mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Anajipendekeza msikitini hatumtaki wezi wa wake za watu hawana nafasi msikitini.Slaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..
Anajipendekeza msikitini hatumtaki wezi wa wake za watu hawana nafasi msikitini.Slaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..
Wewe ni mtupu kabisa kichwani
Hataweza kapwelewa tu.Anajaribu kufuta zambi ya ugalatia..!
Slaa hajawahi kutoa msaada hata wa kalamu kwao Karatu..
tofauti ya slaa na chadema nini ??
Uuungwana ni vitendo. Kumbeza mtu anayetoa msaada ni utaahira.
Nataman kuiona ccm ikiwa chama cha upinzani
Wafuasi wa kibwetere utawajua tu
Mtasubiri sana. Kwani upinzani ni kuandamana?
Teh teh teh Padri alikuwa wapi kutoa siku zote au kwakuwa kaona uchaguzi unakaribia? Ametoa kidogo tofauti na fedha za ruzuku anazokula
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Rais wa mioyo ya watanzania walio wengi...God Bless you Dr.Willbroad Slaa!
BABU alipe kwanza mkopo anaodaiwa na CHADEMA ndipo aje na hizo porojo zake za kugawa madawati.
Kiongozi anaeahidi hutimiza, Dr Slaa katimiza ahadi yake,
Yupo mmoja aliahidi kigoma itakuwa dubai lakini imekuwa dubwana
Dr Slaa nakuomba sana pia Pale kwetu Rorya kuna shule ya sec Nyamasanda. jamani hawana madawati,hata 20 tu kama hizo watashukuru sana,napatikana kwa namba 0717757021 au yeyote mwenye kuweza kusaidia ile shule jamani wasaidieni na watz walioko pembezoni kama Nyamasanda sec.Yaani hii shule ukitoka kwenye becon za mpakani na kenya unakuta shule hiyo so iko pembezoni na hakuna msaada wanayopata,wanaJF nifikishieni ombi hilo kwa DR Slaa maana sina njia nyingine ya kumpata.
Hataweza kapwelewa tu.
Kuandamana ni haki ya kila raia wa jamuhuri kwa mujibu wa katiba,hamna harakati zisizohusisha maandamano kama njia ya kuprotest a certain Agenda,so yes ukiwa mpinzani maandamano nayo yanahusika.
Chagua mwenyewe Mkuu MSALANI
Huwezi kuwalaumu Magamba kwa hii reaction yao,wanajua ikifika 2015 Dr Slaa atatoa ahadi huku backed up by his fulfilled promises of the past.Hapo hayupo madarakani lkn ameanza kutimiza ahadi,Je akiwa madarakani?