MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,617
- 41,685
Maandamano hayalipi?
maandamano ya nini ??
Maandamano hayalipi?
[FONT=times new
roman]Ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi?
mmechelewa.[/FONT]
Tukio lile la Moto liliwaguza watanzania wengi,chonde chonde Watanzania wenzanu tuweke itikadi zetu kando,tuwasaidie wenzetu. Dr.W.Slaa ameanza na wengine jitokezeni pia,Slaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..
Duh siasa kazi kweli badala ya kuupongeza kashfa. Ninawezekana mtoto wa shangazi au mjomba wako anasoma hapo.Slaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..
Maandano ya kuimarisha chademamaandamano ya nini ??
Huu msaada kautoa Dr.Slaa au CHADEMA...
ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi? Mmechelewa.
A na B yote majibu sahihi chagua moja unalolipenda.Huu msaada kautoa Dr.Slaa au CHADEMA...
Tumechelewa kwenda wapi!Ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi? mmechelewa.
Ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi? mmechelewa.
BABU alipe kwanza mkopo anaodaiwa na CHADEMA ndipo aje na hizo porojo zake za kugawa madawati.
Weka wazi A-Z sio kulalama tu. Wengine hatuna vyama soo vuaneni nguo tuwachore sasaMbona tunajua misaada mingi wanayojifanya viongozi wa ccm imetoka chamani huwa haitoki huko mnaenda kujikomba komba kwa wafanyabiashara wakubwa kupata bakshishi mkija huku kitaa mbwembwe nyingi eti ccm inawajali my foot wivu utawamaliza.
Ndo watanzania tulivyo, yaan kweli tunaboa, huwezi ku-appriciate hata mara moja?? ee Mungu tusameheSlaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..