Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

umeumia sana eeee ? Na bado , LEMA ANALETA MADAWATI SHULE ZOTE ZA ARUSHA , HAYA KUFA BASI !

Mshaurini ajenge machinga complex tatu alizoahidi pamoja na hospitali kwanza. Hiyo ya kugawa madawati amuachie mzee Slaa.
 
Leo ndio kawa mtu duh! Siasa ni wi,zi
 
Huu msaada kautoa Dr.Slaa au CHADEMA...

Hahah!
Naona mmepigwa bao, sipati piacha MACCM wayakavyo Mwagika kuanzia kesho na Malori ya madawati na Saruji zakutosha kuanza ujenzi upya hapo.

Ila CHADEMA sasa wangeandaa harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni na miundombinu mingine iliyohariobika hapo Shuleni maana huu wa Dr. Slaa pekee hautoshi.
 
Dr Slaa nakuomba sana pia Pale kwetu Rorya kuna shule ya sec Nyamasanda. jamani hawana madawati,hata 20 tu kama hizo watashukuru sana,napatikana kwa namba 0717757021 au yeyote mwenye kuweza kusaidia ile shule jamani wasaidieni na watz walioko pembezoni kama Nyamasanda sec.Yaani hii shule ukitoka kwenye becon za mpakani na kenya unakuta shule hiyo so iko pembezoni na hakuna msaada wanayopata,wanaJF nifikishieni ombi hilo kwa DR Slaa maana sina njia nyingine ya kumpata.

UMESIKIKA NA NAOMBA NIKUPE POLE SANA KWA HIYO AIBU MNAYOIPATA KUTOKA kwa MAJIRANI ZETU WA KENYA , UNAWEZA KUNITAJIA JINA LA MBUNGE WENU ?
 
Kiongozi anaeahidi hutimiza, Dr Slaa katimiza ahadi yake,

Yupo mmoja aliahidi kigoma itakuwa dubai lakini imekuwa dubwana

Aliahidi Tanga kuwa mji wa viwanda! Kwenye zile % alizosema ametekeleza sijui ni viwanda vingapi vimejengwa?
 
10653541_515578815253505_8848877374874810383_n.jpg

10481417_515578775253509_7076891498665671374_n.jpg

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Peter Slaa,ametoa msaada wa madawati 60 kwa Shule ya Mivumoni Seminary iliyopo Kinondoni. Shule hiyo iliathiriwa vibaya na moto uliounguza ghorofa ambamo kuna shule hiyo na Msikiti wa Mtambani. Ametimiza ahadi yake aliyoitoa alipotembelea eneo lililoathirika

Hulo hilo si ajabu padri kusaidia seminari labda kwakuwa ni mara ya kwanza kwa slaa kutoa msaada tangu ajiunge na siasa
 
Kigoma imekuwa Dubwana....hahaha Ndo mana Mwl. Kaijage kawa km mwehu
 
10653541_515578815253505_8848877374874810383_n.jpg

10481417_515578775253509_7076891498665671374_n.jpg

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Peter Slaa,ametoa msaada wa madawati 60 kwa Shule ya Mivumoni Seminary iliyopo Kinondoni. Shule hiyo iliathiriwa vibaya na moto uliounguza ghorofa ambamo kuna shule hiyo na Msikiti wa Mtambani. Ametimiza ahadi yake aliyoitoa alipotembelea eneo lililoathirika

kijijini kwake kuna shule haina madawati, vp?
 
Back
Top Bottom