Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Lakin uaadilifu wake unabaki wa mashaka tu. Kwa nini mke wa mfalme utuhumiwe umalaya? Kwa mini yeye yumo tuuu. MTU anaweka conditions kuwa awe mgombea pekee kwa kuogopa kizidiwa na washindani wake.,Sifa mojawapo ya demokrasia ni pamoja na vetting kuwa competitive kutoa wigo mpana kwa electorate kuchambua na kupima. Mbowe anakataa conditions za Dr. Slaa kuwa ajisafishe kwanza kabla hajawa mwanachama na aje awe mwanachama was kawaida. Lakini anakubali za Lowasa kugombea peke take. Hapa ndo panatia shaka. Conditions gani zilikuwa ngumu. Alafu anadanganya eti watu wote tuko sawa ndani ya chama. Lowasa kupokelewa ilikuwa sherehe pale Bahari Beach ni mwanachama gani alipokelewa na kufanyiwa Sherehe? Unafiki mwingine siwakuvumilia.
 
Wana Jf wasalaam!

Mmoja kati ya watu walio kuwa wanautaka Urais na walitegemea sana ndio wataongoza kijiti cha UKAWA ni Dr.W.Slaa ambaye kwa sasa amesusa kabisa baada ya kupatikana mbadala wake..!

WanaJf kama mtakumbuka siku ya mkutano wa CHADEMA pale mwanza Dr Slaa alipokelewa na wananchi kwenye gari la wazi huku akiwapungia mkono, kwakweli Dr alidhani kabisa ameshakuwa Rais na kwa kuonesha furaha alianza kuruka ruka kwa furaha,kama Mungu angemuonesha kuwa mbeleni atakatwa basi asingeliruka kabisa na angesusa kwenda kwenye mkutano kama alivyofanya sasa!

WanaJf tatizo la Dr Slaa sio Lowassa bali ni Urais, na laiti Lowassa asingegombea Urais wala Slaa asingesusa na kujifungia nyumbani kwake!

WanaJf, Slaa ana sifa zote za wanafiki waliotukuka maana asiye mnafiki husema wazi wala hakai kimya na kususa.Nilitegemea Slaa kama kweli anapinga suala la Lowassa ajitokeze hadharani na kusema sio kususa kama watoto

Watanzania hadi sasa hawajui msimamo wake na isitoshe wenzie wamesema na yeye alibariki Lowassa kushika kijiti cha UKAWA!

Kama kuna mwanaCHADEMA bado anafikiri Dr. Slaa bado ni mwana chadema basi mtu huyo atakuwa amechanganyikiwa!

Dr. Slaa sio mwana chadema tangu Lowassa alipokabidhiwa kijiti lakini kwa kuwa Slaa ni mnafiki sana basi hataki kuwambia ukweli anajifanya amesusa!

CHADEMA wanapoteza muda kumbembeleza Slaa lakini hawatofanikiwa kwa kuwa Slaa alishahamua kuachana na CHADEMA baada ya kukosa nafasi ya kugombea Urais..!

Sasa hivi anachofanya Dr. Slaa ni mbinu ya kuhakikisha kura za Lowassa hazitoshi kwa kuwagawa wana UKAWA na bila shaka atafanikiwa katika hili na hatoshiriki campaign za kumnadi fisadi!

Dr. Slaa aliizoea nafasi ya kuwa Rais kimvuli sasa anaona ndoto yake imepotea na hayuko tayari kuendelea na CHADEMA lakini kwa kuwa ni mnafiki basi hataki kuwambia ukweli CHADEMA!

Jambo ambalo wanaweza jaribu CHADEMA ili kumshawishi Slaa kumnadi Lowassa basi ni kumhaidi mshahara mnono kuanzia Million 20 kwa mwezi maana ili ndio tatizo lake na kamwe hawatofanikiwa kumshawishi kama hawatokwenda na wazo la Pesa!

Karibuni wanajamvi!

Ruttashobolwa the great serpent at its best!. Keep it up, for sure utalipwa.
 
Mwacheni Mzee wa watu apumzike. Kafanya kazi kubwa sana kuieneza CDM nchini kote na kama kweli CDM wana akili timamu wanatakiwa kumuenzi kwa mchango wake mkubwa kwa chama chao.
 
