Mbeya: Dkt.Tulia Ackson na Diwani wa Kata ya Majengo watoa msaada wa madawati na saruji Rejiko Sekondari

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
169
198
Mbunge wa Mbeya mjini ambaye pia ni spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson pamoja na Diwani wa kata ya Majengo, Maulid Jamadary wametoa msaada shule ya Secondary ya Rejiko iliyopo Mbeya mjini.

Dr.Tulia ametoa mifuko hamsini ya Cement ili kusaidia ujenzi katika shule hiyo ambayo ipo katika kata ya Majengo jijini humo.

Wakati Tulia akitoa msaada huo, naye Diwani wa kata hiyo, Maulid Jamadary yeye ametoa madawati 50 pamoja na kuchimba kisima katika shule hiyo ambayo imekuwa ikifanya vizuri kitaaluma.

Naye mkuu wa wilaya ya Mbeya, Malisa alitoa tofari 500 ili kuunga mkono juhudi za wananchi wa kata ya Majengo katika ujenzi wa shule hiyo.

Diwani Maulid Jamadary amekuwa mstari wa mbele katika kuwaletea maendeleo wananchi wa kata yake hiyo ya Majengo huku akitimiza ahadi zake ambazo aliahidi wakati wa uchaguzi mkuu.

IMG-20230401-WA0123.jpg
IMG-20230401-WA0125.jpg
IMG-20230401-WA0121.jpg

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Mbeya mjini ambaye pia ni spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson pamoja na Diwani wa kata ya Majengo,Maulid Jamadary wametoa msaada shule ya Secondary ya Rejiko iliyopo Mbeya mjini.

Dr.Tulia ametoa mifuko hamsini ya Cement ili kusaidia ujenzi katika shule hiyo ambayo ipo katika kata ya Majengo jijini humo.

Wakati Tulia akitoa msaada huo,naye Diwani wa kata hiyo,Maulid Jamadary yeye ametoa madawati 50 pamoja na kuchimba kisima katika shule hiyo ambayo imekuwa ikifanya vizuri kitaaluma.

Naye mkuu wa wilaya ya Mbeya,Malisa alitoa tofari 500 ili kuunga mkono juhudi za wananchi wa kata ya Majengo katika ujenzi wa shule hiyo.

Diwani Maulid Jamadary amekuwa mstari wa mbele katika kuwaletea maendeleo wananchi wa kata yake hiyo ya Majengo huku akitimiza ahadi zake ambazo aliahidi wakati wa uchaguzi mkuu.
View attachment 2573143View attachment 2573145View attachment 2573146

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sawa, atoe tu, ila 2025 atafute kazi ingine
 
Back
Top Bottom