Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

hahahha ukawa hawana jipya wanajitetea tu na kujipa moyo , kwa mamvi, kwisha habar yenu, mavi ataishia tandale tu
 
Mtampigia Dr. Slaa kura kwenye media. Lowasa atapigiwa kura Oktoba. UPO?
 
ungekuwa unashaikia ccm halafu tz kuna maisha mazuri ningekuoneni wa maana sana. lakini wengi wenu nahisi mnashabikia tu kama timu za mpira tena wa kitanzania.. halafu kwanza unazidi kuwa wa ovyo. yani ccm miaka mingi ni propa ganda ahadi hewa halafu mtu bado unanyua mdomo eti ccm mbele kwa mbele. na nawambieni mwaka huu mmekosa la kuongea mmebaki kumdisi lowasa
 
Jana alichemsha star tv hata ujasiri hakuna.

Dr Mhogo kaisha rasmi
 
Ni kweli ufisadi na mafisadi watakuwa mbendembende ifikapo Oct 25 na kwa upande watawala wapo hivi ni Richmond tu na escrow je au kwa vile wapo upande wa pili watz watahukumu wote
 
Magufuli anasema atapambana na mfumo akipata uraisi; hivi huyu mkemia hakusoma physics au anapuuzia.
Soma vzr The Law of Inertia (2nd Law of motion). Kwa wale msiojua physics vzr ni hivi, huwez sukuma gari ukiwa ndani ya gari lazima uwe nje. This implies that huwez badili mfumo ukiwa ndani ya mfumo, toka nje ndio upambane na mfumo.
Kwa upande wa kiroho tunasema pepo hawez kumtoa pepo mwenzake, lazima utoke ndani ya dhambi ili kupambana na uovu
 
Hakikisha mwana harakati wa ukweli unae penda mabadiliko ya kweli unasimamia ukweli, na kumuepuka mtu ambae chama kime muhubiria yakuwa ni fisadi kwa miak nane lakini sasa amekua msafi. tuwe makini, tupinge vikali hali hii. nakuunga mkono dr slaa.
 
Hana cha ziada katika siasa na mbio za urais
 
Palipo na ukweli uwongo lazima utakua chini, hicho ndicho ambacho kinatokea kwa sababu watu wamechoka kuhubiriwa uwongo na kulazimishwa kuchagua mtu ambe hataki maendeleo katika nchi hii bali ni kutaka kuchukua mali katika nchi hii. dr slaa ahsante kwa tufumbua macho daima huwa una simamia yale ambayo una yaamini ndio ukweli. hongera wewe ndio mpenda maendeleo ya kweli.
 
Sasa doa la Dr slaa linaanza kuonekana na watu wameshaanza kugundua ukweli ya kwamba ndani ya chama cha chadema na ukawa nzima hakuna jipya litakaloleta maendeleo ya nchi hii zaid ya kutuchafua tu na amani yetu
 
Hata kama Lowassa akijitokeza hadharani akasema" Kweli mimi ni fisadi/mwizi niliiba"
HATUTAKUBALI tutajua AMENUNULIWA!!


Tutampa KURA Hata mfanyeje?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
ni lazima iwe hivyo kwa sababu dr slaa amesema ukweli na watanzania tume uelewa ukweli huo, hatumchagua fisadi
 
Lizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM pekee? Chadema na vyama vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa. Ni wakati wa UKAWA kuitawala. Mungu bariki Tanzania.
Hata siku moja usiandike ukasema "sisi ni wa Lowassa" Sema wewe ni wa Lowassa. Na mimi nasema "mimi ni wa Magufuli". Kila mtu aongelee nafsi yake. Saa ya kupiga kura utakuwa peke yako na maamuzi yako ni yako peke yako. Kura ni siri yako wewe binafsi. Mimi kura yangu ni kwa CCM. #HapaKaziTu
 
Tunapaswa pia kujiuliza kwamba kati ya mbowe na Dr slaa nani msaliti?
Mbowe alikuwa anazungukwa na hawa wafuatao: 1. SAID ARFI-Makamu mwenyekiti-CDM
2. Dr Slaa-Katibu mkuu
3. Zitto zuberi Kabwe-Naibu katibu mkuu
Hawa wote walikuwa wanakaa meza moja kila kukicha,amebaki peke yake hii inaonyesha kwamba ukileta changamoto kwenye chama mbowe anakumaliza kwa staili anayojua yeye.Kwa staili hii naamini hata Tundu lisu na mnyika watajiuzulu muda wowote.
 
Linganisha na Posts na thread zenu wana CCM mkimuongelea Magufuli na zile mlizofungua kumnadi Loawasa ni yupi ambaye mmeongoza kumuongelea?
 
Afunike afunue,, 25october kwenye kisanduku cha kupiga kura..ndio tutajua zaida..tushachoka sisi ..nafikiri ukiambiwa au kusikia mtu akisema tushachoka sisi ,maana yake nini.? Sisi tulishaamua siku nyingi nani Raisi wa 5 wa JMT.
 
Media zipi jamani? Labda media yako wewe Lizaboni na mkeo.
 
Back
Top Bottom