Toeni kwanza vibanzi vyenu jichoni ndiyo muanze kumnyoshea vidole dk slaa vinginevyo sisi tunawaona nyie kama wajinga tu.
 
zitto huyo kasababisha yote hayo!!! kwani hatukumbuki??

aibu zenu
 
Ccm naona kama mnjiita CDM kumkashi Dr Slaa ili akurupuke ajibu mpate ajenda za kutumia kwenye kampeini
 
Jamani nawasalimia watanzania wote na wapenda maendeleo kwa ujumla.
Nimekua nikisoma hii midahalo humu JF na mada zinazotolewa nikagundua kwamba, lipo kundi mahususi la Magamba ambalo linataka kumchokonoa Dr silaha kwa maneno ya kejeli na misamiati ya kutengeza eti aone kwamba CDM wamemshushia hadhi! Jamani kundi hili linajitahidi sana.

Labda niseme tu kwamba Dr Silaha ni msomi na zaidi ya Usomi ana hekima na busara nyingi mno, nadhani hadi sasa ameshalisoma na kulielewa hili kundi la kufa maji na naamini kabisa amelipuuzia na kuliona kundi la walevi..Dr Silaha anaupeo mkubwa wa kuchambua mambo na ndo maana kwa kusoma alama za Nyakati alimruhusu mheshimiwa wariziri mkuu mstaafu apeperushe bendera.. Na muombea kwa Mungu dr silaha asipungukiwe chochote katika maisha kwa busara zake hizi.

Na kwa hili alilofanya la kumruhusu mheshimiwa EL apeperushe bendera..Watanzania tumemuheshimu zaidi Dr. Dr silaha Mungu akubariki daima kwa busara zako.
 
Who is Dr. Silaha? Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
 
Mkuu mi wala sio CCM nawala sijawahi isema vizuri CCM ila kwa hali ya CHADEMA / UKAWA ilipofikia sasa ni bora tu Dr. Slaa akakaa kando na siasa zenu zilizojaa uswahili na uchu wa hela, Mimi binafsi namuunga mkono Dr na hata mimi nimefikia maamuzi ya kufuatilia siasa japokuwa nilikuwa napenda sana siasa na kijitolea kwa mambo kadhaa sababu CHADEMA, ila mambo yalipofikia sasa ni heri niachane na siasa zenu za njaaa.

Alafu inaonyesha A/C yako ni mpya kabisa sasa sijajua kusudio lako ni lipi hasa mpk munapata tabu ya kifungua maaacount mapya ya JF ili kuona munamuhitaji sana Dr au vp?

Dr neno lake wala si sheria ila alitoa ushauri kama katibu ili akinusuru chama katika mtego unaotaka kuingia ila mukapuuzia, Dr ni mtu makini aliyesoma masuala ya ORGANIZATION DEVELOPMENT ataelewa kwanini Dr ameendelea kusimamia msimamo wake.
 
Mkuu mi wala sio CCM nawala sijawahi isema vizuri CCM ila kwa hali ya CHADEMA / UKAWA ilipofikia sasa ni bora tu Dr. Slaa akakaa kando na siasa zenu zilizojaa uswahili na uchu wa hela, Mimi binafsi namuunga mkono Dr na hata mimi nimefikia maamuzi ya kufuatilia siasa japokuwa nilikuwa napenda sana siasa na kijitolea kwa mambo kadhaa sababu CHADEMA, ila mambo yalipofikia sasa ni heri niachane na siasa zenu za njaaa.

Wewe ...ni mwana mtiifu wa magamba chadema hawako hivyoo...huwa tunafuata sera za chama sio mtu ....wewe nenden mkagawiwe hela zinatolewa na ...wagombea wa ccm ....usife njaa...
 
Hakuruhusu kwa hiari, he just gave up the fight. Laana ya Dr. Slaa itawatafuna tu, na mimi nasema ni vizuri iwatafune sana
 
Sio slaa ni silaha ya kuungana na El kuimaliza CCM...
 
Pole sana! Mtapigwa vibaya sana mwaka huu, tafiti zinaonesha ukawa watapata 60% na ccm na washirika wake akina Zitto wataambulia 40% .sasa tafuta asilimia ya ccm kwenye 40% baada ya kutoa za ACT, TLP, na vibaraka wengine.

endelea na tafiti zako
 
Back
Top Bottom