Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,343
- 527
Nadhani huelewi mazingira ya hii ishu...ivi unayajua makao makuu ya chadema na hapo ilipoungua shule kuna umbali gani? Siasa is a dirty game brother...!!!
ni kweli lakini katika dini yetu hakuna ria siku moto ulipoungua kesho yake kuna mwenzake katoka wilaya ya jirani mapema kabla yake na akatoa rambirambi yake bila kujitangaza (ufahari) na akasema bado ya chama itakuja,ila padri katoa kisiasa zaidi akitegea mambo ya uchaguzi watu wanapokea hawakatai msaada