Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

Dr.Slaa amwaga madawati Mivumoni Sekondari

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,348
Reaction score
26,144
10653541_515578815253505_8848877374874810383_n.jpg


10481417_515578775253509_7076891498665671374_n.jpg



Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Peter Slaa,ametoa msaada wa madawati 60 kwa Shule ya Mivumoni Seminary iliyopo Kinondoni. Shule hiyo iliathiriwa vibaya na moto uliounguza ghorofa ambamo kuna shule hiyo na Msikiti wa Mtambani. Ametimiza ahadi yake aliyoitoa alipotembelea eneo lililoathirika
 
Ni mchezo wa kuigiza huo, hivi siku zote mlikuwa wapi? mmechelewa.
 
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli asikuambie mtu, Dr Slaa wewe ni hazina ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom