Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

wabunge wa chadema wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na dr. Kigwangala wapatiwe tiba.

sure mkuu maana siku hizi wagonjwa wameongezeka. Zamani alikuwepo lisu pekee lakini sana kuna lema, msigwa, sugu, mnyika na wengine wanakuja. Kuna haja ya waziri wa afya kuomba fungu maalum ili kituo cha kutibu watu wa aina hii kianzishwe pale bungeni na dr kigwangala aongezewe wataalam na vitendea kazi
 
Buku Saba FC kazini. Hahahaha...

Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

Bunge siyo kijiwe cha kahawa.

amuonye kwanza sugu

slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika

Just 'cause Dr. Slaa got an opinion does that make him a politician? Jibu ni hapana.

bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho

bungeni sio mkutano wa kampeni au mkutano wa hadhara wa chama flani kutafuta umaarufu kwa kupotosha mambo. ni ukumbi wa mikutano ya kutunga sheria za nchi, na kujadili mustakabali wa taifa

Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.

DO SOMETHING or just shuthole.

Dr slaa hana uwezo wa kuingilia mambo yanayoendelea bungeni. anawaharibia bure wabunge wa chadema na sasa wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile. ukiona sugu alivyowasilisha ile speech jana utakubaliana nami kuwa wabunge wa chadema sasa hawatumii hata chembe ya akili yao kufikiri. wanatekeleza tu maagizo ya mkubwa wao bila ya kujua athari zake

Slaa inaonekana anaishiwa hoja na nguvu ya kisiasa kwisha aangalie njia nyingine yakuweza kurudi kayika ulingo wa siasa tena.

Dr. Slaa anafurahisha sana, hawezi kukaa siku tatu bila ya kutafuta tukio la kutokea nalo kwenye jamii ya Watanzania na akikosa tukio analazimisha ili mradi tumsikie.

Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na RockStars.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.
 
jifunze kuwa mtu mzima wapinzani hawapangiwi cha kuzungumza lakini uhuru wao kisiwe kigezo cha kutunga uongo kwa malengo ya kuchafua watu,kuchochea chuki na kukejeli wetu.wajenge hoja wataeleweka tu,waoneshe uongozi wao nasiyo kuonesha ujana.

Kakasamu najua unasumbuliwa na book 7, hamna shida kwa leo zimeingia tayari. Unajua definition ya uchochezi? Kuna mchangiaji mmoja hapa ameeleza vizuri kwamba uchochezi wa hali ya juu ni vitendo vya kuiba pesa za umma na kuzificha uswizi, kutorosha wanyama wetu wakiwa hai, kuua tembo wetu, kuingia mikataba ya kifisadi, kuiba pesa benki kuu kupitia EPA n.k. Hivi ndivyo vitu vinavyochochea chuki ya wananchi dhidi ya serikali sio hotuba ya wapinzani inayolenga kuikumbusha serikali kuacha kuua waaandishi wa habari kama njia ya kuwanyamazisha kwasiandike juu ya uozo wa serikali. Jumuia ya kimatiafa tayari unajua kwamba Tanzania ni nchi ya saba duniani kuwa hatari kwa waandishi wa habari. Na kama Bunge lilifikiri alichokisema Mh. Sugu ni uzushi si wangemtaka alete ushahidi?

Wimbi la ukombozi wa pili wa nchi hii hauwezi kurudi nyuma kwa kumtumia mtu kama Makinda au bunge au kutuma watu hapa JF kuja kuandika utumbo, usijidanganye na wafikishie wakubwa zako ujumbe huu.

Tiba
 
Punguwani wewe sema maneno ya mtaani au kanuni iliyovunjwa pale na sugu!
bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
 
kanunu ipi inaruhusu spika ailishe shughuli za bunge? Kisa kesi ipo mahakamani? Shame!

mkuu, nadhani ndo unaamka. Kwa taarifa yako, spika hakuahirisha kikao kwa ajili ya kuzungumzwa jambo lililo mahakamani. Kimsinhi ile hotuba ya jana ilijaa uchochezi na kutokana na hali hiyo ndo maana kikao kiliahirishwa ili kamati ya maadili iijadili na kutolea maamuzi. Sugu na chadema hawakufanya hivyo. Ni utovu mkubwa wa nidhamu
 
Buku Saba FC. Inaonekana jana mlilipwa bonus.Speed ya kupost imeongezeka...

Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

Bunge siyo kijiwe cha kahawa.

amuonye kwanza sugu

slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika

Just 'cause Dr. Slaa got an opinion does that make him a politician? Jibu ni hapana.

bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho

bungeni sio mkutano wa kampeni au mkutano wa hadhara wa chama flani kutafuta umaarufu kwa kupotosha mambo. ni ukumbi wa mikutano ya kutunga sheria za nchi, na kujadili mustakabali wa taifa

Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.

DO SOMETHING or just shuthole.

Dr slaa hana uwezo wa kuingilia mambo yanayoendelea bungeni. anawaharibia bure wabunge wa chadema na sasa wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile. ukiona sugu alivyowasilisha ile speech jana utakubaliana nami kuwa wabunge wa chadema sasa hawatumii hata chembe ya akili yao kufikiri. wanatekeleza tu maagizo ya mkubwa wao bila ya kujua athari zake

Slaa inaonekana anaishiwa hoja na nguvu ya kisiasa kwisha aangalie njia nyingine yakuweza kurudi kayika ulingo wa siasa tena.

Dr. Slaa anafurahisha sana, hawezi kukaa siku tatu bila ya kutafuta tukio la kutokea nalo kwenye jamii ya Watanzania na akikosa tukio analazimisha ili mradi tumsikie.

Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na RockStars.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.

Matamko mengine......
hivi chadema huwa hampitii tamko kabla ya kulitoa?

DR SLAA kweli ana lake jambo si bure!

Yani kiongozi mkubwa kama yeye anatoa maelezo ya uchochezi waziwazi hivyo?

Kwa hotuba ya jana ya kambi ya upinzani iliyosomwa na Sugu haina wasifu wa kusomwa bungeni, sana sana Sugu angeenda kuwasomea wavuta bangi na wabwia unga wenzie.

Taifa letu Tanzania aliwezi kukaa kusikiliza maneno ya kihuni kihuni aliyoyajaza Sugu na washirika wake kwenye hile hotuba.

DR SLAA muogope mungu, kujitangaza kwako kisiasa kusichafue viongozi wetu wa kitaifa. Kwanza vitabu vitakatifu vimeagiza tuziheshimu mamlaka zilizo wekwa na Mungu, wewe ni PADRE gani usie heshimu maelekezo haya ya Mungu?

Mkwara mbuzi ikibidi hotuba ipigwe chini haiwezekani hotuba iandaliwe klabu na walevi wajiwekee maneno yao machafu isikike na taifa zima naunga mkono spika Mia kwa alfu moja

wewe kwa akili yako finyu unadhani dr slaa atachukua hatua gani kama si kuendelea kulalamika tu. imemshinda familia ataweza kutetea maslahi ya taifa?

mkuu, dr slaa ameshakata tamaa ya kuwa rais wa nchi. ndo maana anaendelea kulalamika tu. si unakumbuka mkuu yale madai yake kuwa amepigiwa mizinga 21 kule zambia tarehe 9/5/2013? hizo ndo dallili za mwisho za mtu aliyefilisika kisiasa

mkuu, huo ni udhaifu mkubwa kudhani kuwa kila anayempinga dr slaa analipwa buku saba. wengine wamejenga tu chuki naye kutokana na kitendo chake cha kulikimbia kanisa. wengine wamechoka kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu. wengine wana bifu naye kwa kitendo chake cha kujaribu kubaka ofisini kwake. huku wengine wakimchukia kwa kitendo cha kushinikiza akina shonza na mwampamba wafukuzwe, kwa ujumla dr slaa ana maadui wengi kuliko unavyofikiri. ni wewe tu umebaki kumtetea kwa vile tu unatetea mkate wake

serikali haisimamiwi kwa matusi na kejeli slaa anakokwenda siko yawezekana ndiyo mwisho wake kisiasa.

nami naunga mkono maamuzi ya spika
 
Tatizo kubwa la nyie Bavicha mnadhani kila anakula kutoka na siasa, wewe unavyopewa viroba na chakula kumtetea Dr Slaa unadhani wote tupo hivyo jipange kijana.

Asante kwa ushauri, ngoja nikajipange na wewe wahi Lumumba ukavute book 7.

Tiba
 
chadema ndo wana sera za kuua wapinzani. Rejea mauaji ya chacha wangwe

Aliyetoa amri ya kuuwa chacha wangwe ni kikwete ndio maana alimwachia mfungwa aliyesababisha kifo cha wangwe anayeitwa Mallya miezi mitatu tuu kukaa jela kwa msamaha wa raisi tunakumbukumbu zetu zote vizuri kijana
 
In bold....ndio nini hio? Never heard of it....stick to lugha unayoiweza!!! (Shukuru Kawambwa Graduate)
Kama usingizi mnono wa asubuhi ulikufanya kuzembea shule, hili siyo tatizo langu kutokuelewa neno SHUTHOLE. Jaribu masomo ya jioni ya kujiendeleza!!
 
bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho

Je hao maskini na walalahoi serikali yenu ya magamba inawajali? Au mmeishia kuwatelekeza barabaran huku mkiwatukana na kuwapiga.
 
mkuu, nadhani ndo unaamka. Kwa taarifa yako, spika hakuahirisha kikao kwa ajili ya kuzungumzwa jambo lililo mahakamani. Kimsinhi ile hotuba ya jana ilijaa uchochezi na kutokana na hali hiyo ndo maana kikao kiliahirishwa ili kamati ya maadili iijadili na kutolea maamuzi. Sugu na chadema hawakufanya hivyo. Ni utovu mkubwa wa nidhamu
hivi umesoma hotuba tafuta thread iko humu imejaa ukweli mtupu sema spika na MACCM waoga wanawaogopa wananchi ,inafurahishwa kwamba MACCM yanafurumishwa na wananchi wamegeuka macacoon
 
Kwa matazmo huu me nimependa kurejea kolimba na chifupa na nusura ya mwakyembe...na kuanguka kwa kikwete stejini
chadema ndo wana sera za kuua wapinzani. Rejea mauaji ya chacha wangwe
 
Ndio kwenye kipindi cha bunge kwa sababu wamewakata Star Tv na ITV kutuonyesha bunge nchi ya wagagagigigoko

Hahaaaaa kumbe mnaangalia TBC?mnatapa tapa kweli poleni.
Vipi kuhusu mchakato wa katiba mpya siku zinaenda mnajitoa lini au ndo mtafanya kama mlivyofanya TBC?Baada yakujikuta mko wenyewe mnaotaka kujitoa maana mlitegemea mngeungwa mkono mnasahau kwamba nchi hii ina zaidi ya watu million 35 ambao si wanachama wa chama chochote cha siasa na katiba hii ni ya wananchi sio wanachama wa vyama vya kisiasa.
Mlikuwa mnatingisha kiberiti mmekuta kiko full mmeamua kutulia.
 
Back
Top Bottom