Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

Misukule ya Lumumba,haina shukrani,mi natamani tuanze kuingia kwa majina halisi ili wapuuzi kama akina Ifweero,Msalani,laki si pesa,simiyu yetu nk tuwajue maana majitu haya hayana hata shkrani hata kidgo
 
quote_icon.png
By yericko nyerere
kiongozi anaeahidi hutimiza, dr slaa katimiza ahadi yake,

yupo mmoja aliahidi kigoma itakuwa dubai lakini imekuwa dubwana
vipi ile ya mfuko wa CEMENT kwa shs 5000?
 
Hongera Dr Slaa kwa kutimiza ahadi yako. Watoto wengi walikosa elimu kwa sababu ya ajali hiyo ya moto.
Pro-CCM mapovu yanawatoka ovyo kuona umetimiza ahadi yako. laki si pesa MSALANI ifweero Simiyu Yetu @puchi hamtaki angalau kupongeza kwa mtu kusaidia elimu ya watoto wetu? Siasa isitupovushe macho,tushindwe kuona ukweli. Au kwa vile hii shule haiko chini ya BAKWATA, ndo maana CCM mitandaoni wanamshambulia aliyetoa msaada.
 
Last edited by a moderator:
Hongera dr Slaa, nchi hii inakuhitaji. Tunajua utakayoahidi yote ukiwa rais wetu utayatekeleza yote utakayoyaahidi
 
Kwa niaba ya familia yangu nikupongeze sana mkuu Dr.W.Slaa kwa kutimiza ahadi yako!

Tanzania tunakuamini,
Tanzania tunakuhitaji raisi wetu 2015,
 
Last edited by a moderator:
CCM hawana chao maana silaha yao ya udini imewaumiza wao wenyewe
 
Huwezi kuwalaumu Magamba kwa hii reaction yao,wanajua ikifika 2015 Dr Slaa atatoa ahadi huku backed up by his fulfilled promises of the past.Hapo hayupo madarakani lkn ameanza kutimiza ahadi,Je akiwa madarakani?
 
vipi ile ya mfuko wa CEMENT kwa shs 5000?

We umejichanganya. Dr Slaa aliahidi mifuko ya cement kwa bei hiyo kama angechaguliwa kuwa Rais, sababu alitaka kushusha kodi ktk cement.
Jaribu kufikiria kabla ujaropoka
 
Dr Slaa nakuomba sana pia Pale kwetu Rorya kuna shule ya sec Nyamasanda. jamani hawana madawati,hata 20 tu kama hizo watashukuru sana,napatikana kwa namba 0717757021 au yeyote mwenye kuweza kusaidia ile shule jamani wasaidieni na watz walioko pembezoni kama Nyamasanda sec.Yaani hii shule ukitoka kwenye becon za mpakani na kenya unakuta shule hiyo so iko pembezoni na hakuna msaada wanayopata,wanaJF nifikishieni ombi hilo kwa DR Slaa maana sina njia nyingine ya kumpata.

Ok zimefika team itakuja kutathmini.
 
10653541_515578815253505_8848877374874810383_n.jpg


10481417_515578775253509_7076891498665671374_n.jpg



Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Peter Slaa,ametoa msaada wa madawati 60 kwa Shule ya Mivumoni Seminary iliyopo Kinondoni. Shule hiyo iliathiriwa vibaya na moto uliounguza ghorofa ambamo kuna shule hiyo na Msikiti wa Mtambani. Ametimiza ahadi yake aliyoitoa alipotembelea eneo lililoathirika


leading by example
 
tunakushukuru sana MH SLAA kwa kutimiza ahadi yako , MUNGU AKURUDISHIE PALIPOPUNGUA .
 
Ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi? mmechelewa.

...kwani lini tena hii shule ilikuwa imeungua, au mimi nimepitwa na taarifa...
 
Kamwe Hata Siku Moja MAJITU YA LUMUMBA SITEGEMEI MJE MUMPE SIFA DK SLAA. NIKIONA MMEANZA KUMSIFIA NITAANZA KUWA NA WASIWASI NA DK SLAA. KWA HIYO TUMESHAWAZOEA
 
BABU alipe kwanza mkopo anaodaiwa na CHADEMA ndipo aje na hizo porojo zake za kugawa madawati.

umeumia sana eeee ? Na bado , LEMA ANALETA MADAWATI SHULE ZOTE ZA ARUSHA , HAYA KUFA BASI !
 
Back
Top Bottom