Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Anajaribu kufuta zambi ya ugalatia..!
JF tanzanite member!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawa!!
We umejichanganya. Dr Slaa aliahidi mifuko ya cement kwa bei hiyo kama angechaguliwa kuwa Rais, sababu alitaka kushusha kodi ktk cement.
Jaribu kufikiria kabla ujaropoka
Kiongozi anaeahidi hutimiza, Dr Slaa katimiza ahadi yake,
Yupo mmoja aliahidi kigoma itakuwa dubai lakini imekuwa dubwana
Hulo hilo si ajabu padri kusaidia seminari labda kwakuwa ni mara ya kwanza kwa slaa kutoa msaada tangu ajiunge na siasa
Mtasubiri sana. Kwani upinzani ni kuandamana?
Hongera sana Dr slaa hakika umeuonesha umma unaweza Mungu akubariki sana hubahatishi hata kidogo watu kama nyie mnatakiwa pale ikulu!
Maandamano hayalipi?
Mh El hinayo damu ya kunguni hiki fanya kitu zuri ponda sana . Dk sl kutoa msaada ya dawati pongeza sana.dah ! Jamaan tz hinahenda wapi ss sote wa moja tupendane na tusahau ya nyuma kila mutu hina pungufu yake
Wafuasi wa kibwetere utawajua tu
Kumbuka kuwa hiyo ni Shule ya Kiislamu. Udini kwisha habari yake kabisa...
Mzee Slaa alijua fika kuwa hatakaa awe Rais wa Tanzania ndio maana alikuwa anawadanganya kuwa atawauzia cement mfuko kwa kwa Tsh 4238/= bila vat.