Makete Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 531
- 166
mkuu ni misisiem inayojiandaa kuwa mipinzaji, inakula tizi ya kutukana serikali ya ukawa after october
Hakuna Mwana CHADEMA anayemkashifu Dr Slaa
wanaofanya hivyo ni wana ccm wanaojifanya wapinzani
Atimaye gamba umerudi nyumbani hongera naona sasa n wazee mtakiona cha mtema kuni
Wandugu,
Nimeanza kuona kejeli, uzushi, kashfa, matusi, mipasho ya kila aina juu ya Dr Slaa ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Dr Slaa alikuwa muhimili mkuu wa CHADEMA na kupambwa kwa kila afanyalo Lakini leo amekuwa Si chochote si lolote.
Ushauri Wangu Kwenu Ni kuwa na subra na stara kwake Kwani hata kama humpendi katika Siasa tena ki umri ni Mzee Wako hivyo anastahili Sana heshima!
Vijana wa Bavicha acheni uzandiki kuweni na mitazamo ya kukubaliana kutofautiana na sio matusi na kejeli.
Nawasilisha!
Bila CCM madhubuti nchi hii itayumba
CCM ni chama dume
CCM ni chama kinachopendwa Tanzania
Kidumu chama tawala
Hutakiwi kumponda Slaa, Slaa amefanya makubwa chadema Yule Mzee amepigwa sana mabomu! He deserve more and full respect, yeye ni binaadamu tu Kama wengine,, isipokua kwa wimbi hili la kuitoa ccm madarakani sio Dr Slaa peke yake anahitajika Hadi Zitto Kabwe tunamuhitaji kuongeza nguvu!!
Hutakiwi kumponda Slaa, Slaa amefanya makubwa chadema Yule Mzee amepigwa sana mabomu! He deserve more and full respect, yeye ni binaadamu tu Kama wengine,, isipokua kwa wimbi hili la kuitoa ccm madarakani sio Dr Slaa peke yake anahitajika Hadi Zitto Kabwe tunamuhitaji kuongeza nguvu!!
kwa hiyo wakihama ccm wote myawapokea akiwemo Kinana na JK? Kwa hiyo kwenu tatizo ni jina CCM? Watu wote walioko CCM wakihamia CDM si itakuwa ni ccm ileile. Tusiteteee ujinga kwa kushindwa kuishi na kutetea principles. Mnasema sauti ya wengi wakati ni wazi ujio wa Lowasa ni wazo la Mbowe mwenyewe. Kama angetaka liwe la sauti ya wengi angehusisha mkutano mkuu na kuruhusu mjadala mpana juu ya hilo.wanachama wanatakiwa kuchagua mgombea na sikupitisha chaguo moja la familia moja. Binadamu lazima uheshimu dhamiri yako. Lini Lowasa aliacha dili zake? Kama alikuwa na uchungu na mkataba Richmond as a premier alitakiwa kugomea ili kulinda maslahi ya umma na taifa? Lakini akakaa kimya na kuacha taiga likipata hasara kubwa. Hata kama hakupata mgao kwa MTU aliyejua ubovu wa wa mkataba ule kutokusimamia maslahi ya umma kunaacha mashaka uadilifu wake? Wala haikuhitaji ajiuzulu yeye angegoma waliopanga dili wangeogopa kuendelea kwa dili kubumburuka. Lakini pia MTU Huyu bado anaurafiki na Rostam ambaye kwa Maelezo ya Richmond ndo alikuwa na haki ya kisheria. Ukitafakari kwa undani utagundua kuwa ni kweli Lowassa peke yake kama waziri mkuu asingeweza kupitisha mkataba kwa influence yake pasi bosi wake kujua yaaan rais. Hivyo wote walipiga dili lile. Anachokifanya nikumuingiza rais kama mfaidika ili kumtisha kutokuendelea kumsema hili alilitumia Prof. mahalu kwenye kesi yake na Takukuru juu ya jengo la ubalozi Canada. Hiki wanakijua akina Lissu na Marando kuwa serikali ikijitia kwenda mahakamani watamuuingiza rais kama shahidi. Tafakari sanaKusamehe ni agizo shariti uwasamehe adui zako ili upunguze adui na kuongeza marafiki, hiyo ndio kanuni ya Mungu. Wote wanaotoka ccm tushawasamehe kilichobaki ni kupambana kuliondoa zimwi ccm