Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

acha washindweee. Kwa kweli, Sipigi kura ukawa kama Lowasa ndo kasimamishwa na Slaa katimuliwa indirect. Nashawishi wafuasi wangu pia wasipigie kkura CDM ktk ngozi ya UKAWA

Hakuna haja ya kupigia kura ccm b,hivi vyama sasa vimekuwa rasmi matawi ya ccm
 
Kwenye list of shame mlimleta ya nini kama mnamsimamisha Leo kama sio uwehu,hivi unajua hata unachosimamia?

Kwani list of shame alioteshwa dk slaa?? Alipata toka serikalini hamna anaekataa ktk kikao alikuwemo lowassa ndio maana alihusishwa now kamwaga mchele kuwa haikuwa agizo lake bali jk wenu papa la mafisadi
 
Kama ilivyokuwa kwa Lowassa na wapambe wake ndani ya CCM, Dr. Slaa naye hajaridhika na mchakato ndani ya CHADEMA. Kama ilivyokuwa kwa Lowassa, Dr. Slaa na wafuasi wake nao vivyo hivyo wana haki ya kuachana na CHADEMA.

Kama kuondoka kwa Lowassa kumeikosti CCM, kuonda kwa Dr. Slaa hakuwezi kuiacha salama CHADEMA.

Bora CCM less Lowassa kuliko CHADEMA plus Lowassa.

Alipo fisadi mimi sipo!
 
Na usiwepo
 
ndugu wapenda mabadiliko wote, naomba kutoa taarifa kwamba sakata la dr slaa sasa limekuwa kama wimbo ndani ya wanaccm.

Kutwa kucha wamekua wakishinda mitandaoni na kutumia magazeti yao ya uhuru na mzalendo, pamoja na gazeti la Raia tanzania,

katika makakati wao uhu ni kuhakikisha wanawachanganya, wanachadema,na wananchi wapenda mabadiliko,

kinara mkubwa ni (Lizabon) huyu nadhani anajifanya kama yeye ndio mkuu wa usalama wa Taifa,

maana nadhani hana shuguli nyingine za kufanya yeye kazi yake na kukaa kwenye mitandao ya kijamii na kutimiza matakwa ya wanao mtuma, kusambaza uhongo na uzushi,

sisi kama wanachadema na (UKAWA) tunamweshim sana dr slaa, pia tuna uheshimu uhamuzi wake,

mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Chakushangaza makada hawa wa chama cha mapinduzi wao ndio wamekua waliaji wakubwa kuliko wafiwa,

wamegeuka washauri wa chadema, heti wanatuonea sana uruma,

hili ni jambo la kushangaza sana.

Tangulini chama cha mapinduzi kimegeuka swaiba mkubwa wa dr slaa huku wakimwagia sifa lukuki,

hivi tujiulize, unakwenda kupigana vita alafu adui ana kwambia ukitaka kunipiga basi mlete flani, wewe umesha hona wapi kama sio unafiki wa chama cha mapinduzi?

Niwito wangu kwa wanachadema wenzangu, na (UKAWA) kwa ujumla kuzitambua hila na mipango ya hadui,

tuwaache waendeleze wimbo wao wa dr slaa, sisi tuendelee na mipango yetu,mwisho wa siku wataishiwa uhu wimbo,

nakujikuta wameambulia patupu huku sisi tukiimba wimbo mpya wa kusherekea ushindi,

tuwapuuze tuchape kazi kwani saa ya ukombozi ni sasa, hatuna muda wa kupoteza kwa hoja za washindwa,
 
Kama ilivyokuwa kwa Lowassa na wapambe wake ndani ya CCM, Dr. Slaa naye hajaridhika na mchakato ndani ya CHADEMA. Kama ilivyokuwa kwa Lowassa, Dr. Slaa na wafuasi wake nao vivyo hivyo wana haki ya kuachana na CHADEMA.

Kama kuondoka kwa Lowassa kumeikosti CCM, kuonda kwa Dr. Slaa hakuwezi kuiacha salama CHADEMA.

Bora CCM less Lowassa kuliko CHADEMA plus Lowassa.

Alipo fisadi mimi sipo!

Naanza kuona mbowe ni mpiga madili na kulinda biashara zake,alimfukuza zitto baada ya zitto kutangaza kutaka kugombea uenyekiti chadema,Leo kamleta lowasa ili apige hela bila kujali watu waliojituma kujenga chama,ccm ishaumia lowasa kutoka,tuone sasa je chadema Slaa akitoka itafika
 
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,ccm wameingia chadema baada ya mbowe kumleta lowasa na wale chadema wasafi wakiumiwa,Leo chadema imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani
.

Kweli tunaitoa ccm madarakani kwa UKAWA kumsimamisha lowasa aliyekuwa fisadi!

Bila uso wa haya mnamsafisha lowasa na kumwita mkombozi.

Mafisadi wameingia chadema na ccm imebaki bila mafisadi imewatema halafu chadema mliojipambanua mnapinga ufisadi Leo mnamleta fisadi asimame kwenye UKAWA .

Kama Dr Slaa hatakwepo kwenye safu ya UKAWA nitafurahi UKAWA washindwe kabisa heri ccm iendelee tu,mafisadi wamekuja kusimama kwa upande mwingine na tumewacha kuwathamini waliotoa maisha yao kwa ajili ya chama.

Wakati watu wakipigwa risasi,mabomu arusha,wakipigwa risasi ya moto morogoro na nzega lowasa alikuwa wapi Leo anaibuka tu kama mzimu.

Kina Dr Slaa wakipelekwa polisi,mpaka mke wa Slaa alipigwa na polisi na kumwagika damu,kina Tundu Lissu walichaniwa mpaka nguo kudhalilishwa na hawa ccm sera za majukwaani ilikuwa kuwaponda hao mafisadi wa ccm.

Leo lowasa kaingia chadema analeta jopo la mafisadi wa ccm watu mnashangilia.

NITAFURAHI UKAWA ISHINDWE UCHAGUZI MKUU KAMA DR SLAA HAYUPO NA KAMA Mgombea ni lowasa.

Nahakikisha mwaka huu kwa madudu anayofanya mbowe lowasa akisimama UKAWA na wakashindwa upinzani ndo utakuwa umekufa rasmi mpaka hapo itakapokuja chama makini na siyo ACT wazalendo

Mkuu amani iwe nawe.
Naomba niandike machache labda utanielewa kidogo. Nami nilikuwa kama wewe katika kumchukia Edward Lowassa kwamba ni Fisadi, na nilimchukia kwa sababu "kusikia kwamba ni Fisadi" wakati sikuwa na ushahidi wowote.

Katika suala la Richmond kama utaangalia kiundani na kusikia kile Edward Lowassa alichosema utaona wazi kwamba ilikuwa ni mpango maalumu wa kumchafua na kumuondoa Edward Lowassa katika kiti cha Uwaziri mkuu. Kilichompoza Lowassa mpaka kusukiwa mpango huo mchafu ni ukali, umakini wa kufuatilia mambo na usimamizi wa yale anayoyaamini. Alipokuwa waziri mkuu tuliona wazi kwamba mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya walikuwa wanawajibika kisawasawa tokana na ukali wa Lowassa. Walikuwa hawaondoki vituo vyao vya kazi bila ruhusa maalumu toka ofisi ya waziri mkuu.
Muheshimiwa pale magogoni akaona wazi kwamba anafunikwa na Lowassa kwani viongozi wengi walikuwa wanachukua maelekezo na maagizo toka kwa Lowassa, ndipo zengwe lilipikwa la kumuondoa Lowassa madarakani.
Jiulize kwa makini sana, kama kweli Lowassa alifanya uchafu ule na kama ushahidi upo kwanini asipelekwe mahakamani?

