Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Ni ukweli ulio wazi hali ni mbaya ndani ya UKAWA kila mtu anajisemea lake badala ya kupiga kampeni wanatumia muda mwingi kumsafisha Lowassa na OMO ingawa hasafishiki tunasubiria mahojiano ya kesho Azam TV Dr.Slaa na Tido Muhando tuone hali nadhani itazidi kuwa mbaya tunapenda sana mabadiliko ila haya mabadiliko ya Lowassa ngumu kumeza
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

Unaonekana unasiri nyingi kubwa mimi sikutishi nakuambia ukweli kabisa kuwa kama Mungu aishivyo ikiwa kwa namna yoyote unatuwa kwa amani ya maskini na wanyonge maisha yako yatakuwa maisha ya furaha na amani lakini Ikiwa unatumika kwa kuendesha mikakati kwa kulipwa fedha huku ukijua fika wanaingia watu madarakani kwa kudanganywa kwa watu wasiowaelewa na kwa maneno ya uongona unajua fika kwa kufanya hivyo unaliua taifa kwa kupotosha na kusaidia wezi wadhalimu na hao wenye kujali matumbo yao wakiacha maskini wakifa na kuteseka.wagonjwa wakifa kwa kukosa dawa hospitalini kwa hakiki ukiwa wa ghafula utakujia na ukiwa na taabu ya maskini itakuwa juu yako najuu ya watu wa namna ya kwako na ndipo utajua yuko Mungu mwenye kujali wanyongea atoae pumpi na kuiondoa naye humkuza amtakaye naye humshusha amtakae.
 
Babu Slaa kamfunika Lowassa katika media kwa mambo mabaya.Ndani ya wiki moja atasahaulika katika media zote.Rejea jinsi Ndugu Zitto alivyopotea katika media.
 
CHADEMA wanajuta sana kumchukua Lowasa. Sijui hawakujua kama ufisadi na uadilifu ni vitu visivyochangamana! Nawasikitikia sana maana wamekiua chama kwa tamaa za Mbowe. Sasa wanashikwa na kwikwi kutamka neno fisadi

Anaelia ni mgombea wenu Dr Mihogo
 
kawadanganye wajinga sio sisi tunaocheza na mitandaao kila siku lowasa ni kidedea kila kona
 
Babu Slaa kamfunika Lowassa katika media kwa mambo mabaya.Ndani ya wiki moja atasahaulika katika media zote.Rejea jinsi Ndugu Zitto alivyopotea katika media.

hayo mambo mabaya mnayaona UKAWA tu aka malofa sie wengine Slaa tunamuona shujaa
 
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.

Poleni mnaishi kwa matumaini. Mliishajua CCM haina ubavu
 
Afadhali lowasa, mbona pombe kapotezwa kabisa. Au Dr.mihogo kashakuwa mgombea wa maficcm
 
Moderator unganisheni na huu UZI au na nyie ni Ccm
Maana wengine tukiweka mawazo mnaunga sasa na huu tunasubiri tuone mtasubiri ufike page ya ngapi.

Huwez kuunganishwa ungekuwa wa cdm usingechukua dk 2! Lowasa mbele kwa mbele baba
 
Last edited by a moderator:
Magufuli angekuwa MSABATO tungesema tumepata mtu wa fungu la kukariri kwenye shule ya sabato sehemu ya kwanza

Lakini watanzania tumechoka na maneno,tunataka mtu sasa wa kufikiri na kutenda

Lakini nyumba za serikali alizouza anajifanya kasahau
 
Hakikisha mwana harakati wa ukweli unae penda mabadiliko ya kweli unasimamia ukweli, na kumuepuka mtu ambae chama kime muhubiria yakuwa ni fisadi kwa miak nane lakini sasa amekua msafi. tuwe makini, tupinge vikali hali hii. nakuunga mkono dr slaa.

Dr Kasava anakudanganya, ugomvi wake ni kuporwa ugombea
 
CCM haitakiwi hatq kwa bure. Huyo sisi hatumuhitaji kabisa
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa

Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama ANATUMIKA inabidi awe na AIBU, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, EPA, KAGODA, VIVUKO VIBOVU, MABEHEWA na vichwa vya TRENI feck n.k ni ni misamiati ya KICHINA kwamba havielewi? Mbona huyu mzee ZUZU namna hii? Mbona WAKINA CHENGE, NGELEJA, KARAMAGI, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi JOSEPHINE ni muhimu kuliko MABADILIKO? Mbona anakomaa kujifunika SHUKA tayari kumekucha? Ccm INAWAKODI vijana UVCCM kwa ujira KIDUCHU kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
Haya mahaba yako kwa dr yalianza lini tena?
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa

Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama ANATUMIKA inabidi awe na AIBU, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee ZUZU namna hii? Mbona WAKINA CHENGE, NGELEJA, KARAMAGI, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika SHUKA tayari kumekucha? Ccm INAWAKODI vijana kwa ujira KIDUCHU kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
 
Back
Top Bottom