Dr. wanasiasa wa kitanzania wapumbavu sana.....hamuwezi kuiondoa ccm mpaka mfanye haya 1) Muwa wamoja kama ukawa vile 2) kiugawa ccm vipande vipande.Hivyo lengo kuu ni kuiondoa ccm kwa njia yoyote ile........hivyo mwanasiasa anaye susa hajui au hana historia jinsi kanu ilivyoondolewa.......mjue hakuna wakati mzuri wa kuiondoa ccm kama wakati huu...ni umakini wenu,umoja wenu ndio silaha......Huyu daktari amekuwa akitunwa kwa uadilifu na misimamo yake thabiti.Hili kundi la lowasa halithamini hata mchango wa slaa.Nawashauri wamwache slaa wao kama wanajiamini waendelee na harakati zao, heshima ni utu c pesa. But history will one day talk slaa.
Haya ndio maneno ya watanzania! Kwakweli tunahitaji kuamshwa na sio kujua kula na kushiba tu.Umeamua kula paka kwakuwa nae anafugwa na binadamu kama kuku!.. lkn ungejiuliza kidogo zaidi ya huko kufugwa tu...kunanini kingine usingekula paka! Kwakuwa huo ndio uwezo wako wa kutofautisha....endelea kula Paka ...
Hii team Lowassa, ajenda yao ni kutimua wapambanaji wa kwenye Chama wote mwisho wabaki wao tu kwenye Chama.Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.
Hata mimi nashangaa Huyu Laki si Pesa tangu lini akaitakia mema Chadema?
Hiyo sera ya chadema ili wahi kuwa ipi ingine zaida ya kwenda ikulu ili kukomboa nchi.tuambia ni ipi ingine !!!???Shida ya vyama visivyokuwa na itikadi inayooeleweka huwa vinakumbwa na upepo wowote wa kisiasa. Sasa hivi sera ya CHADEMA ni kwenda ikulu kwa gharama yoyote.
Huyu laki si pesa kaenda cdm kwa kudandia gari la matangazo la lowasa
Nani kamtukana na ni matusi gani?Huyu daktari amekuwa akitunwa kwa uadilifu na misimamo yake thabiti.Hili kundi la lowasa halithamini hata mchango wa slaa.Nawashauri wamwache slaa wao kama wanajiamini waendelee na harakati zao, heshima ni utu c pesa. But history will one day talk slaa.
We jidanganye tu Chadema ni yetu sasa hivi.
Kijana wa kichagga naona unarapu kwelikweli...hakuna nukta wa comma kwenye post yako...punguza jazba jombaa
Chadema ni familia moja, kamwe hatutajenga chadema ya mtu mmoja mmoja, Mh. Mbowe aligombea uraisi, akashindwa, kipindi kilichofata kagombea Mh. PADRI akashindwa, kipindi hiki anataka tena agombeee yeye kwanini anakuwa mbinafsi? mbona aliachiwa nafasi na Mbowe hakujiuzulu SIASA... huu u-festi ledi bwana, utatoa watu roho:smokin:
Dr. lazima aonyeshe kuwa yeye ni kiongozi na ndiye mtendaji wa chama.Nguvu ya LOWASSA NI KUBWA SANA NA UJIO WAKE HAKIKA IMEFUNGUA PAZIA ya mabadiliko.Hofu zimeondoka sasa.....vipi kiongozim anayesusa!.Je si vikao vilifanyika?.Lowassa ni jembe na angesimaa ccm hakika upinzani hata muungane wapi mngepigwa magoli kibao...sasa lulu iko kwenu..tumieni lulu mnufaike.....lowassa akishinda urais si utakuwa waziri,balozi,katibu mkuu jamani vyeo kibao!@
Mkuu huyu padri hajasusa tatizo lipo kwa huyo kimada wake anayeitwa Josphine mshumbushi babu anaogopa atavunjwa tena mkono na huyo mama kama alivyofanya mara ya kwanza