Chadema walimuingiza Lowassa kwenye list of shame sababu kama zako wewe leo unayemchukia Lowassa kwa sababu za kusikia na kuambiwa. Juzi Lowassa karudia live kwenye TV kwamba alitaka kuvunja mkataba wa Richmond baada ya kujua kwamba ulikuwa fake, lakini bosi wake hakutaka kumsikiliza. Ulitaka Lowassa afanye nini zaidi?. Unaamini kabisa suala kama la Richmond mkuu wa nchi hakulijua toka mwanzo?. Unakumbuka tume ya Mwakyembe ilisema wazi kabisa kwamba inaficha baadhi ya mambo ili kuinusuru serikali, unafikiri walimaanisha nini?. Tume hiyohiyo ya Mwakyembe ilipewa mamlaka makubwa sana ya kumuhoji mtu yeyote bila kuogopa cheo alichonacho. Tume iliweza kuwahoji wahusika karibu wote na iliweza kusafiri mpaka USA kuwahoji wahusika, kwanini ilishindwa kumuhoji Edward Lowassa aliyekuwa na ofisi zikitazamana na ofisi ya tume hiyo?

Ni kweli kabisa Dr Slaa amejitolea sana katika kuifikisha Chadema hapa ilipo leo. Amejitolea kwa kila hali na mali, na kuna muda aliweka rehani mpaka maisha yake, lakini kuiacha Chadema leo juhudi zake zote alizofanya kuijenga na kuifikisha chadema hapa ilipo zitakuwa hazina maana tena. Slaa kama padri nilitegemea sana kwamba angefurahi kuona watu kama Lowassa wanajiunga na Chadema huku wakieleza (kutubu) ukweli machafu yaliyomo ndani ya CCM na yale tuliyokuwa tunasikia wametenda.

Mimi, wewe, wale na yule bila ubishi tumeichoka CCM. Sasa ni wakati wa kuunganisha nguvu kuitoa CCM madarakani. Ujio wa Lowassa na wenzake ndani ya Chadema naona iwe ni baraka kwetu wala isiwe laana. Kama umepitia mafunzo ya kijeshi utakumbuka kwamba tulifundishwa mateka anaweza kukusaidia kushinda vita, anajua siri nyingi za adui zako hivyo ukimtumia vyema utashinda vita. Nasi tunataka kuishinda CCM na kuitoa madarakani, huyu mateka itabidi afuate matakwa yetu, aishi kama sisi ili awe salama. Lowassa na wenzake wamejiunga Chadema na si Chadema wamejiunga na Lowassa, hivyo Lowassa na wenzake itabidi waishi na kufuata matakwa na malengo ya Chadema.
 
Kama unataka uthibitisho kwamba sisi wengine ni CDM basi sema tukutumie namba za kadi zetu ukaprove ..usiwasakizie CCM kila jambo kwa ujinga wenu wenyewe kwani ndo waliowatuma mkauze chama chetu?
 
ulikuwepo kama shahidi wakati fedha za ununuzi wa chama zikilipwa???

Tuonyeshe mkataba wa ununuzi,
 
Umeongea kijazba bila kujenga hoja za maana by da way unamatatizo unaposema utafurahi ukawa wakishindwa inamaana hutaki mabadiliko alafu sisi tushaona mfumo wa ccm hautufai tunahitaji changamoto mpya nyie vilaza ndio maana hitler alikuwa hawaachi mzidi kuongea mihemko yenu hakuna uthibitisho lowassa ni fisadi kwa kauli yake na jibu la serikali kushindwa kumchukulia hatua inamaana alikuwa mkubwa kuzidi serikali au ?????

ww unayemwambia mwenzako kua kam enzi za hitler alitakiwa kuuwawa basi ww enzi hizi unatakiwa kuuawa maana huna manufaa katika jamii yaleo, jamii ya leo inataka mtu anayesumbua kichwa chake kwa kufikiri naco kuacha watu wengine wamfkilie na kitu icho unakifanya ww sasa maana umewaluhusu mbowe na lowasa wakufikilie badala ya kichwa chako. kama kigezo cha kutopelekwa mahakamani ndio kinaondoa ufisadi wake kwaio unamanisha tz hii hatuna mafisadi ukidiliki kumtoa hata yule anaye jidai kwa ufisadi wake kwa kujiita nyoka wa makengeza? kwa akili yako uliyo nayo tz tutasubili sana
 
Mkuu amani iwe nawe.
Naomba niandike machache labda utanielewa kidogo. Nami nilikuwa kama wewe katika kumchukia Edward Lowassa kwamba ni Fisadi, na nilimchukia kwa sababu "kusikia kwamba ni Fisadi" wakati sikuwa na ushahidi wowote.

