsaidieni tu sasa hakuna namna
Jamani sio vizuri hivi 😱nyumba inapigwa mnada na benki .... Dr. aende ukweni bukoba
Swala la lipumba...na dr slaa ni tofauti..
Mahangaiko yanayomsumbua dr ni mengi.... usaliti wa chama na kanisa... ni vitu hatari sana...
Lipumba anaweza kuomba msamaha akasamehewa ikumbukwe wakati anajiengua kwenye kiti chake bado hajakaa mbali na siasa...
Huyu dr makando ni mengi mara familia...mara chama...mara kanisa...mara bango la nyumba...
Sio Habili/Abeli,aliyetangatanga ni kaini baada ya kumuua HabiliCanada kuna mihogo? Atakula nini basi?
Amekuwa anatangatanga kama yule mtoto mtoto wa ADAM, aliyejulikana kama HABILI.
Nataka nikusaidie umeanza majukumu na umri mdogo mnoMimi ni mtu na familia yangu. Hujui maisha piga kimya