Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Kwa kutetea ujinga tu, na nyinyi hamjambo!! Kama alijua hawezi kupoteza muda; kwanini alikubali mwaliko? c angezungumza in advance kwamba Mkama hana sifa za kumkutanisha na yeye?!
 
Mkama ni Gamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo saana na kamwe hawezi shindana na Dr Slaa nadhan hatustahili kujudge bila kujua sababu ya kutotokea ni nn haswa maana sie ni binadam bhana
 
Mojawapo ya majibu mabaya sana ambayo Nyerere aliwahi kutoa nilile alilomjibu mwandishi mmoja aliyeanza kwa kusema "Mwalimu tumesikia..." sitaki kulikumbuka jibu la Nyerere.
 
Mnamsema Mukama yupi? Huyu KIAZI aliyeanza siasa mwaka huu? Yan mtu hana hata mwaka kwenye siasa akimbiwe na Jabali la siasa za Tanzania! You cant be serious
 
Mojawapo ya majibu mabaya sana ambayo Nyerere aliwahi kutoa nilile alilomjibu mwandishi mmoja aliyeanza kwa kusema "Mwalimu tumesikia..." sitaki kulikumbuka jibu la Nyerere.
Ila kwa hapa tumeona!....Imagine Mitt Romney asitokee kwenye mdahalo alioahidi kuwepo baina yake na let say Hilary Clinton. Bila kutoa ufafanuzi au apology.
C'mon justify that!!
 
Mnamsema Mukama yupi? Huyu KIAZI aliyeanza siasa mwaka huu? Yan mtu hana hata mwaka kwenye siasa akimbiwe na Jabali la siasa za Tanzania! You cant be serious
Jabali kivipi? Aliondokaje CCM?
 
Jamani kipigo alichopata Igunga sio mchezo, lazima apumzike na kutafakari mambo kwanza. Mwacheni mzee wa watu apumzike kwanza halafu atajitokeza mwenyewe tu.
 
Msijali kwani mwakani tu al jazeera wanaanzisha kituo chao east Africa na kitakuwa huru nadhani watu wote tutakuwa tunaangalia midaharo huru si hii ya wanahabari wanaoiogopa serikali

nadhani TBC muda si mrefu inageuka kama redio tanzania jinsi ambavyo hakuna mtu anaisikiliza
 
Mkama ni Gamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo saana na kamwe hawezi shindana na Dr Slaa nadhan hatustahili kujudge bila kujua sababu ya kutotokea ni nn haswa maana sie ni binadam bhana

kipi alichonacho Slaa cha pekee?. Hapo amewadharau hadi wananchi tuliojipanga kumsikiliza. Lazma atuombe radhi.
 
Dr Slaa hawezi kuongea na mtu asiye na hoja za maana kama mukama...... ni kama kujidhalilisha
 
Mnamsema Mukama yupi? Huyu KIAZI aliyeanza siasa mwaka huu? Yan mtu hana hata mwaka kwenye siasa akimbiwe na Jabali la siasa za Tanzania! You cant be serious

acha kusifia ujinga!
 
Tunahitaji majibu kutoka yeye mwenyewe Dr Slaa ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kujadili zaidi ya hapo itakuwa tunamuaccuse bila sababu.
 
Dr Slaa hawezi kuongea na mtu asiye na hoja za maana kama mukama...... ni kama kujidhalilisha

Silaha ni silaha ya kumaliza Watanzania na mkaanga sumu tu. Sheria ingekuwa inaruhusu tungempa mwezi mmoja uone takavyoboronga. Mtu anayeshindwa hata kukaa na mke wake aliyezaa naye watoto wawili anawezaje kutawala nchi?
 
Tunahitaji majibu kutoka yeye mwenyewe Dr Slaa ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kujadili zaidi ya hapo itakuwa tunamuaccuse bila sababu.
Hii thread ipo hapa tangu jana asubuhi kama hakuingia mitini mbona hajitokezi kukanusha?
 
Back
Top Bottom