Katika suala la Richmond kama utaangalia kiundani na kusikia kile Edward Lowassa alichosema utaona wazi kwamba ilikuwa ni mpango maalumu wa kumchafua na kumuondoa Edward Lowassa katika kiti cha Uwaziri mkuu. Kilichompoza Lowassa mpaka kusukiwa mpango huo mchafu ni ukali, umakini wa kufuatilia mambo na usimamizi wa yale anayoyaamini. Alipokuwa waziri mkuu tuliona wazi kwamba mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya walikuwa wanawajibika kisawasawa tokana na ukali wa Lowassa. Walikuwa hawaondoki vituo vyao vya kazi bila ruhusa maalumu toka ofisi ya waziri mkuu.
Muheshimiwa pale magogoni akaona wazi kwamba anafunikwa na Lowassa kwani viongozi wengi walikuwa wanachukua maelekezo na maagizo toka kwa Lowassa, ndipo zengwe lilipikwa la kumuondoa Lowassa madarakani.
Jiulize kwa makini sana, kama kweli Lowassa alifanya uchafu ule na kama ushahidi upo kwanini asipelekwe mahakamani?

Chadema walimuingiza Lowassa kwenye list of shame sababu kama zako wewe leo unayemchukia Lowassa kwa sababu za kusikia na kuambiwa. Juzi Lowassa karudia live kwenye TV kwamba alitaka kuvunja mkataba wa Richmond baada ya kujua kwamba ulikuwa fake, lakini bosi wake hakutaka kumsikiliza. Ulitaka Lowassa afanye nini zaidi?. Unaamini kabisa suala kama la Richmond mkuu wa nchi hakulijua toka mwanzo?. Unakumbuka tume ya Mwakyembe ilisema wazi kabisa kwamba inaficha baadhi ya mambo ili kuinusuru serikali, unafikiri walimaanisha nini?. Tume hiyohiyo ya Mwakyembe ilipewa mamlaka makubwa sana ya kumuhoji mtu yeyote bila kuogopa cheo alichonacho. Tume iliweza kuwahoji wahusika karibu wote na iliweza kusafiri mpaka USA kuwahoji wahusika, kwanini ilishindwa kumuhoji Edward Lowassa aliyekuwa na ofisi zikitazamana na ofisi ya tume hiyo?

Ni kweli kabisa Dr Slaa amejitolea sana katika kuifikisha Chadema hapa ilipo leo. Amejitolea kwa kila hali na mali, na kuna muda aliweka rehani mpaka maisha yake, lakini kuiacha Chadema leo juhudi zake zote alizofanya kuijenga na kuifikisha chadema hapa ilipo zitakuwa hazina maana tena. Slaa kama padri nilitegemea sana kwamba angefurahi kuona watu kama Lowassa wanajiunga na Chadema huku wakieleza (kutubu) ukweli machafu yaliyomo ndani ya CCM na yale tuliyokuwa tunasikia wametenda.

Mimi, wewe, wale na yule bila ubishi tumeichoka CCM. Sasa ni wakati wa kuunganisha nguvu kuitoa CCM madarakani. Ujio wa Lowassa na wenzake ndani ya Chadema naona iwe ni baraka kwetu wala isiwe laana. Kama umepitia mafunzo ya kijeshi utakumbuka kwamba tulifundishwa mateka anaweza kukusaidia kushinda vita, anajua siri nyingi za adui zako hivyo ukimtumia vyema utashinda vita. Nasi tunataka kuishinda CCM na kuitoa madarakani, huyu mateka itabidi afuate matakwa yetu, aishi kama sisi ili awe salama. Lowassa na wenzake wamejiunga Chadema na si Chadema wamejiunga na Lowassa, hivyo Lowassa na wenzake itabidi waishi na kufuata matakwa na malengo ya Chadema.

Leo lowasa awe mgombea kupitia chadema chama ilimwandaa lini?kwanini mwonzoni lowasa hakufunguka na aje chadema mpaka akatwe ccm kama siyo uroho wa madaraka?
 
Back
Top Bottom