Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Kama ulivo muhimili wa magogoni unavookoteza kucha za watu na kuwatoboa na bisibisi.....hivi zile bus zako ulishachukua pale scania maana ni muda yamepaki tu pale